Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Dunia itahitaji chakula, Afrika itahitaji chakula na Afrika Mashariki itahitaji chakula baada ya changamoto ya COVID 19 kuzorotesha maisha ya wakulima na wafanyakazi.
Tanzania COVID-19 ipo pia lakini sio kubwa ya kusababisha taifa lijifungie.
Kama ningekuwa miongoni mwa watoa maamuzi...
Unajirusha mitandaoni maisha bora, kubadilisha magari makali, unaishi apartment kali, Bata kwa Sana! Kumbe sirini maisha feki, mke elimu Hana Zaid ya kuuza sura. Siku ya msiba mnaumbuka Mbele ya makamera!
***Msibani watu wanalia kwa mengi (aibu/fedheha mixer huzuni).
Mara kadhaa Wakenya wamekuwa wakionyesha chuki ya waziwazi dhidi ya Tanzania, hivi Tanzania iliwakoseeni nini?
Hebu angalia hizi picha mbili chini uone kina MK254 na wenzake ambavyo wana kikorosho kwa mtima.
Habari,
Hawa jamaa, wanatoa kozi zisizo sajiliwa, kuna magumashi. Kuna jamaa, alisoma post graduate ya M&E, baadaye akaambiwa haitambuliki
Ukizingatia umesha poteza muda na pesa, tuweni makini na hivi vyuo vya uchochoroni, pia Serikali ichunguze kwa umakini hivi vyuo uchwara, usije jutia...
Ni wakati mwafaka Bunge letu tukufu likutane ili lipitishe uondoaji wa kikomo kugombea urais, ile miaka kumi sasa isiwepo. Kama mtu anafaa na hali inamruhusu aendelee milele hadi kifo kitakapomuondoa.
Lakini hapa pia litayarishe Tume huru japo kutakuwa na jamaa wenye mkono mkono, ila ikubalike...
Habari ndugu zangu,
Sote tunafahamu ukubwa wa tatizo la upatikanaji wa ajira nchini kwa miaka ya hivi karibuni. Kwa kipindi tulichopo, hakuna tofauti baina ya msomi wa masters na aliyeishia darasa la pili, maana wote wanakimbilia kazi primitive zisizohitaji ujuzi wowote wa kielimu (mfano...
Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa urafiki na China uliosainiwa na Mwalimu Nyerere miaka 55 iliyopita, amesema Prof Kabudi.
Chanzo: Eatv...
Wasalaam wana jamvi.
Kiwanda cha muziki tanzania kimekuwa sana na ni wazi kabisa muziki wetu hasa bongo fleva umekuwa mgumu sana.
Lakini kwenye miondoko ya taratibu na kubembeleza ni wazi kabisa kumekuwa na ugumu wa wasanii wengi na ni wachache wanaweza kumantain.
Lakini ukifatilia trend ya...
Salaam Wana JF,
Naanza andiko hili fupi kwa kumshukru Mungu kwa wema wake wote kuendelea kutupenda sisi Watanzania na kutujalia kheri za kila namna katika shughuli zetu za kila siku.
Baada ya Salaam hizo niangazie kusudi la barua hii fupi, Andiko hili kimaudhui ni kutambua Mchango wa kipekee...
Kuna Matunda ambayo tokea nakua hadi hivi sasa nautafuta Uzee wangu yalikuwa yakidharaulika na hayapendwi kabisa Kuliwa na Watanzania ila cha Kushangaza Siku hizi baadhi ya Wajasiriamali ( Wafanyabiashara ) wakiyaandaa vyema, kuyaweka Sokoni na kusema ( kutangaza ) yanatibu au kuongeza Nguvu za...
Nilidhani baada ya aliyekuwa Kadinali wa Kanisa la Katoliki Tanzania ambaye pia ni Askofu Jimbo la Dar es Salaam, Muadhama Askofu Pengo kustaafu na kurithiwa na Askofu Yuda, kwamba mrithi wake angerithi vyeo vyote viwili.
Lakini nimeona sivyo kwani Baba Askofu Yuda anatambuliwa na kuitwa Askofu...
Mikoa mingi inayopatikana kusini mwa Tanzania iko nyuma kimaendeleo.
Ruvuma, Lindi, Mtwara hii mikoa ni imetengwa na kupuuzwa kwa miaka mingi.
Nitaelezea kwa Ruvuma, mkoa wa Ruvuma makao makuu Songea hakuna chuo cha elimu ya juu hata kimoja, vilivokuepo vyote vilifungiwa na ikawa mwisho wake...
Baada ya Serikali ya awamu ya tano kukwama kwenye sekta ya ajira kamekuja katabia ka watu kuwabeza wasomi waliorundikana mitaani kwa kukosa ajira, kwamba wameshindwa kutumia elimu waliyoipata ama kujiajiri au kuwa wabunifu ili waweze kujikwamua.
Kiuharisia suala la msomi kujiajiri baada ya...
Habari Wakuu. Kwa Wahenga na wale kizazi kipya kuna matukio yalitokea, kama si kumbukumbu za vyombo vya habari, basi anayekusimulia,utamuhisi amekopi sinema fulani na si uhalisia ulotokea Tanzania. Baadhi ya Matukio hayo ni pamoja na
1.Toleo la kwanza: Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza...
Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia kujiripuwa ,ni kubakia ulaya na kuanza kujituma tukitumai maisha yatanoga na kweli yamenoga na wengi...
Ni mmoja wa Tanzania ambao siasa za Tanzania wanazijua A to Z.
Aliwahi kutoa siku saba kwa majambazi kusalimisha bunduki na majambazi wakasalimisha silaha, silaha zikachomwa kama kuni.
Alipoibua ufisadi wa Singasinga Chavda juu ya mashamba ya mkonge aliyoyapata kwa ufisadi, alijikuta anapewa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Pombe Joseph Magufuli
I. UTANGULIZI
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020 umekwisha, ukiwa unasindikizwa na ukosoaji mkali kutoka kwa vyama vikuu vya upinzani vya Chadema, ACT Wazalendo na CUF. CCM imepata wabunge 261...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.