tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

    Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
  2. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tanzania kinara wa Utalii Afrika 2022

    TheGrio ya Marekani waitaja nchi ya Tanzania kuwa miongoni mwanchi tano zinazofaa zaidi kwa utalii 2022 barani Africa wakati wa kipindi cha baridi, TheGrio, Chaneli maarufu zaidi nchi Marekani wakitumia Mbuga ya Serengeti, bichi mbalimbali visiwani Zanzibar na makumbusho...
  3. Poker

    JamiiForums Tanzania Best female artist wa Tanzania!!

    anitwa saraphina ndio mwanamuziki wa kike bora kwa Sasa Tanzania Hana mpinzani wana Jamii forums naombeni support yenu kwa huyu mwanadada
  4. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ashangaza wengi kasi ya Ukuaji Uchumi Tanzania

    ==== Rais Samia aifikisha Tanzania ukuaji wa Uchumi wa 5.2% kutoka 2.1%,Heko Tanzania, According to National Bureau of Statistics (NBS) Pato la Taifa yaani Tanzania Gross Domestic Product- GDP limekua kwa kasi ya ajabu katika kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan, Pato letu...
  5. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Huu hapa utaratibu wa kumuondoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sehemu ya 16 ya kanuni za kudumu za Bunge inafafanua kwa uzuri kabisa jinsi ya kumuondoa Spika na Naibu Spika. Enjoy!
  6. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Deni la Nchi yetu Tanzania

    Ndugu Mheshimiwa Rais, Mama Samia, najua unasomoga humu, au kama husomagi najua wapo wanaokusomeaga comments za humu za watapika nyongo. Niende moja kwa moja kwenye kichwa cha habari hapo juu... 1. Anzisha utaratibu mpya wa ku-service deni la taifa bila kusibiri liive ndio tuanze kutafutana...
  7. markp

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa la Tanzania kamwe halitalipika wala kupungua, tusidanganyike

    Deni la taifa kila rais anayeingia analiongeza kwa urefu na upana anaotaka. Kama MKAPA trl 23, KIKWETE Trl 20 na MAGUFULI Trl 29 ukijumlisha hao tu unapata 72 na sasa tunaambiwa deni ni maeneo ya 70 huko huko sasa nani atakuja kuwa Rais ambae hatakopa ila atalipa au kupunguza deni kama wote...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ukiona Kiongozi wa Tanzania anakosa msimamo hadi anafikisha miaka 60 tambua anatafuta ajira za juu na uteuzi wa watoto wake

    Mfumo wetu wa ajira unaeleza kuhusu sifa za mwomba ajira na unafafanua hadi timu ya usahili. Ni mfumo mzuri na Dunia nzima inautumia. Kilichotokea Tanzania Leo wazazi wamekosa uvumiliv, hauna mzazi mwanasiasa mwenye nafasi za juu anayetaka mtoto wake asote kupanda Madaraja na vyeo kwenye...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimebaini Watanzania ni Vinara wa mambo haya

    NIMEBAINI WATANZANIA NI VINARA(SUPERPOWER) WA MAMBO HAYA; Anaandika Robert Heriel. Kwa wasomi wa somo la Historia watakubaliana nami kuwa hapa Duniani kuna mataifa ni superpower na yapo yalikuwa hivyo. Mpaka sasa taifa la Marekani ndio superpower wa Dunia yetu huku taifa la Uchina likimpa...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Mzee Mwinyi: Mtanzania wa Kwanza Kuwa Rais Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana Mzee Mwinyi anapenda kusema tujitahidi kuacha hadithi nzuri hapa duniani. Kwakweli huyu Mzee...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2021 ulikuwa ni Mwaka wa Majanga kwa Tanzania. Mwaka 2022 uwe Mwaka wa Mabadiliko, Watanzania tubadilike! Happy New Year!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Salaam za Mwaka Mpya, Imechapishwa kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Jana ndio tumeuanza mwaka mpya wa 2022, hivyo nianze kwa kuwatakia heri ya mwaka mpya wasomaji wangu na Watanzania wenzangu, “Happy New Year”. Wakati tukitakiana heri ya mwaka mpya, sio...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa vijana Tanzania: Spika Ndugai achunge ulimi wake

    Rais wa vijana nchini ndugu Jackson Mbinjembinje amemjia juu spika wa bunge la JMT na kumtaka achunge kauli zake. Aidha amehoji uhalali wa yeye spika kuionea uchungu nchi hii ili hali huko nyuma amefanya blunder nyingi zinazolizamisha taifa hili kiuchumi na kidemokrasia. Ametolea mfano kauli...
  13. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaathirika na udhaifu wa fikra (Inferiority Complex) wa viongozi wetu wakuu

    Tukianza na Rais yeye anafikiri kuna watu wanamdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke. Mawazo haya amekuwa nayo hata kabla hajaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mara baada ya kuapishwa hotuba yake rasmi kama Rais alitamka kwa msisitizo kuwa yeye ni Rais mwanamke! Hali...
  14. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Benki ya Kilimo Tanzania haina faida yoyote kwa Mkulima

    Wadau wenzangu wakilimo hiki kinachoitwa benki ya kilimo naona Kama hakina tija yoyote kwa mkulima halisi,najua mkulima yupo kijijini Lyazumbi, Katonto,Muze,Mtowisa,Chikumbulu huku au Ngulugulu huko Ileje ndani na vijiji vyote vinavyohusika na kilimo hawana taarifa na namna ya kunufaika na benki...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Kamishna Mkuu wa Uhamiaji, Passport za Tanzania zinakimbilia mikononi mwa wageni kupitia viongozi waandamizi na askari

    Tanzania imezungukwa na maadui wengi kuliko marafiki, Tanzania imezungukwa na nchi zisizo na amani kama taifa letu. Ulinzi wa Tanzania upo mikononi mwetu Watanzania. Tusiposema hakuna atakayesema Kesho Wala Kesho kutwa. Nchi yetu imevamiwa Sana na wageni wanaotaka kuifanya nchi hii ni Mali Yao...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Chama Tawala nchini Tanzania Chawatakia Wananchi wake heri ya Mwaka mpya 2022

    === Chama Cha Mapinduzi Tanzania ambacho ndio Chama Tawala cha nchi hiyo kimewatakia heri Wananchi wa nchi hiyo katika kuufika mwaka mpya wa 2022, CCM chini ya Mwenyekiti wake Mhe Samia Suluhu Hassan ambae pia ni amiri Jeshi mkuu na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kimewatakia heri raia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wa Tanzania kama hamna Upendo na nia ya kweli dhidi ya Kuwakomboa Wakulima acheni Kuwapenda Kinafiki kwani inakera!!

    Sasa ni mwaka wa 20 huu nawasikia tu Wanasiasa wa Tanzania kila mara wakisema wanawapigania Wakulima na wanawapenda lakini kila Siku nasikia mpaka Kushuhudia Vilio vya Wakulima kiasi cha mpaka kutia Huruma. Tanzania ingekuwa na Viongozi imara tena wasio na Unafiki mwingi ndani yake nina uhakika...
  18. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Wachezaji maarufu wa mpira Tanzania, ni nani aliyewaroga?

    Wakuu, Tumekuwa Tukiona Wasanii Wa Tanzania Wakisign Deals na Kampuni mbalimbali ya Kuwa Mabalozi wa kampuni husika na Kujiingizia Kipato kikubwa kwenye Mifuko Yako, Hii inatokea hata kwa Wale wasanii ambao wanavuma na Nyimbo 2 au Tatu wamekuwa Wakilamba Baadhi Ya Deals Katika kampuni. Ipo kwa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwepo na vibarua (deiwaka) Tanzania wakati hawana haki zozote kisheria kama sio unyanyasaji?

    Habari wakuu Naomba niwasilishe hii hoja kwenu. Kima cha chini cha mshahara wa deiwaka kilichowekwa kisheria ni tsh 4400 kwa siku hapa nchini kwetu Tanzania. Kwa mkoa wa dar es salaam, mtu ukimlipa hela iyo kwa siku ni kumuonea kulingana na kazi ngumu wanazofanya. Lakini mshahara huo sio hoja...
  20. keith_983

    JamiiForums Tanzania Did Kilwa Kisiwani influence any ancient history?

    I have before looked into ancient history of Tanzania and Arabic history of Tanzania, but I am very curious to what I can find out from people who are more adept in the subject. Does anyone know in what way Kilwa Kisiwani or any parts of the Ancient world in the region of Tanzania and Zanzibar...
Back
Top Bottom