tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. nyboma

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, ni wazi kwamba watu wanamdharau (wanamchukulia poa)

    Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR "..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana

    Tanzania sasa kuna separation of power tukiitumia vizuri katiba inapatikana
  3. chongchung

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyerere na Tanzania vinaenziwa Marekani kwa namna ya kipekee

    Kiswahili ni Tanzania kama ilivyo Ujamaa, Tanzania inajivunia Nyerere daima kwa kufanya Tanzania kuwa na influence kubwa ulimwenguni Tafiti zinaonekana kwamba Tanzania ndio taifa lenye ushawishi mkubwa wa kitamaduni duniani kutokea Africa Tanzania to the world 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩 Hope this is the next...
  4. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu mmojawapo kati yao alikuwa Rais wa Tanzania je unamkumbuka ni nani?

    HEBU TUJIKUMBUSHE
  5. Kategele

    JamiiForums Tanzania Maisha ya makambi ya Ukimbizi siyo kabisa. Amani ya Tanzania tuilinde kwa nguvu zote

    Nimebahatika kutembelea kambi ya wakimbizi Nyarugusu niliyaona daah. Kuna wakimbizi wa kishua na hohehae kabisa, Wale hohehae wana maisha magumu kinyama. Mule ndani ni kama upo Kongo au Burundi, wana shule zao,wana makanisa yao Kuna mitaa ya kikongo na kirundi. Mrundi haruhusiwi kukatiza mitaa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika Drone Pilots - Unitrans Tanzania Limited

    Unitrans Tanzania Limited has the following exciting opportunity at Kilombero and Kilosa Districts, Morogoro Region where is subcontracted for various agricultural operations to the sugar industry. We are currently looking for a suitably qualified, and experienced individuals to fill in the...
  7. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru mwaka 1961 hatujawahi kuwa na madarasa ya Shule za Serikali ya aina hii

    == Baada ya kutazama kipande hiki kifupi cha Video hii wacha sasa nitete na wale tuliosoma Shule za Msingi na Sekondari za Serikali ya Tanzania. Naamini tutakubaliana kuwa "Tangu Tanzania iwe huru hatujawahi kuwa na shule za Serikali za Msingi na Sekondari zenye hadhi na mwonekano kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimekubali Tanzania Kuna chuki kubwa, upo umezekano tunauana kimya kimya

    Nimemsikiliza Mwingira, nimemsikiliza Nape,nikamsiliza WA zamani wa Jumuhia ya wazazi wa CCM, nimemsikiliza huyu mzee mwanajeshi mstaafu kiongozi wa organizashen ya mambo ya nje, nikamsikiliza Gwajima, nikaona ushahidi wa Makomandoo, nikaona namna sabaya alivyotesa, Makonda alivyotesa, Muro...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Isabel Maganga ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Equity Bank Tanzania; afuata nyayo za Ruth Zaipuna wa NMB

    Equity Bank Tanzania names new boss Ms Isabel Maganga Equity Tanzania's new boss Equity Bank Tanzania has announced the appointment of Ms Isabel Maganga (pictured) as the new managing director in an acting capacity effective December 23, 2021. She is a career banker with over fifteen years...
  10. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu wowote wa mabucha yetu Tanzania kuuza nyama pamoja na mifupa?

    Wanabodi, imekuwa kawaida kwa Bucha zetu nchini kuuza nyama na mifupa yake. Awali walitumia mashoka kupasua mifupa hiyo na sasa misumeno inayoendeshwa na umeme imetamalaki. Kwa hali ilivyo sasa katika Bucha nyingi, mifupa ni muhimu katika kutengeneza faida kwao na karaha kwa walaji. Uwa...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Madaktari 38 wakutwa na COVID-19 Zanzibar

    Chukueni tahadhari, hiki kitu kimebeba hadi marais... ========= Eighty nine people have on December 24 tested positive for Covid-19 including 38 doctors and nurses at Mnazi Mmoja Referral Hospital in Zanzibar. This was said by the hospital's director Dr Marijani Msafiri while briefing the...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ili iendelea Yapasa Vyama vyote vya siasa Vifutwe

    Ili Tanzania isonge mbele inabidi kutokee namna fulani vyama vyote vya siasa vifutwe na wanasiasa waliopo sahivi wote kwa ujumla wao wazuie kujihusisha na siasa wala kuteuliwa ama kuchaguliwa. Pili wafanyakazi wa umma wafutwe wote, waajiriwe wapya tuanze upya. Wafanyakazi wataobaki wawe...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Covid: Falme za Kiarabu wazuia ndege zao kuja Tanzania

    Hii ni habari kwa mujibu wa taarifa ya habar ya Azam saa mbili usiku huu. Serikali yashangazwa na uamuzi huo wa Falme za Kiarabu . Habari ndio hio.
  14. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Je, CCM wana nia ya kweli ya kutupa Tume Huru ya Uchaguzi? Basi twaweza sema: Good objective, wrong approach henceforth, no results

    Wasielewa waelewe hili; Kwamba, CCM ni chama cha siasa kama vilivyo vyama vingine vyote hapa nchini kwa maana ya CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi, ACT WAZALENDO nk nk. Malengo ya chama chochote cha siasa huwa ni yale yale kubwa likiwa ni kushika dola. CCM kwa sasa na pengine tangu uhuru 1961 katika...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Je, ushoga umeanza kukubalika Tanzania?

    Ukitazama mitandao ya jamii na mitaani Kuna vijana wanajinadi kabisa kuwa tops,vers na bottoms lakini hawachukuliwi hatua za kisheria. Je ushoga umeachwa uenee bila wasi wasi?.
  16. J

    JamiiForums Tanzania Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

    Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani, Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan. Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dubai, UAE: Ndege kutoka Tanzania kutoruhusiwa kutua kuanzia Desemba 25

    Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron. Nchi nyingine zilizozuiwa ni Kenya, Ethiopia na Nigeria. Hata hivyo, Ndege za UAE zitaendelea kupeleka...
  18. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Video: Tanzania Royal Tour

    Her Excellency! Impressive video!
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania: New World Bank Financing to Secure Land Rights for Up to Two Million Citizens

    WASHINGTON, December 21, 2021—The World Bank Board of Executive Directors has approved new International Development Association (IDA)* financing for Tanzania that will strengthen the national land administration system and increase tenure security for at least two million land holders, users...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

    1. TAWAQAL EXPRESS Pichani ni basi la kampuni ya Tawaqal. Kampuni hii ilikuwa balaa. Njia ya Dar - Mbeya, Dar- Kyela, Dar - Tunduma na Dar - Songea. Kampuni hii ilikuwa na madereva mahiri kwelikweli. Miongoni mwao alikuwepo GIRIKI. Jamaa alitoka Dar saa 12 asubuhi akaingia Mbeya saa 7...
Back
Top Bottom