Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kenya imechangamkia fursa iliyotokea hivi karibuni ya uhitaji wa zao la mahindi nchini Sudan Kusini, hii ni baada ya Uganda ambayo ni tegemezi la South Sudan katika mazao kuwa na uzalishaji mdogo wa mahindi.
Jambo hili limepelekea bei ya zao la mahindi nchini Sudani Kusini (mwanachama wa...
Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000.
Napata tabu sana kuelewa...
Miaka ya nyuma kila ikifika January hapa nchini palikuwa na tatizo kubwa sana la uhaba wa madarasa na hii ilisababisha watoto wengi waliochaguliwa kidato cha kwanza kukosa nafasi ya kujumuika na wenzao.
Serikali ya CCM kuona hili ni tatizo la kudumu ikaona itumie mkopowa Uviko 19 ili kumaliza...
I am currently a 17 year old American who has been voluntarily learning Kiswahili for almost a year and a half now. I have been wanting to move to Tanzania for the same amount of time. Another few things to note, I have no family, no friends, no ties at all to Tanzania, I have no talents or...
Salama wandugu
tupitie kidogo Utendaji wa huyu mtu weka pembeni kasoro zake.
Aliweza kuifanya Libya kuwa nchi inayoongoza GDP kwa afrika,na hakuwa na madeni mpaka waLe jamaa wanauliza mbona hakopi huyu
aliifanya Libya yenye jangwa kuwa kilimo kwa kuweka mto wa kutengeneza ,afya bure,mama...
Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka.
Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti Watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani.
Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa...
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, imeifutia usajili Skuli ya Eden inayomilikiwa na Shirika la Afrika Agape Association kuanzia Januri 3 mwakani.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wizara kubaini mmiliki wa Skuli hiyo kuendesha Skuli kinyume na sheria, miongozo na kanuni za Wizara...
Siku hizi nashindwa hata kuingia JF kwani kwa sasa hili jamvi letu pendwa limekuwa kama kokoro. Hata hivyo hili tukio huko kwa jirani zetu limenizindua kutoka usingizi mzito. Kuna wakati taifa letu lilikuwa la kupigiwa mfano na hata sisi wananchi wake tulitembea vifua mbele bila soni wala aibu...
Wanabodi
Kuna huu msemo, "Everything a man can do, a woman can do", kumaanisha hakuna kazi za kike na za kiume, kila kazi inayofanywa na mwanaume, inaweza kufanywa na mwanamke.
Moja ya kazi rahisi sana ni kazi ya utangazaji, ila inahitaji kipaji. lakini kwa upande wa utangazaji wa mpira wa...
Wataalam na mabingwa wa kutungeneza Mabango Tanzania, Logo, Posters, Flyers na uchapishaji (Printing).
Wasiliana nasi kwa 0762 399 650 kwa maelezo zaidi.
Tuchukulie kampuni ya McHugh & Co ya London UK wamepewa deal na Bunge la Tanzania waiuze Tanzania yote.......wauze mkoa kwa mkoa hadi nchi yote iishe.
Je wewe kama una hela ungenunua mkoa upi?
Yaani kama umeshavuka miaka 25 basi kuangalia Tom & Jerry inakuwa ni vioja na kuonekana mtu wa ajabu sana,bado hujakua.Ila kama unataka kufurahi kama enzi zile basi angalia viongozi wa Tanzania wanapozungumza ,wawe wa serikali au wa vyama vya siasa,hata huko kweny vyuo au hata wale maprofesa...
Kauli ya Mama yetu Raisi Samiah Suluhu Hassan wakati akishuhudia utiaji saini wa awamu ya tatu ya reli ya SGR
"..Ubora wa vifaa vinavyonunuliwa uendane na reli inayojengwa kwa sababu miezi michache niliyokaa serikali, nimeona mambo mengi sana ambayo huko nyuma yalikuwa hayafanyiki lakini sasa...
Kiswahili ni Tanzania kama ilivyo Ujamaa, Tanzania inajivunia Nyerere daima kwa kufanya Tanzania kuwa na influence kubwa ulimwenguni
Tafiti zinaonekana kwamba Tanzania ndio taifa lenye ushawishi mkubwa wa kitamaduni duniani kutokea Africa
Tanzania to the world 🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
Hope this is the next...
Nimebahatika kutembelea kambi ya wakimbizi Nyarugusu niliyaona daah.
Kuna wakimbizi wa kishua na hohehae kabisa,
Wale hohehae wana maisha magumu kinyama.
Mule ndani ni kama upo Kongo au Burundi, wana shule zao,wana makanisa yao Kuna mitaa ya kikongo na kirundi.
Mrundi haruhusiwi kukatiza mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.