tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Dr Philip Isdor Mpango, attends The Extraordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC)

    COMMUNIQUÉ OF THE EXTRAORDINARY SUMMIT OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENT OF THE SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITY (SADC) 1. The Extraordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC), hereafter called Summit, was held in Lilongwe...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa 'Uongozi' Tanzania ungekuwa wa 'Umakini' Kuna 'Wapuuzi' kadhaa waliochukuwa 'Fomu' za Kugombea 'Uspika' kamwe wasingethubutu

    Kuna Mmoja hata Mfumo wake tu wa Elimu ni mbovu ( japo ni Tajiri kwa Ushirikina na Utapeli ) wake halafu naturally tu ni Fool nimeona kachukua Fomu ya Kugombea Uspika. Kuna mwingine Kwanza ana miaka 26 tu halafu 'hajasapua' bado 'Sapu' zake za Chuo Kikuu anachosoma na hata kuandika tu Chapter...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hotuba yako imejitoshela ila naomba nikosoe maeneo mawili Kwa kesho nzuri ya Tanzania

    Naomba kukupongeza Kwa hotuba nzuri inayoeleza kinaga ubaga umefanini na unategemea kufanya Nini huku ukiweka wazi vyanzo vyote vya fedha Kwa Kila mradi, nimependa umekuwa wazi kuonyesha namna tunavyohitaji mahusiano yakimataita kujenga uchumi Pamoja na hotuba nzuri nimejisikia vibaya kusikia...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, sasa ni wakati wa kuunganisha Tanzania Bara na Visiwani kwa kujenga daraja

    Mh.Rais, Kwa kuwa kisiwa cha Zanzibar ni chanzo kikuu cha vivutio vya kitalii, ukizingatia wewe ni mzaliwa wa Zanzibar basi fanya kila unaloweza kabla hujamaliza kipindi chako cha urais wa JMT ujenge daraja kubwa linalopita juu ya bahari kutoka Bagamoyo mpaka Zanzibar ili hata wenye magari...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania imarisheni 'Maslahi' kwa Waandishi wenu ili wasiwe wanang'ang'ania ziara za Wakubwa zinazowauwa kwa ajili ya Posho

    Ukweli ni lazima usemwe hata kama ni Mchungu na bahati nzuri pia naisemea Tasnia ambayo naijua, naiishi na nimebobea nayo. Waandishi wa Habari ( hasa mlio Newsroom ) mtakubaliana nami kuwa sasa ni kawaida kwa Waandishi wa Habari Kupenda kutumwa katika Ziara za Wakubwa ( Viongozi na Wanasiasa )...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kuna anayewafahamu Yellow Pages Tanzania

    Mambo zenu hustlers wenzangu! Hawa jamaa wamenipigia simu niende kwenye interview kesho kwa nafasi ya Data collection,wameniambia ofisi zao ziko Masaki jengo la TPSF. Kuna mwenye ABC zao humu,yani nataka kujua about mazingira yao ya kazi,mshahara na hiyo nafasi ya Data collection inakua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

    Toka ndani ya mioyo yetu tutafakari haya kwa pamoja huku tukimshirikisha Mungu wetu: 1. Kama sio Rais Samia Suluhu Hassan kupewa kibali na Mungu,Je watu wasiojulikana wangekuwa wamepoteza wenzetu wengine wangapi mpaka leo, Wewe unayempinga Rais Samia leo Je umewahi kujiuliza kama ungekuwa hai...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Licha ya kuingia uchumi wa Kati, Tanzania bado tuko chini katika ubora wa Maisha (HUMAN DEVELOPMENT INDEX) tunashika nafasi ya 163

    HDI kwa kifupi inaangalia Afya na umri wa wananchi , pamoja na ubora wa maisha wanayoishi. Pia ndio inayopima kama taifa limeendelea au liko chini. Kwa sasa Tanzania iko katika kundi la chini kabisa nafasi ya 163 , kinachoshangaza hata Comoro na Uganda wametupita. Kwa haraka tu nadhani Watz...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson umepotosha umma: Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi ya Tanganyika, Zanzibar wana mkuu wa nchi yao

    Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi. Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar. Kwa hiyo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ni Nani Mwakilishi Bora Wa Muda Wote Wa Muziki Asilia Wa Tanzania...?

    Asante Sana Chacha Maginga TBC..! Kwa kutuletea Kazi mbali mbali za Muziki ambazo Zimewahi kufanywa na Makundi mbalimbali Ya Muziki TZ na Afrika. Leo jan 11 ya 2022 Kipindi chako cha Usiku TBC 'nyumba Ya Dhahabu' umetuletea Kazi za Vikundi anuai Msondo Sikinde Maquiz Ramadhani Lemmy Ongala...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Klabu ya Tanzania Bara imerejea leo imeacha Zanzibar 'Kashfa' ya Wachezaji kuchafua Maliwato, Kuiba Mito, Mashuka na Sabuni zao

    Na ole Wenu Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio nchini Tanzania Kesho Jumatano tarehe 12 January, 2022 ( Mapinduzi Day ) misiwasikie mkiizugumzia hii kwani imeshaenea na Kusambaa mno huko Isles ( Zanzibar ) Na yawezekana Wachezaji wake wengi ( hiyo Klabu ambayo GENTAMYCINE bado...
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Tanzania Data Collectors at Compassion

    Compassion International Tanzania is seeking qualified data collectors to administer surveys to children, youth, and adults. The expected data collection window and time commitment for this position is January through March. Duties and Responsibilities: Maintain a personal relationship with...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wana-CCM wajitokeza kuchukua fomu ya kutia nia ya kuwania nafasi ya Spika wa Bunge la JMT. Yupo Dkt. Tulia na Masele

    Aliyewahi kuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Bunge la Afrika (PAP), Stephen Masele na Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson wamechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania Mtu mwingine aliyechukua fomu ni Patrick...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na...
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia anaenda kuliua Bunge kama atachaguliwa kuwa Spika

    Kwa maoni yangu kwa kauli ya jana ya Naibu Speaker Dr Tulia Ackson, ni kweli kama atachaguliwa kuwa speaker wa bunge bunge litakufa na kubaki kuwa kitengo cha ikulu. Kwanza, anadai Rais ana nguvu Sana. Ina maana hajui kuwa bunge lipo pale kwaajili ya kuangalia na kumchunga Rais asitumie nguvu...
  16. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yanyakua soko la Uganda toka Kenya kutokana na Kenya kuanzisha ugomvi wa kibiashara na Uganda

    Tanzania could eclipse Kenya to become the dominant economy in the East Africa region going by the latest findings by a US-based consultancy firm Invesco. Tanzania ranks at position six with Kenya coming at position 13 in the ranking of African nations most endowed with the potential to...
  17. markp

    JamiiForums Tanzania Hivi uandishi wa habari Tanzania ni tofauti ma nchi nyingine? Kazi hasa ni zipi?

    Kwa wataalamu wa mambo ya sanaa pamoja na sayansi ya uandishi wa habari napenda mtujulishe kazi zao zina mipaka kiasi gani kwa viongozi wa nchi? Habari zinazoandikwa na kuripotiwa ni zile zinazojitokeza zenyewe tu by nature hakuna habari za uchunguzi za kisiasa. wanachunguza mambo ya afya za...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TEF yamtaka Waziri Nape kuyafungulia Magazeti ya Mawio, Mseto na Tanzania Daima

    KARIBU WAZIRI NAPE, ASANTE DK. KIJAJI Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limepokea kwa matumaini uteuzi wa Mhe. Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. TEF pia linamshukuru na kumpongeza kwa kuteuliwa katika Wizara nyingine, aliyekuwa Waziri wa Habari...
  19. Mario Kempes

    JamiiForums Tanzania Je naweza kutumia king'amuzi cha Dstv cha South Africa hapa Tanzania?

    Naombeni wenye kujua mje mnijuze na je malipo ntalipaje nikiwa hapa nyumbani maana nimegundua king'amuzi cha Dstv cha South Africa ni gharama nafuu kulinganisha na hapa kwetu
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania tunatambulishwa kwa kipi? Nchi yangu inapoteza utambulisho

    Tanzania Yangu ya sasa imekosa alama yaani haina Identify kabisa. Je, ni nini alama ya Taifa letu kwa mgeni? Kwa mfano mgeni akitoka Marekani, China, Hispania au Ufaransa je, atatambua vipi hapa amefika Tanzania? Ukiingia China utakuta Maandishi ya kichina Kwenye Mabango, hivyo hivyo ukienda...
Back
Top Bottom