tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Asili na Maana ya Jina/majina ya sehemu mbalimbali Tanzania

    Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini? Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
  2. joto la jiwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania ni namba 3 Afrika nzima katika uzalishaji na uuzaji nje wa chakula, ndio tegemeo wa nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

    TANZANIA is Africa's third strongest exporter of food commodities to the rest of the world. The United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) ranks the country third after Guinea and Mauritania in a ratio of basic food balance to total merchandise exports index published recently...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongereni majirani: Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki

    Haiwezekani mshindwe kwenye vyote, hampo kwenye riadha, elimu, chumi bora Afrika na mengineyo...walau kwa hili mumewakilisha vyema, na lile pendwa la ushirikina...hehehehe December 3, 2021 by Global Publishers Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo...
  4. markp

    JamiiForums Tanzania Tabia ya Trafiki kula kwa urefu wa kamba zao imekithiri. Mamlaka ziingilie kati kukomesha rushwa za waziwazi

    Kuna magari almaarufu kama daladala , haya magari yakisimamishwa na Polisi hasa hawa wa usalama barabarani dereva akisimama tu JAMBO LA AJABU SANA KONDA HUSHUKA KAMA NINJA NA KUKIMBILIA KWA POLISI NA MARA HIYO HIYO POLISI hukenua meno na kuruhusu gari iondoke. Nachojiuliza Mkuu wa Polisi haoni...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea kuwa taifa la kike la mfano duniani

    Naam sasa ndio wakati wa kuidhihirishia dunia kuwa Wanawake wanaweza au hawawezi wakipewa. Mihimili miwili mikuu kati ya mitatu kuongozwa na wanawake, huku wizara nyeti kabisa takribani 8 ikiwemo ULINZI kuwa chini ya wanawake. Jee tutaweza kuidhihirishia dunia kuwa Tanzania ni TAIFA LA KIKE la...
  6. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Arusha yatajwa miongoni mwa majiji 10 bora duniani kwa huduma za kitalii

    Tovuti maarufu zaidi duniani ya CNN Travel imechapisha na kulitaji jiji la Arusha toka Tanzania kuwa ni miongoni mwa Majiji kumi tu ( 10 ) duniani yanayoboresha zaidi huduma za kitali mwaka baada ya mwaka, CNN-Travel imezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na Mwongozo au Waongoza Watalii pamoja...
  7. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Google Map Street View Africa na Tanzania kwa Jumla

    UKwa kutumia google Map unaweza kuona hali hali halisi ya sehemu mbalimbali za dunia na kuzifahamau hata bila kufika. Hii imekuwa pia inasaidia watalii kutembelea sehemu fulani za dunia kujihakikishia wanyaoona huko Google maps. Ukiangalia ramani ya dunia, utaona kuwa Amerika ya Kusini, Amerika...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakayekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania

    Serikali imewahakikishia wananchi kuwa hakuna mtu atakekufa kutokana na njaa ndani ya Tanzania. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe amesema serikali ina akiba ya chakula inayokidhi mahitaji ya wananchi watakaokuwa na upungufu wa chakula...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Happy birthday Tundu Lissu

    Heri ya kuzaliwa kwako Mh. Tundu Antipas Lissu. (Kawimbo) Happy Birthday to youuu, Happy Birthday to youuu Happy Birthday Deat Lissuuu, Happy Birthday to youuuuuuuuuu! Unapoanza mwaka wako wa 54 Mwenyezi Mungu akujalie afya njema na maisha marefu. You are the HERO! Ule mkono wa Mungu...
  10. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uganda and Tanzania boosted Kenya's tourists numbers to 0.8 mln

    US, Uganda, Tanzania top as Kenya’s tourist sources THURSDAY JANUARY 20 2022 Tourists at a park Summary In the period between January to December 2021, USA topped as the major tourist source for Kenya with 136,981 followed by Uganda (80,067), Tanzania (74,051) while the United Kingdom and...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tripadvisor's top 10 trending destinations in the world. Arusha, Tanzania is number 8

    The trending destinations category is for the locations that showed the greatest year-over-year increase in a combination of positive Tripadvisor traveler reviews and ratings for accommodations, restaurants and things to do. These are the top 10: 1. Mallorca, Spain 2. Cairo, Egypt 3. Rhodes...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Diaspora anawezaje kununua Bond/T-bill za Benki Kuu ya Tanzania?

    Swali ni jinsi gani diaspora anaweza kununua Bond/T-bill za bank kuu ya Tanzania? Nimetafuta kwa mitandao sijapata jibu
  13. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ngumu sana kutoboa bila shortcut, hakuna uwazi

    Tuseme ulikiwa unafanya biashara maeneo yasiyo rasmi (machinga) ukatolewa na serikali. Ukatoka na msingi wako wa 2ml kwenda mtaani kuanza biashara unaamua kuuza kiduka cha vitu vidogo vidogo labda na gas za kupikia majumbani. Kutokana na msingi kuwa mdogo na hali ya biashara mauzo yako...
  14. Sijali

    JamiiForums Tanzania Sababu za Tanzania kupitwa kimaendeleo na nchi nyingine

    Tanzania, kwa historia yake, rasilimali zake (watu na mali) na amani yake ingekuwa moja ya nchi tano Afrika zinazoongoza. Lakini kiuhalisia, inashindwa mbali na vinchi kama Senegal, Cote d'Ivoire, Botswana, Ghana. Ingawaje tuna GDP kubwa kuliko nchi hizo. Hakuna mchawi, isipokuwa tumeanza...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe Masoko yote makubwa yaliyoungua Tanzania yawezekana sababu ya Kuungua kwa la Karume ikawa ni sababu ya Jumla?

    "Sababu ya Kuungua Moto Soko la Karume juzi ni Wale Mateja waliopo katika vile Vibanda kupenda Kulanduka kwa Mihadarati kama Bangi kila mara Vizimbani hasa hasa nyakati za Usiku" Mdau Bwana Tito. Taarifa hii ipo katika Ukurasa wa Instagram wa Mtangazaji wa ITV na Radio One Dada yangu Farhia...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mfanyabiashara Tanzania atapeliwa milioni mia sita na kufilisika

    Mwanadada Twaiba classic amekiri kutapeliwa na mwanadada Khadija Naif zaidi ya Tsh milioni mia sita. Wawili hawa walikutana Instagram na kuwa marafiki Twaiba hakuwa na hofu nae. Alimuambia atamuunganisha na wawekezaji wakubwa tu maana ndo kazi zake za kuleta wawekezaji nchini pia ameolewa na...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Malawi anashiriki Afcon, sisi tunafeli wapi?

    Ni ka nchi kadogo tena masikini zaidi yetu. Inakuaje kanafuzu na kufikia kupambana na miamba ya afrika magharibi akina Sadio Mane na kutoana nao jasho kweli kweli. Shida kwetu ni nini? Nahisi kuna pahala kama nchi lazima kuketi chini na kuumiza vichwa kutafuta mchawi ni nini? Nchi yetu ni...
  18. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunakwama wapi? Inakuaje tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwenye Miundombinu bora ya Barabara?

    Kazi iendelee! Ni jambo la kushangaza kwamba Tanzania tunazidiwa na Nchi zote za Afrika Mashariki kwa mtandao na ubora Wa barabara isipokuwa Burundi. Hivi kama Nchi hatuna dira,malengo na mkakati wa kutekeleza kwenye kila sekta Ili tupate ufanisi? Inakuaje kila kitu tuko nyuma? Tena tunazidiwa...
  19. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Burundi kujenga reli ya thamani ya $900m

    Burundi na Tanzania zimetia saini mkataba wa $900m kujenga njia ya reli itakayounganisha nchi hizo mbili jirani, tovuti ya Citizen imeripoti. Reli ya 282km ya standard gauge itaanzia Uvinza mkoani Kigoma nchini Tanzania hadi Gitega, mji mkuu wa kisiasa wa Burundi, ripoti ilisema. Waziri wa...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee Bunge husimama na Serikali na kuwaacha Wananchi

    Kwa maneno ya Naibu Spika Tulia Ackson na Ndugai inaonesha Bunge halina meno na ni chombo kisichoweza kuisimamia serikali. Kwa tafsiri rahisi ndio maana hua kazi kubwa ya wabunge ni kupiga makofi na kusema ndioooooooo na kusema naunga hoja mkono asilimia mia moja na kazi yao nyingine ni...
Back
Top Bottom