tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu wengi ni maskini hapa Tanzania?

    Mimi ni mwalimu hali yangu ya uchumi sio nzuri sana kulinganisha na watu w kada nyingine, tatizo lipo wapi maana hata walimu wenzangu hali zao sio nzuri, tunakosea wapi walimu
  2. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    1. Wakati akitoa ushahidi wake wote Mara kadhaa wakili aliyemuongoza alisita kuendelea kumuuliza na kuanza kuteta chini kwa chini ikionesha Kuna majibu Alitoa nje ya matarajio yao. 2. Kucheleweshwa ushaidi wake kwa siku moja ama kulikuwa na mashaka juu ya ushaidi wake kutoka kwa mawakili wa...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Falme za Kiarabu kuondoa marufuku iliyowekwa kwa Wasafiri wa Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) utaondoa marufuku iliyowekwa kutokana na Kirusi cha Corona aina ya Omicron kwa Wasafiri waliotembelea Nchi 12 za Afrika ikiwemo Tanzania muda mfupi kabla ya kusafiri. Marufuku hiyo itaondolewa kuanzia Januari 29. 2022 Mataifa mengine ni Kenya, Afrika Kusini...
  4. voicer

    JamiiForums Tanzania Kutoweka vijana watano Dar es Salaam na Uzembe wa Media za Tanzania. Hakuna Muendelezo wala Hitimisho

    Wanabodi, Nawasalimia popote mlipo. Mod's: pia nawasalimia nikiwatakia kazi njema. Twende kwenye Mada. Ni takriban wiki moja imepita tangu habari ya kutoweka katika mazingira tata.Kwa vijana watano huko Dar es Salaam. Tukio hilo liliripotiwa kutokea December 26/2021. Habari hiyo ilishika...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Tukuze vipaji, turuhusu Uraia pacha

    Ndiyo njia pekee ya kukimbizana na kiwango standard cha soka la dunia. Kupitia Afcon hii kama taifa tuna la kujifunza hasa tukiyaangalia mataifa madogo kama Comoro, Malawi na cape verde juhudi kubwa na uwezo waliouonyesha licha ya baadhi yao kushiriki kwa mara ya kwanza katka fainali hizi. Ni...
  6. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Geronimo Pratt: Kiongozi wa Black Panther na Godfather wa Tupac aliyeishi Tanzania baada ya FBI kumbakikia kesi iliyomweka gerezani miaka miaka 27

    Elmer "Geronimo Ji-Jaga" Pratt Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa Tanzania, basi utakuwa unaikumbuka ngoma kali ya Nako2Nako inayoitwa We Ndiyo Mchizi Wangu Remix (2008) iliyowashirikisha marapa kibao kama vile Fid Q, Geez Mabovu, Babuu, Mwana FA, Temba, Mansu Li n.k Ukiisikiliza vizuri ngoma...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa na simba wengi kuliko nchi nyingine duniani

    Bwana Sven Lindqueast Rais wa Jumuiya ya Uwindaji ya Kimataifa, (SCI) ameitaja Tanzania kuwa ni nchi yenye nusu ya Simba wote Duniani katika Mkutano wa 50 wa Mwaka wa Uwindaji wa Kitalii uliofanyika nchini Marekani hivi karibuni. Rais Sven Lindquest amesema kwa hatua hiyo ameipongeza kwa juhudi...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Wafamasia wana nini?

    Hawa jamaa ndio wanaosimamia maduka ya dawa maarufu kama Pharmacy. Jana nimeona wameungana na wanaharakati akina shangazi, kupinga agizo la mheshimiwa waziri Ummy, la kuondoa maduka ya dawa yaliyo karibu na Hospitali za umma kama inavyosema sheria yao wenyewe. Sheria au kanuni ziliweka umbali...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yazindua mradi wa akili bandia

    Dodoma. Serikali ya Tanzania imezindua mradi wa maabara ya akili bandia (artificial intelligence) utakaosaidia kurahisisha shughuli za maendeleo nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohamed Khamis Abdullah akizindua mradi huo katika Chuo Kikuu...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wiki ya sheria Tanzania: Je, Ibara hii ya Katiba inahitaji Elimu kubwa kiasi gani kuielewa?

    IBARA YA 149 (1) c YA KATIBA YA TANZANIA; Mtu yeyote mwenye dhamana ya kazi yoyote iliyoanzishwa na katiba hii. " ... Ataweza kujiuzulu kwa kutoa taarifa iliyoandikwa na kutiliwa sahihi kwa mkono wake, kwa kufuata masharti yafuatayo:- C) Iwapo mtu huyo Ni SPIKA au NAIBU SPIKA wa Bunge, basi...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Je Mbeya ndiyo chimbuko la hiphop hapa Tanzania?

    Habarini. Si ku nyingi nimekuwa naona wasanii waanzilishi wa hiphop hapa Tz walikuwa wanatokeo, au hasa waliowahi kuishi Mbeya. Sugu anatajwa kama watu wa mwanzo kuanza kuimba hiphop Tz. Huyu ni mzaliwa na mkazi wa Mbeya kabisa. Kuna mtu kama Prof J, Advance kasoma shule ya Lutengano Mbeya...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania wakati wa uongozi wa Hayati Magufuli

    Mimi ni mwanafunzi kutoka Ujerumani naandika tasnifu yangu kuu kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania nikizingatia sera ya vyombo vya habari wakati wa Rais Magufuli. Lengo langu ni kufahamu maoni na mjadala kuhusu mada hiyo kwenye JamiiForums. Umma wa kidijitali unafikiriaje kuhusu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Maskini wajasiriamali wa Tanzania, msikate tamaa, wanaowanyanyasa wangependa mzidi kuwategemea

    Coco beach wamevamiwa Usiku wa manane wakaporwa Mali zao, coco na makao Makuu ya nchi SIYO mbali lakini wajasiriamali awakupata msaada wa dola na serikali. Arusha wamenyang'anywa vitu mbalimbali, hakuna Mbunge Wala Diwani wakuwasemea. Wajasiriamali wamekosa mtetezi. Huko Zanzibar wanaondolewa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania NECTA yatoa ufafanuzi kuhusu mjadala wa ufaulu kati ya shule ya Wasichana ya Anwarite na ya Wavulana ya Feza

    Wakuu Sina la kusema Sana nitaatach maswal ya MALISA ambayo amewauliza NECTA Kama haitofunguka Anauliza shule ya SEKONDARI ANWARITE ina watoto 76 wote wamepata daraja la 1 na imekuwa ya 11 kitaifa Lakn sule ya SEKONDARI FEZA WAVULANA ina watoto 62 lakn 59 wamepata daraja la 1 na 2 daraja la 2...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania Bara imekuwa maabara ya kufanyia majaribio?, Kwanini Rais kaanza kuthamini machifu bara lakini hataki kujaribu Zanzibar?

    haya mambo ya uchifu yalishafutwa tangu 1962 lakini yanaanza kurudi tararibu. Ni miezi kama minne hivi iliyopita raisi wetu alikutana na machifu lakini jana tena kakutana nao, nini kinafaidisha taifa kwa haya mambo?? ajabu ni kwamba haya mambo yanafanyikia tu huku kwetu bara lakini huko upande...
  16. Feld Marshal Tantawi

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan...
  17. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Sport Fishing

    Sport Fishing ni Uvuvi wa Samaki katika bahari, Maji ya ziwa, bwawa au mto Kwa ajili ya kujifurahisha, burudani au Mashindano. Hii ni aina tofauti na Uvuvi wa Samaki wa biashara na kujikimu, huu ni rahisi Sana mtu anayevua anaweza akawa kwenye Boti ndogo au pembezoni mwa bahari/Ziwa/bwawa/mto...
  18. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Kukataliwa na kutupwa kwa parachichi za Tanzania kule Afrika Kusini nini tunajifunza?

    Waziri wa kilimo ameandika kwenye ukurasa wake wa kijamii. Kuwa maparachichi yaliyo enda kuuzwa nchini Afrika ya kusini kutokea Tanzania yamekataliwa na kutupwa kutokana na mapungufu ya ubora unao hitajika ikiwemo kuchumwa yakiwa bado machanga au hayaja komaa vizuri. Je lawama apewe nani kati...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania mikononi mwako Mungu

    Watanzania macho yao yapo mbele yako Mungu. Usipo shuka nakututetea basi tumeangamia. Wewe unaona toka mbali sana na Wewe ndie Baba wa Taifa la Tanzania. Shetani amekunjuwa makucha kuturaruwa nakutugawa mithili ya vazi lililo kuukuu. Je utafunga macho yatokee yale wanadam wamepanga yatokee siku...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Issa Shivji: Ufutaji wa Uchifu Kisheria, ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa

    Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali. Ufutaji wa...
Back
Top Bottom