tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Karim Mandonga alivyopokelewa kwenye ofisi za Balozi wa Tanzania Nchini Kenya

    Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Dkt. John Simbachawene amekutana na bondia Mtanzania Karim Mandonga na kumpongeza kwa ushindi wake dhidi ya bondia wa Kenya, Daniel Wanyonyi katika pambano lililofanyika Jumamosi nchini Kenya.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anazidi kuifungua nchi kimataifa. Tanzania kunufaiki na fursa za kongamano la Uchumi duniani

    Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu ni moja ya viongozi 50 duniani walioalikwa kuhudhuria kongamano la Uchumi duniani linalofanyika nchini Uswisi lakini viongozi kutoka bara la Afrika waliolikwa ni wawili ambao ni yeye na Rais Ramaphosa. Pamoja na mambo mengine, kongamano la mwaka huu lililoanza Januari...
  3. JamiiForums Tanzania Historia kuwekwa Tanzania 2025, huenda Waziri Mkuu (Premier) ajaye akawa ni Mwanamke

    Ombi langu Kubwa kwenu kama GENTAMYCINE kwa mnaomuandaa huyo Waziri Mkuu Mwanamke (Mwanamama) ajaye wa mwaka 2025 (ambaye tayari Jina lake nimeshapenyezewa ila kamwe sitothubutu Kulitaja) ni kwamba mlindeni mno ili yale ya Deo na Chopper ya mwaka 2015 yasijirejee tena. Na nasikia huenda hata na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi nchi jirani na rafiki wa kweli wa Tanzania ni ipi?

    USA wana Canada, Nigeria wana Ghana, Australia wana New zeeland. Namaanisha yule jirani ambaye hata ukienda kumtembelea unahisi uko nyumbani tu haubaguliwi. Mila zinaendana. Kwa Tanzania ni nani? Kenya? Uganda? Rwanda? Burundi? Malawi? Msumbiji?
  5. JamiiForums Tanzania Benki zilizoongoza kwa kutoa mikopo ya Nyumba na Makazi Tanzania 2022

    1. CRDB- Bilioni 193 2. Stanbic- Bilioni 41 3. Azania - Bilioni 36 4. NMB - Bilioni 34 5. NCBA - Bilioni 23 6. TCB - Bilioni 21 7. Exim- Bilioni 20.6 8. 1st Housing*-Bilioni 16.2 9. KCB- 15B 10. DCB- 13.8B THE CHANZO/ BoT
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo ingekuwa Norway tungekufa tunajiona

    kuna nchi japo na ufinyu wao wa rasilimali kama ardhi ila wanatumia walicho nacho kwa akili zao wote. Nchi ya norway kuna season inakumbwa na giza saa 24 yani hujui usiku wala mchana na muda mwingine jua linawaka usiku sio mchana. Baridi ni kali sana ila wanajitahidi nchi yao kufika mbali...
  7. JamiiForums Tanzania Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

    Wana JF Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini. Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa...
  8. JamiiForums Tanzania Ndege 3 za Air Tanzania (Air Bus) zimepata hitilafu ya kiufundi, haziruki

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke. Amesema Serikali inaendelea na mazungumzo na watengenezaji kuhusu matengenezo ya Ndege hizo...
  9. JamiiForums Tanzania Watu hawa wakipambana hapa Tanzania. Utakuwa Upande wa nani?

    Ikitokea ghafla unakuta watu hawa wanapambana mtaani. Bila kujua chanzo cha ugomvi ni nini. Je utamsaidia nani? 1. Traffic vs Dereva yeyote yule 2. Traffic vs Mwanajeshi 3. Traffic vs Raia yeyote yule 4. Traffic vs Askari 5. Askari vs Mwanajeshi 6. Askari vs Raia yeyote 7. Askari vs Mwanajeshi...
  10. JamiiForums Tanzania Elimu Tanzania uwafikie TIE

    Hakuna taasisi ya elimu ya ajabu kama yetu. Kweli kabisa inakera mara hakuna idadi. Kuna wakati natamani sijui ukutane nao wapi uwarushie hata mawe au kuwamwagia kinyesi. Just think. Hii taasisi ina jukumu, yaani ni wajibu wao kuhakikisha vitabu hasa vya kiada vinakuwepo kwa wanafunzi wote wa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Lissu akubali Tanzania ni salama na Rais Samia

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameahidi kurejea nchini baada ya kuona Tanzania sasa ni salama chini ya Rais Samia Suluhu kama tunakumbuka Rais Samia Suluhu Februari 2022 alifanya ziara ya kikazi nchini Ubelgiji Lissu alitumia fursa hiyo kukutana na Rais Samia Suluhu na kufanya...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Masharti ya mikopo yameikumba Tanzania, kupata mkopo sharti Makamu wa Rais atokee upinzani

    Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli. Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60. Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
  13. JamiiForums Tanzania Elimu ya Tanzania yamtisha Mzungu, Globalist kaamua kuibadilisha!

    Dunia hii ukiona mtu mweusi anatembea kibabe na kujiamini basi ni aidha Black Amerikan au Mtanzania hayo ni maneno ya mgeni mmoja alieyeitembea Dunia ikiwemo Tanzania pia. Globalist kaogopa, katishwa na Tanzania, sisi ndiyo nchi pekee ambayo ilikuwa haipindiki kama mti wa mpingo, Elimu ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda kujenga SGR kuelekea Kenya kwa kuwatumia wakandarasi wa Yapi Merkezi. Je, SGR ya Tanzania itaweza ushindani wa Kenya na Uganda?

    ..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya? ===== Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani

    Sugu anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani matukio ya kutisha hayapo tena democrasia imerejea chini ya Rais Samia Suluhu hakika tutafika mbali maana naona upinzania wameanza kupata akili sio kila kitu cha kupinga kizuri kisifie
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu. "Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nilishaeleza kwanini hatupaswi kuona ni kosa kwa Tanzania kukopa fedha za miradi kutoka nje, kwa kuwa tusipokopa athari zake ni hizi hapa

    Watanzania wengi hawaelewi kwamba suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa kutumia fedha yetu ya ndani sio suala la kujivunia wala kujisifia hata kidogo. limetuletea maumivu makali katika karibu kila sehemu ya uchumi, hasa wakati wa Magufuli. Miradi ya Magufuli aliyojivunia kutumia fedha...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni, mpakani na Rwanda sisi ni shamba la bibi?

    Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo: 1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya. 2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia endelelea kuwatumikia Watanzania kwa uaminifu, pia Katiba Mpya ni muhimu sana

    Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
  20. JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania hakuna kitu kinachoitwa mke wa mtu ni Nadharia tu

    Yaani tujikite kutafta riziki zetu za halali na hela Hapa Tanzania hakuna kitu kinaitwa mke wa mtu. Bora niendelee na Maisha yangu ya utawa tu Maana hizi ndoa zenu Ni zaidi ya vichekesho. Pole ndugu yangu hiyo pesa yako umetoa mahali Bora ungemvutia Mama yako maji ya dawasa .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…