Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tangu mama Samia aukwae uongozi aliamua kubadilisha taswira kabisa, alidhamiria kufuta zile chuki chuki na majungu zilizokua zimetamalaki kwenye awamu ya tano, watu walikua makatili hadi kutia viberiti vifaranga vya kuku.
Kuongoza nchi kwa misingi ya chuki utazidi kuwafanya watu wako wawe...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemuhukumu raia wa Botswana, Theo Leborang kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa la kuishi nchini kinyume cha sheria na kutoa taarifa za uongo kwa Maofisa wa Uhamiaji.
Hukumu hiyo imetolewa jana Jumanne...
Watangazaji wote wanaongea kwa mfanano mmoja, ni ajabu sana, unakuta reporter wa TBC hana tofauti na reporter wa ITV, house style moja. Sauti moja yaani kama ndo wanajifunza kutangaza.
Watangazaji wanatangaza kwa kunata nata sana its like slow motion, sentesi moja ina tamkwa kwa sekunde 17 yaan...
Naiangalia Tanzania ya mwaka 2073 miaka 50 kutoka leo. Najitenga na ubinafsi nifikiri bila kuzugwazugwa. Nauangalia mfumo wa Muungano wa Tanzania. Najikumbusha mazingira ya kuanzishwa kwake wakati sultani amefurushwa na hatihati za kutinga kwake tena.
Nafikiria wapendavyo wapemba na waunguja...
Gavana mpya Tutuba!
Tutuba holds an advanced Diploma economic planning and MBA in corporate management from Mzumbe Uni vs Luoga a tax law Professor who (Luoga) is accredited for helping Tanzania attain macroeconomic stability, …by Bloomberg.
---
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan...
Hapo vip!
Hili swali nimekuwa nikijiuliza muda mrefu pasipo kupata jibu kwa sababu zifuatazo.
Tanzania maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo mtu yeyote kutoka pande yeyote ana haki ya kuwa mtawala.
Kinachonishangaza na kunipa maswali mengi.
Mbona Rais wa Tanzania anaweza...
Dunia inabadilika sana, wanasiasa, wachumi na watu wa mipango wetu wasije kuja kutoa visingizio kuwa hawakujua kuwa itakuwa hivi.
Mabadiliko ya uchumi na mpangilio wa uchumi wa dunia inaonekana wazi hata kwa sisi tusiokuwa wanasiasa wala wachumi kuwa dollar itapungua umuhimu wake siku chache...
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) chini ya Mwenyekiti wake David Kihenzile, imemteua Lucia Pande kuwa Katibu Mtendaji wa shirika hilo.
Awali, Lucia alikua Makamu wa Rais wa shirika hilo.
Taarifa iliyotolewa ya Januari 8, 2023 inasema kuwa uteuzi wa...
Let assume tunamtafuta mtu wa kumpa nafasi ya Waziri wa fedha; lakini kabla ya kuteua wewe mwananchi ukapewa nafasi yakupendekeza MTU ambaye Una Imani naye.
Ungempendekeza Nani?
Siyo lazima awe mwanasiasa anaweza akawa hata mtumishi wa umma au mfanyakazi wa private sector. Tutajane hakuna ajuaye.
Hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa sana na uhalifu wa mtandaoni serikali ikishirikiana na jeshi la polisi, kwa pamoja wamechukua jitihada za wazi kupambana na tatizo hili.
Lakini kuna tatizo sugu ambalo binafsi naona ni kosa kubla sana na serikali imelikalia kimya. Wizi wa haki miliki za sanaa...
Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu ya visiwani lakini Iko kwenye ligi ya Spain.
Mashindano ya mapinduzi cup Yana lengo la kudumisha...
Baada ya kufanya utafiti , Nilichogundua ni kuwa Usipokuwa Makini unafungwa( Akili )
Na wakikufunga Akili basi Fahamu hapo wamekumaliza .
Mimi nimejionea haya Mambo yaani uchawi huu Victim au muaathirika anakuwa hafahamu chochote. Na mara nyingi watu wa hivi hutumia Muda Mwingi kukosoa Maisha...
Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki.
Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
Tanzania hakuna madaktari bali watoa dawa, hakuna wahandisi bali watu wa kufanya replacement ya vifaa, hakuna wasanifu bali watu wa kukopi, hakuna wanasiasa bali wachumia tumbo, nk
Hii elimu ya sasa haina manufaa kwetu kwasababu hatuitumii kufanyia uvumbuzi wowote zaidi ya kuagiza bidhaa nchi...
Tanzania hakuna uraia wa nchi mbili lakini naona kama wageni wanaomiliki Pasipoti za Tanzania na za mataifa mengine wamekuwa wengi Sana.
Sikukuu za mwisho wa mwaka nilikuwa South kwa mwaliko wa familia Kula bata kidogo, katika moja ya hafla mwenyeji wangu alinikutanisha na rafiki zake ambao...
idara ya uhamiaji
nida
pasipoti
pasipoti tanzania
passport
raia
rushwa
rushwa uhamiaji
serikali
tanzania
uhamiaji
uraia
uraia pacha
uraia wa tanzania
utanzania
uwajibikaji
waarabu
wahamiaji haramu
watanzania
Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki.
Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika haijatokea.
Hoja yangu, hawa viongozi wamekuwa na watu wao wanaowaamini, they have had people whom they...
Heri ya mwaka mpya kwa wadau wote,tumshukur Mungu hasa kwa yote anayoendelea kutujalia
Wadau wengi ukiwauliza kuhusu matatizo na changamoto za elimu ya Tanzania bas watakutajia upungufu wa walimu, upungufu wa miundombinu kama madarasa, vyoo n.k
Lkn najua wengi wetu hatujaingia ndani kabisa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.