tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Tuigawanye Tanzania Pro Magufuli na Anti Magufuli, tuwe na nchi mbili tofauti!

    Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana. Nchi ya Magufuli low debt to gdp ratio, umeme wa uhakika, miundo mbinu madhubuti, no wizi vs anti Magufuli high debts, no water, no...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Freeman Mbowe kwa kuifikisha Tanzania hapa!

    Freeman Mbowe ni matunda ya harakati za mapambano dhidi ya dhuluma, uonevu na ukoloni. Amerithi hulka ya mapambano ya kudai haki za wananchi wenzake kwa baba yake Aikaeli Mbowe aliyekuwa mwana Afrika shupavu na mpigania uhuru hodari. Freeman (Uhuru) alizaliwa katika miaka ile ambapo watanganyika...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Vyuo vikuu vya Umma Tanzania viko hoi kifedha, skuli, ndaki, Idara hata Karatasi shida

    Habari! Niende moja Kwa moja maada, habari kutoka kwa wahusika, hali ya kifedha vyuo vikuu Tanzania so njema, inasemekana, ndaki, skuli, idara toka mwaka jana mwezi Juni hawapati pesa za uwendeshaji, mathalani hata karatasi tu za kuchapishia mitihani ya mazoezi ni shida tu, je hazina na Waziri...
  4. kwisha

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi hatupendani kabisa?

    Ukiangalia vizuri tabia zetu sisi watu weusi Utagundua Mungu alikuwa ana sababu ya kubariki wenzetu weupe alafu sisi akatuacha. Watu weusi hatupendani kama wenzetu weupe. Watu weusi tuna wivu wa kijinga, katika siku hizi za karibu nchi kama USA, Canada, Sweden na nyingine nyingi zimekuwa na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Misaada: Hospitali ipi Tanzania inatoa tiba ya varicose veins (mishipa iliovimba)

    Mishipa ya damu kwenye mguu wangu wa kulia imevimba sana ivo inanipa changamoto ya muonekano, Nimegoogle nkajua ni shida ya varicose veins. Ili tatizo Halinipi maumivu wala complications ila inafanya mguu Wangu uonekane mbaya Wapi naweza pata tiba ya hili tatizo kwa wenye uzoefu, Na bei ni sh ngapi
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, kukataa uteuzi wa Rais kunaweza kuchukuliwa kama uhaini?

    Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

    Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kumi bora ya wachezaji wa mpira wa miguu niliowahi kuona wakicheza hapa Tanzania

    Hii ni kumi bora yangu kwa wachezaji niliowahi kuwaona LIVE wakicheza kwa hapa Tanzania. 1. Edibily Lunyamila 2. Mohamed Hussein Mmachinga 3. Amir Maftah 4. Mrisho Ngasa 5. Mbwana Samatta 6. Haruna Moshi 7. Mohamed Mwameja 8. Boniface Pawasa 9. Victor Costa 10. Athuman Iddi Chuji
  9. OLS

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Tanzania ku-export zaidi kwenda Uarabuni kuanzia mwaka wa fedha 2021/22?

    Tangu mwaka 2017 tumekuwa tuki-export bidhaa zetu kwenda South Africa na India zaidi ambapo ilikuwa zaidi ya 10% ya exports zilienda katika nchi hizo. Huku nchi za falme za kiarabu zikipata chini ya 10. Kwa mwaka 2017 asilimia ya exports zilizoenda UAE zilikuwa 2.5 na mwaka 2018 ilikuwa 2.3...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi Cup ipewe hadhi

    Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup. Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha. Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amemuondoa Prof. Kennedy Gastorn Umoja wa Mataifa kwa kashfa za Rushwa na Ufisadi

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi. Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
  12. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mzalendo wa kudumu wa Tanzania naomba Raisi Samia ashughulike na hili

    Salama wandugu, Mimi mwanaccm na mzalendo wa kudumu wa taifa hili pia ni timu Magu Ila kwa yaliyotokea kwa wapinzani naomba radhi kwa niaba ya JPM. Hili lilikuwa linachoma moyo sana, naomba Raisi Samia ashughulikie hili kama anawajali wapinzani au nasema uwongo ndagu zangu.
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aruhusu vyama vya siasa kufanya Mikutano ya hadhara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini, leo Jumanne Januari 3, 2023. Mazungumzo haya yanafanyika Ikulu, Magogoni - Dar es Salaam. VIONGOZI WAWASILI Viongozi mbalimbali wa vyama wameshawasili ukumbini, wakiwemo...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

    Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake. Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu hiyo kilichopo Zanzibar katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanza majukumu rasmi.
  15. Thailand

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali ya Tanzania inakusanya kiasi gani kutoka Zanzibar?

    Mara zote nimekuwa nikisia pesa inatoka Tanganyika kwenda Zanzibar. Mfano soma nukuu hii kutoka kwa rais wa JMT; ”Kwa mfano mwezi huu kulikuwa na vimaneno sijui hakuna pesa serikalini pesa kwasababu mikopo tulikopa imechelewa ya kufanyia kazi hizi lakini mbili kuna mikopo iliyo ‘mature’ kwa...
  16. Life2

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda inapenda kuipeleleza sana Tanzania

    Ndio Rwanda ni majirani zetu kama wanavyosema wao wanaongozwa na rais mwenye inteligensia kali Afrika nzima siwezi kulijibia hili kama ni kweli au la hasha. Utafiti wangu mdogo nahisi kati ya nchi zinazomnyima usingizi Rwanda ni Tanzania bila shaka nahisi rais wao anatumia nguvu kubwa sana...
  17. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi: Wapinzani Tanzania wajivue gamba siasa wanazofanya haziakisi utashi wao kutatua matatizo yaliyopo

    Akizungumza jioni hii kupitia kipindi cha BBC kinachotathimini mwekekeo wa mambo katika mwaka tuanaouanza, mchambuzi huyo amesema kwa upande wa Tanzania wapinzani wanatakiwa wajifungie na kujivua gamba. Amesema vyama vya upinzani vinapaswa kujitazama upya namna vinavyofanya siasa na hali ya...
  19. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Je, nchi zinaanza kukimbilia dhahabu kama pesa? Tanzania tuna akiba kiasi gani cha dhahabu?

    Habarini. Habari za nchi kukimbilia matumizi ya dhahabu zimekuwa nyingi sana siku za karibuni. Ghana baada ya kuzidiwa na madeni na kuishiwa akiba ya fedha za kigeni, imeamua kutumia dhahabu kununua mafuta. Kuanzia mwezi huu makampuni ya kuchimba dhahabu yatatakiwa kuiuzia benki kuu ya Ghana...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua, Tanzania hata atawale malaika bila akili za watu kufunguka hatuwezi endelea inavyotakiwa kamwe

    Leo nimekutana na Habari Mkuu wa Mkoa wa Dar kaenda na kamati yake ya Ulinzi na Usalama Wavuvi Kempu na kawapiga biti kuhusu clip iliyorushwa inayoonesha namna watu wanavyokula bata. Mbaya zaidi baada ya Amos Makala kuongea kaongea kiongozi mwingine sijui nani nae akapiga biti kuhusu club hiyo...
Back
Top Bottom