Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
kuna nchi japo na ufinyu wao wa rasilimali kama ardhi ila wanatumia walicho nacho kwa akili zao wote. Nchi ya norway kuna season inakumbwa na giza saa 24 yani hujui usiku wala mchana na muda mwingine jua linawaka usiku sio mchana.
Baridi ni kali sana ila wanajitahidi nchi yao kufika mbali...
Wana JF
Tunawashukru wapekenyuzi kwa umakini wao kupata taarifa na picha za Police wa Kike anayejinasibu kumshughulikia Tundu Lissu atakapokuwa amewasili nchini.
Habari hizi zinaongeza wasiwasi kwa aliyetumwa kulinda raia na mali zake kujiingiza kwenye siasa wakati Mkuu wake wa kazi akiwaasa...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema kusimama kwa ndege hizo za Shirika la Ndege (ATCL), aina ya Airbus a220-300 kumetokana na hitilafu ya kiufundi na ambapo watengenezaji waliagiza zisiruke.
Amesema Serikali inaendelea na mazungumzo na watengenezaji kuhusu matengenezo ya Ndege hizo...
Ikitokea ghafla unakuta watu hawa wanapambana mtaani. Bila kujua chanzo cha ugomvi ni nini. Je utamsaidia nani?
1. Traffic vs Dereva yeyote yule
2. Traffic vs Mwanajeshi
3. Traffic vs Raia yeyote yule
4. Traffic vs Askari
5. Askari vs Mwanajeshi
6. Askari vs Raia yeyote
7. Askari vs Mwanajeshi...
Hakuna taasisi ya elimu ya ajabu kama yetu. Kweli kabisa inakera mara hakuna idadi. Kuna wakati natamani sijui ukutane nao wapi uwarushie hata mawe au kuwamwagia kinyesi. Just think.
Hii taasisi ina jukumu, yaani ni wajibu wao kuhakikisha vitabu hasa vya kiada vinakuwepo kwa wanafunzi wote wa...
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu ameahidi kurejea nchini baada ya kuona Tanzania sasa ni salama chini ya Rais Samia Suluhu kama tunakumbuka Rais Samia Suluhu Februari 2022 alifanya ziara ya kikazi nchini Ubelgiji Lissu alitumia fursa hiyo kukutana na Rais Samia Suluhu na kufanya...
Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu yamewashinda, umeme ndio usiseme, suala la afya ni jambo la anasa kwetu, ukiuumwa na huna pesa, hata...
Dunia hii ukiona mtu mweusi anatembea kibabe na kujiamini basi ni aidha Black Amerikan au Mtanzania hayo ni maneno ya mgeni mmoja alieyeitembea Dunia ikiwemo Tanzania pia.
Globalist kaogopa, katishwa na Tanzania, sisi ndiyo nchi pekee ambayo ilikuwa haipindiki kama mti wa mpingo, Elimu ya...
..Kwanini Tanzania imeshindwa kuwashawishi Uganda kujenga SGR kuelekea kwetu, na sio Kenya?
=====
Uganda yafuta mkataba wa China kutengeneza reli ya SGR, yaichagua kampuni inayojenga reli ya Tanzania
Serikali ya Uganda imechukua uamuzi huo wa kusitisha mkataba wa Kampuni ya China Harbour...
Sugu anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani matukio ya kutisha hayapo tena democrasia imerejea chini ya Rais Samia Suluhu hakika tutafika mbali maana naona upinzania wameanza kupata akili sio kila kitu cha kupinga kizuri kisifie
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu.
"Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila ukomo. Hivyo basi, ninapenda kuwafahamisha kwamba, panapo majaliwa, nitakanyaga udongo wa ardhi ya...
Watanzania wengi hawaelewi kwamba suala la kutekeleza miradi mikubwa nchini kwa kutumia fedha yetu ya ndani sio suala la kujivunia wala kujisifia hata kidogo. limetuletea maumivu makali katika karibu kila sehemu ya uchumi, hasa wakati wa Magufuli.
Miradi ya Magufuli aliyojivunia kutumia fedha...
Zitambue tofauti hizi mpakani mwa Tanzania na Rwanda katika boda ya Rusumo:
1. Miundo mbinu upande wa Rwanda ni bora zaidi. Barabara, taa za barabarani, security cameras, majengo, fencing, furnitures nk upande wa Rwanda ni kama Ulaya.
2. Upande wa Rwanda taratibu zote katika kila idara yaani...
Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT.
Mama,
Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo mfano mafuriko mbeya ni jambo jema. Umeruhusu ukosoaji, uhuru wa vyombo vya habari ni jambo jema...
Yaani tujikite kutafta riziki zetu za halali na hela
Hapa Tanzania hakuna kitu kinaitwa mke wa mtu.
Bora niendelee na Maisha yangu ya utawa tu
Maana hizi ndoa zenu Ni zaidi ya vichekesho.
Pole ndugu yangu hiyo pesa yako umetoa mahali Bora ungemvutia Mama yako maji ya dawasa .
Habari wana jukwaa wa JF na heri ya sikukuu ya mapinduzi Nawasalimu nikitokea hapa Ontario Canada mtaa naoishi sitautaja kwasababu za kiusalama.. Leo kabla ya kuamka nikasema hebu nishiriki nanyi jambo moja ambalo kwa muda kidogo nimelifanyia utafiti nikabaini mambo kadhaa kwa hawa...
Aridhi ya Tanzania inaenda kuhodhiwa na Wageni hasa Wakenya & Warwanda.Idadi ya Wakenya wanahamia Tanzania inaongezeka maradufu.Mwezi uliopita nilisafiri kwenda Msibani Tarime wakati narudi kuelekea Mwanza mida ya SAA 1 kutokea Tarime-wakati tunafika katika daraja la MTO Mara mpakani mwa Wilaya...
Nimemsikia waziri wa Fedha na Mipango nchini, alipotamka kwenye kongamano la Kodi nchini hapo Jana, kuwa watanzania wengi hawana tabia ya kupenda kulipa Kodi, Kwa kuwa Kwa mujibu wa taarifa yake yeye alisema kuwa ni asilimia 3 pekee ya watanzania zaidi ya milioni 61, wanaolipa Kodi hapa nchini...
TANZANIA inafahamika saana Portugal kuliko nchi nyingi za Afrika.
Nimecheki video fulani YouTube ya ask Portuguese about Afrika.
Watu walikuwa wanataja nchi wanazo sifahamu kutoka Afrika watu wengi wametaja Tanzania kuliko nchi yeyote kutoka Afrika.
Na ndiyo mara ya kwanza kuona TZ imetajwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.