tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. NASIRIYA

    JamiiForums Tanzania Marufuku Mtanzania kujiunga Jeshi la nchi nyingine

    Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu na kufanya hivyo kuvunja sheria za nchi. --- SERIKALI: ‘Fuateni sheria na taratibu mkiwa nje ya...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

    Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
  3. Fursakibao

    JamiiForums Tanzania Mbona Serikali ipo kimya kuhusu Meli ya mizigo ya Tanzania ambayo imezama huko Iran?

    Inasemekana sababu za kuzama ni upangaji mbovu wa makontena -- A Tanzanian cargo ship has on Tuesday January 24, sank in a jetty in the southern Iranian port of Assaluyeh, Iranian state media has reported. The official IRNA news agency said the vessel named Anil overturned because...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Elimu kuhusu Adhabu ya Viboko kwa Shule za Tanzania Bara

    Kuvunjwa mikono, kuachwa na makovu mwilini pamoja na athari hasi za kiwango kikubwa zaidi kwa maana ya vifo ni matukio mbalimbali yaliyotendwa na yanayoendelea kutendwa dhidi ya wanafunzi mashuleni huku sababu kubwa ikihusisha adhabu ya viboko. Jambo la kusikitisha zaidi ni kuwa, utolewaji wa...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Amani imetawala Tanzania ya Rais Samia

    Tukizungumzia amani moja kwa moja tunazungumzia uhuru wa wananchi na nchi kwa ujumla tunaona Rais Samia Suluhu amerejesha amani Tundu Lissu leo amewasili nchini baada ya kuhakikishiwa ulinzi na usalama. Baada ya kutua nchini, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amempongeza Rais Samia...
  6. daizouh

    JamiiForums Tanzania Ni gari Gani Tano 5 zilizoagizwa zaidi mwaka 2022 Tanzania??

    Kwa upande wangu Mimi gari zilizoagizwa zaidi Tanzania mwaka 2022 ni 1. Toyota IST 2. NISSAN Dualis 3. Rumion 4. Forester 5. Harrier
  7. R

    JamiiForums Tanzania Magazeti na vyombo vingi vya habari vimepotezea habari ya Lissu kurejea nchini

    Nasoma vichwa vya habari nakuangalia TV pamoja na kusikiliza radios; habari za Lissu wamezipotezea. You know what Gona happen wanampa popularity kwa msingi ule ule kwamba ametengwa na muhimili wa nne. Uchaguzi 2020 vyombo vyote vilisusa lakini wananchi awakususa. Mpaka pale tutakapokubali...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hongera Mbowe kwa kutambua thamani ya Tanzania

    Nachukua nafasi hii kumpongeza mwenyekiti wa CHADEMA kwa kutambua thamani ya Tanzania Tofauti na huko nyuma sasa hotuba zake zimejaa uzalendo anaitanguliza Tanzania. Anaonesha heshima kubwa kwa Rais hii ndio huruka na Tabia ya waTanzania. Nimefatilia hotuba zake Mwanza, Musoma na Tarime kweli...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania DAWASA kwanini mmekata Maji bila Taarifa Kawe huku mkijua kuwa ndiyo Dar es Salaam na Tanzania?

    Kwanza kwanini mkate Maji eneo la Kawe? Hivi hamjui kabisa kuwa Kawe wanakaa akina nani? Mnataka Kazi au hamtaki? Watendaji wa DAWASA kwa sasa naumalizia Usingizi wangu ila nikiamka Saa 2 Kamili naomba nikute Mabomba yote ya Kawe yanatiririsha Maji vinginevyo nitakuja hapo Ofisini Kwenu na...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Hatimaye Tundu Lissu aanza safari ya kurejea nyumbani

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani. Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye...
  11. J

    JamiiForums Tanzania MNEC Mlao akitema cheche Misenyi, Kagera

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) ametikisa kwa kishindo kikubwa kuelekea maadhimisho ya miaka 46 ya CCM katika wilaya ya Misenyi mkoani Kagera.
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini raia wa kigeni wanapewa kadi za NIDA na pasipoti za Tanzania?

    Mnaofahamu tusaidieni utaratibu wa kupata kitambulisho cha NIDA na Pasipoti incase hata wageni wanaruhusiwa kupata. Kuna wageni wanafanya biashara na kuajiriwa hapa nchini awali walikuwa na Pasipoti za Kigeni lakini siku hizi Wana Pasipoti za Tanzania kwenye makampuni Yale Yale na TRA taarifa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mtanzania kufia Ukraine Tanzania iidai Urusi fidia

    Mtanzania mwenzetu kafia Ukraine kwa niaba ya Russia. Kulikoni Serikali ya Urusi ikamfikisha Mtanzania mwenzetu huko vitani ndani ya kombati zake? Wako wapi wanasheria wetu? Haipo fursa ya maana hapa dhidi ya Putin?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kujenga Tanzania mpya

    Rais Samia Suluhu alisema zama zetu hizi zinapitia changamoto nyingi hivyo ameamua kubuni mbinu mpya ili kuendana na wakati tulipo. amekuja na wazo la nguzo nne (4R) za uongozi ambazo ni maridhiano, ustahamilivu, mabadiliko na kujenga Tanzania mpya Hizi nguzo nne zimetufikisha hapa leo Tanzania...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tanganyika ilipata uhuru wake 09 Dec 1961. Tanzania 🇹🇿 tukajitwalia uhuru wetu tarehe 17th March 2021

    Kuna mahali nchi ilipita kwenye bonde la uvuli wa mauti. Matajiri wakaambiwa wataishi kama mashetani, masikini wakaambiwa watalimia meno. Nchi ikakosa furaha, kiwango cha huzuni kikawa kikubwa na kutamalaki hadi nchi jirani. Unyama na ukatili tu, uliwaendea hadi vifaranga na ng'ombe. Ni...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Teknolojia ya Digitali Yanaifanya Elimu Kuwa Mchakato wa Kufurahisha

    Mifumo ya Elimu kwa Karne hii ya 21 inapaswa kutambua kwamba tunaishi katika mazingira yanayozidi kuwa ya kiteknolojia. Ubunifu na maendeleo ya kiteknolojia yanaendelea kubadilisha namna tunavyowasiliana, kufanya kazi na kuishi. Hata hivyo, wanafunzi wengi nchini Tanzania bado hawapati ujuzi wa...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhia kuingiza masuala ya kijinsia kwenye utekelezaji wa mipango yake ya maendeleo

    Usiku huu wakati napita huku na huko mitandaoni ili kutafuta usingizi nimekutana na hii post. Kwa kweli imenishtua kidogo, hata hivyo masuala yenyewe hayajawekwa wazi sana. Niliwahi kusoma Mahali kuhusu IMF Inclusion Policy. Kama hivyo ndivyo basi hatari ni kubwa, otherwise Mwigulu Nchemba...
  18. Kaka Yaoh

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii

    Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii. Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao

    Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Safari ya kuusafirisha mwili wa Mtanzania Nemes Tarimo kutoka Urusi hadi Tanzania inaanza 24 Januari, 2023

    Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Familia ya Mtanzania Nemes Raymond Tarimo (34) ambaye alifariki wakati akipigana upande wa Jeshi binafsi la Urusi la Wagner Group dhidi ya Ukraine, zinaeleza kuwa safari ya kuurejesha mwili wake Nchini Tanzania inatarajiwa kuanza kesho Jumanne Januari 24, 2023...
Back
Top Bottom