tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. w0rM

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka sasa Tanzania kurejesha Wizara ya TEHAMA

    Rais Samia alipoingia madarakani alikuta mtangulizi wake akiwa ameanzisha Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiongozwa na Dkt.Faustine Ndugulile. Wizara hii ingawa ilikuwa katika hatua za awali, ilikuwa imeanza kujenga ukaribu na wadau na ndipo mchakato wa kuanzisha Sheria ya Ulinzi...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti CPI: Tanzania yaporomoka viwango vya Kupambana na Rushwa Duniani

    Ripoti ya Transparency International inayoangazia jinsi Nchi zinavyopambana na Rushwa na Ufisadi duniani (CPI), imeitaja #Tanzania kwenye nafasi ya 94 kati ya Nchi 180 mwaka 2022 kutoka nafasi ya 87 mwaka 2021. Kwa upande wa #Afrika, Tanzania iko nafasi ya 14 kutoka nafasi ya 19 mwaka 2021. Pia...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama mtu anafika chuo kikuu na kuhitimu bila kujua kusoma na Kuandika je lengo la Elimu ni lipi hapa Tanzania?

    Ajira ni ngumu yes Lakini Kama watu wanagraduate chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7 TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa Elimu waliyonayo sio relevant na level zao. Ukitaka kuamini...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Makala inayoonesha uzuri wa Tanzania

  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania tunahitaji mkalimani wa Kingereza?

    Kingereza kinafundishwa kuanzia shule za awali hadi vyuo vikuu, kwanini watanzania watafasiliwe Kiingereza kwenye mikutano yetu na wageni? Hii ni aibu kubwa kwa taifa, elimu yetu na hata Chama tawala. Chukua hatua kuiondoa aibu hii nzito.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded TCU ichunguze vyeo vya Udaktari wa Heshima wanaopewa Wanasiasa, tunatengeneza Taifa la Wajinga

    Nimependa andiko hili la Charles Makakala ambalo limeandikwa kwenye Gazeti la The Citizen, nadhani kuna jambo la kujifunza, hasa Wanasiasa na wanahabari wanatakiwa kulisoma hili andiko There is need to control honorary degrees in Tanzania Having a doctorate is a big deal. It shows that the...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Walisema arudi tutafanya uchunguzi, nimerudi nasubiri niitwe

    Lissu ameyasema hayo kwenye kipindi cha Clouds 360 alipoulizwa mpango wa kulianzisha kuhusu kesi yake maana sasa yuko nchini ambapo alisema; Jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kuchuguza, wenye majalada kuhusu tukio hilo na wenye wataalamu wanaojua silaha illiyotumika hivyo wao ndio wa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Nchemba ni 'Hirizi' ya Awamu ya Rais Samia na kwamba ikitupwa Serikali haitoongoza vyema Tanzania?

    Labda Siku atakayomjibu hovyo Boss wake ambayo naiona haiko mbali ndipo ataondolewa katika Wizara aliyoko ili Watanzania tupumzike na Dharau zake, Kiburi chake na Ushamba wake.
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali iliilipa Symbion Power TZS 358,575,739,422 mwaka 2021/22 Mitambo yao ikawa mali ya Tanzania rasmi

    Wakuu, Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako? Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na Mahakama ikawa imeamuru mitambo yake ipigwe mnada. Na huenda ndio chanzo cha huo “unafuu wa umeme”...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania IFFHS: Ligi Kuu Tanzania ni ya 5 kwa Ubora Afrika na ya 39 Duniani

    Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira wa miguu (IFFHS) limeitangaza Ligi Kuu ya Tanzania bara kuwa Ligi ya 5 kwa ubora barani Afrika na ya 39 Duniani kwa mwaka 2022. NBC PL imezipiku Ligi za Tunisia,Afrika Kusini,Angola, Nigeria na Zambia. Misri inaongoza kwa Ligi bora...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi yenye mfumuko wa Bei mdogo zaidi Afrika Mashariki

    Kati ya nchi za Afrika Mashariki, Tanzania ndio yenye kiwango kidogo zaidi cha mfumuko wa Bei Swala la mfumuko wa Bei ni suala la kidunia, wale waliojifungia wasiojua kinachoendelea duniani wafahamu hilo
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe bidhaa kutoka Tanzania bara zikiingizwa Zanzibar inahesabika zimetoka nje ya nchi! Huu muungano haufai

    Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar 👇 Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala...
  13. The Hyper

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri wa Ardhi Tanzania

    Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Nakuandikia hili,ikiwa ni kiulizo&taarifa kuwa; Je,umeshindwa kutatua changamoto ya uporaji Ardhi inayofanywa na mamlaka za Ardhi zilizo chini yako nchini? Mfano; Ichunguze Idara ya Ardhi Manispaa ya Morogoro, Kuna uhuni mwingi unaendelea...
  14. Vmatongo

    JamiiForums Tanzania Lini Vyuo Vikuu vya Tanzania vitafikiria kumpa Udaktari wa Heshima Freeman Mbowe?

    Najaribu kufikiri kwa kina nakujiuliza kwa nini vyuo vikuu vya nchi yetu havimpi Udaktari wa heshima kiongozi wa upinzani nchini kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kujenga upinzani. Mbowe anastahili heshima hiyo ukifanya fair analysis kule alikokitoa chama cha Chadema na alipokifikisha anastahili...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini Februari 1, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2023 PROF. EDWARD HOSEAH, RAIS WA TLS Mh. Rais, dhana ya Suluhu kutatua migogoro na kukuza uchumi imekuja...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania na kampuni ya UAE zatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) wa mafuta kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta

    Serikali jana ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na kampuni ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta ya petroli. Mkataba huo ulitiwa saini na Wizara ya Nishati na wawakilishi wa Shirika la Emirates National Oil Company Group (ENOC) lenye...
  17. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Timu zilizokuwa Kibonde kwa Tanzania ila sasa Wanatupiga kama mbwa koko

    1. Madagaska 2. Gambia 3. Comoro Saivi Kibonde wetu labda Somalia tu au nasema uongo ndugu zangu?
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema unarudi Tanzania kufukuzia ubunge. Ila tambua mambo yalishabadilika, 2010 sio 2025. Gea ya ukimbizo nayo ilishakuchafua

    Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa. Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025. Kumbuka kuwa 2010 sio sawa na 2025. Nina maanisha kuwa Chadema tulivyokubalika 2010 sio sawa na leo...
  19. pancras utenga

    JamiiForums Tanzania Miongozo kuhusu In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania

    Habari zenu jmn! Nataka kujua Kama Kuna sheria, regulations au rules zozote zinazogovern au kutoa muongozo wa In Vitro Fertilization (IVF) hapa Tanzania.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mtandao wa Sekta Bunifu Tanzania (CINT) imeonesha COSOTA waliipa JKT kazi ya kukusanya Mirabaha ya kazi za Sanaa

    Taasisi ya CINT inayofanya kazi ya Utetezi, Uzengezi na Uwezeshaji, Kuwaunganisha Wasanii na Taasisi zao na Kuzungumza kwa niaba ya Sekta ya Ubunifu Tanzania katika maeneo ya Sera, Fedha, Sheria, Elimu, Miundombinu na Teknolojia imezindua Ripoti ya Wadau wa Sekta ya Sanaa Tanzania ambapo katika...
Back
Top Bottom