tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Lugha ya Kingereza Kwenye Mtaala Mpya wa ELlimu Tanzania yasipuuzwe

    MBUNGE DKT. ALFRED KIMEA ASISITIZA MATUMIZI YA LUGHA YA KINGEREZA KWENYE MTAALA WA ELIMU TANZANIA YASIPUUZWE Mbunge wa Jimbo la Korogwe Mjini, Dkt. Alfred Kimea tarehe 16 Mei, 2023 amechangia hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu huku akiainisha matumizi na faida ya lugha ya kingereza Kitaifa na...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar kuwa mbadala wa makamu wa Rais katika kumuwakilisha Rais wa Tanzania katika baadhi ya mikutano ni sawa?

    Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi, Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu Chamwino

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Usahili Tanzania railway corporation (TRC)

    Habari ndugu zangu, naomba msaada wa maswali ya written yaliyowahii kuulizwa kwenye USAHILI wa shirika la relii Tanzania kada ya civil engineering technician utumishi.
  5. JamiiForums Tanzania Mhe. Philip Mulugo asisitiza kiwepo Chombo huru Chenye Mamlaka ya kusimamia Elimu Tanzania

    Mbunge wa Jimbo la Songwe Mhe. Philip Mulugo akichangia kwenye makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2023/2924 iliyosomwa Bungeni na Mhe. Prof Adolf Mkenda "Awamu ya Sita toka tumepata Uhuru ukienda Vijijini tumepeleka fedha nyingi sana kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nikumbushen: Show ya Wanamuziki wa Dansi wa DRC na Tanzania kusherehekea uhuru wao ni lini na wapi Dar?

    nawasalimia kwa jina la Muumba wa mbingu na dunia na vyote vilivyomo. Nisiwachoshe. maana tayar mna uchovu wa mpambano wa kitaifa kati ya serkali na kanuni ngumu za kodi vs wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuuzia mizigo stoo bila risit. Niliona kwenye tv maandalizi ya show kubwa ya dansi...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli ya Tanzania kuingia uchumi wa kati Dr Philip Mpango wakati huo ulikuwa waziri wa Fedha, imeishia wapi ?

    Mwenye kuweza kutuambia ile kauli mbiu imeisha wapi?
  8. JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

    Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani. Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check, uadilifu, uaminifu katika utendaji na utekelezaji mipango SUK, bidii na uchapakazi, hana makundi...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Uraia Pacha: Kuunganisha Tanzania na Diaspora kwa Maendeleo Endelevu

    URAIA PACHA: KUUNGANISHA TANZANIA NA DIASPORA KWA MAENDELEO ENDELEVU. Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Uraia pacha ni hali ya kuwa raia wa nchi mbili kwa wakati mmoja. Inawawezesha watu kufurahia haki na huduma za kisheria, kiuchumi, kisiasa, na kijamii katika nchi zote mbili wanazohusika...
  10. JamiiForums Tanzania Yyuo vya udereva vilivyofungiwa Tanzania

    Napenda kutanguliza juhudi ya baadhi ya platforms zinazofanya vizuri kutufikishia wanajamii taarifa ambazo ni za muhimu maskioni kwetu... Nimekua nikifwatilia kwa siku chache sababu zinazo pelekea kuongezeka kwa ajali Tanzani, kumbe kunaanzia mbali sana. Moja kati ya vyanzo vinavyosababisha...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Uandishi wa habari za uchunguzi Kama kichocheo Cha utawala Bora Tanzania

    Picha na mtandao Habari za uchunguzi tunaweza kueleza kuwa ni zile habari ambazo mwandishi hufanya uchunguzi wa kina juu ya jambo fulani, na kuja na ripoti inayojitosheleza kuhusu jambo hilo pamoja na ushahidi. Uandishi huu hukusudia kufichua maovu au uhalifu uliofichwa kwa makusudi na kuufua...
  12. JamiiForums Tanzania Angalia hawa watoto wanavyo hatarisha maisha yao

    Afu unasikia watu wanabadilisha v8 za 500M kila siku. Maajabu kwerikweri. Wenyeji mtuambie hapa ni bukoba au mkoa gani. Haijajulikana wanapita shortcut au hakuna njia mbadala kukwepa huo mto wanavyotoka shuleni
  13. JamiiForums Tanzania Wazo makini: 'BlackBox Education' ni mtego wa kifo cha Tanzania na Africa

    Wakuu GT.. nawasalimia sana. Niende moja kwa moja kwenye mada. 1. Utangulizi Hapana shaka kuwa kiwango cha maendeleo ya nchi au bara hutegemea ubora wa raslimali watu katika nchi/bara husika. Ubora huu wa raslimali watu ndo hutofautisha nchi na nchi, bara na bara katika maendeleo ya kiuchumi...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Mapinduzi ya Kiteknolojia katika Sekta ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi: Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya afya. Kwa kuzingatia umuhimu huo, takwimu...
  15. JamiiForums Tanzania Ahadi za Makamu wa Rais Tanzania kwa Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi

    MBUNGE NOAH SAPUTU - AHADI ZA MAKAMU WA RAIS KWA WANANCHI WA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango, ametoa maagizo kwa Mamlaka husika kupitia Mawaziri wenye dhamana kutatua kero zinazowakabili wananchi wa halmashauri ya Arusha...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania Investment Center to Facilitate Fully Online Registration for Foreign Prospective Investors

    The Tanzania Investment Centre (TIC) will soon open an online registration window (TelW) to allow a prospective investor to register with the center from any point on Earth. This was said by the TIC executive director, Gilead Teri, after attending a special 43rd extraordinary session of the...
  17. JamiiForums Tanzania How Tanzania Plans to Benefit From Carbon Credits Business

    Tanzania yesterday started a journey aimed at reaping financial benefits from the carbon credit business following the signing of the Memorandum of Understanding (MoU) between the government and a foreign investor. The MoU was entered into by the Tanzania Wildlife Management Authority (Tawa)...
  18. JamiiForums Tanzania Kigoma: Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe

    Leo tarehe 19.05.2023, mwenyekiti wa Chadema Tanzania, Freeman Mbowe, atafanya mikutano minne katika jimbo la Muhabwe, mkoani Kigoma. Mikutano hii itafanyika katika maeneo tofauti ya jimbo hilo ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kumsikiliza na kujadili nao masuala muhimu...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi Solar Panels zinatengenezwaje? Tanzania Kuna kiwanda kinachozalisha Solar panels?

    Penye wengi haliharibiki neno! Nimewaza mara nyingi sana, hivi solar panels zinatengenezwaje? Unatumia materials Gani? Kuna teknolojia Gani inatumika? Tanzania Kuna kiwanda cha kuzalisha hizo solar panels? Nimesikia kwamba tumeanza kutengeneza battery za magari. Natamani kujua mwenye Abc za...
  20. JamiiForums Tanzania Mwigulu ni almasi ya Tanzania

    Anaandika Chigaitan kutoka KivuDRC. Leo nitaongea UKWELI Ifike mahali Watanzania tuiamini serikali yetu, tuthamini "Cabinet Ministry ya Taifa letu Kutekeleza SHERIA za taifa letu. Ifike mahali tuweke imani kubwa kwa MWIGULU. "Nimewasikiliza kwa makini wafanyabiashara wa Tanzania, wanaodai ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…