Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
Hello!
Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.
~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
~ Namba: 0674074563
~ Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar
~ Nipo Temeke Dar es Salaam
CHANGAMOTO ZA KUFANIKIWA KATIKA ELIMU NA MAISHA YA KIJAMII NCHINI TANZANIA: USHAURI NA HATUA ZA KUKABILIANA NAZO
Imeandikwa na: Mwl.RCT
Utangulizi: Mafanikio katika elimu na maisha ya kijamii ni ndoto ya kila mtu. Hata hivyo, kufikia ndoto hii sio rahisi kama inavyoonekana. Kuna changamoto...
Habari wakuu,
Kuna rafiki yangu anataka kununua tani 100 za maharage toka Uganda.
Naomba kujua kama kuna tax duties yeyote ambayo atalipa. Pia, kama ipo, naomba kujua ni asilimia ngapi ya gharama ya mzigo.
Natanguliza shukrani zangu kwa wote ambao mtatumia mda wenu kunisaidia.
Asante.
Naona wafanyabiashara wanashindwa au wanasau kero kuu za Biashara pale Kariakoo.
1. Kuwaruhusu Wachina watoke China waje kuchuuza Biashara zao hapa TANZANIA na kariakoo WACHINA wenyewe wanakopeshana na wanapeana mali kwabei nafuu tofauti na mtanzania anaenda kununua bidhaa China alafu hapo hapo...
TANZANIA NA JICA KUSHIRIKIANA KATIKA KUJENGA UWEZO MATUMIZI BORA YA GESI ASILIA
Wizara ya Nishati pamoja Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) wamesaini makubaliano ya kutekeleza mradi wa kujengea uwezo Wataalam wa Wizara na Taasisi zake katika eneo la kuendeleza matumizi bora ya...
Habari wadau.
Nina mzigo wangu nimenunua aliexpress mwezi wa 3.
Mzigo ulisafirishwa kwa Ali express standard shipping. Na nilipewa tracking number.
Nimeutrack mzigo ukaonesha umefika Tanzania kwenye sorting centre na kisha ukakabidhiwa kwa local delivery company.. ambayo hawajaitaja jina...
Muda mfupi baada ya serikali ya China kuondoa kizuizi cha mwisho cha hatua za kupambana na janga la COVID-19, wachina walianza kusafiri kwenda katika nchi mbalimbali duniani. Mwishoni mwa mwezi Aprili kundi la watalii 28 kutoka China, lilikuwa ni moja kati ya makundi ya mwanzo kusafiri kwenye...
1. Mungu kaamua ugomvi
2. Watu wazuri hawafi
3. Keshaanza kuoza.
Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
Kweli ulevi haufai popote pale duniani.
Tazameni Mkuu wa Mkoa anawalazimisha wananchi wenye ndoa wasiachane.
Hivi huu ulevi ameutoa wapi au kwa sheria ipi anayotumia kuingilia ndoa za watu?
Hakika nchi hii ni ngumu sana kuishi bila kucheka.
Tanzania imetajwa kung'ara katika utalii wa tiba kutokana na watu kutoka nchi mbalim- bali zikiwamo za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kujitokeza kwa wingi kupata matibabu ya kibingwa kwa magonjwa tofauti hususani moyo, mifupa na saratani.
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alisema tangu Julai...
Utangulizi
Sekta ya kilimo ni uhai wa Taifa. Ni sekta muhimu sana nchini Tanzania, ambayo inachangia sehemu kubwa ya pato la taifa, ajira kwa wananchi wengi na usalama wa chakula. Hata hivyo, kama ilivyo kwa nchi nyingine, sekta hii inakabiliwa na changamoto nyingi ambazo zinahitaji...
Katika kipindi hiki ambacho dunia inageuka kutoka analogy kwenda digital, utendaji wa sekta binafsi na serikali vinabadirika kwa kasi sana.
Leo tuwaangalie wachache kati ya wengi, viongozi wanaoongoza mageuzi ya kidigitali nchini, toka sekta binafsi na sekta ya Umma.
1. Vodacom Managing...
GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki.
Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja haivumiliki na itaharibu Mpira wetu.
TAKUKURU nawaombeni kamateni Simu za Viongozi wote wa Vilabu vya...
Mpaka sasa najaribu kutafuta makosa ya Hayati JPM nikiri kusema sijaona makosa yoyote labda pengine macho yangu yameamua kuangalia yanayopendezwa nayo au kwa sababu nyingine yoyote ila sijaona.
Nakumbuka Hayati aliwahi kusema alikuwa anafuatwa na makandarasi na kumuahidi mabilioni ya shilingi...
Lakini kiswahili cha Tanzania hua vipi?
Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana yake. Kuna maneno mengi natafuta maana lakini sipati kamwe🤷🏽♂️.
Hello wapendwa katika Mungu,
Salamu nyingi sana toka mafichoni!
Tupindue mioyo kwa mabadiliko chanya. Kila jambo zamu zamu ni hatari sana sana. Narejea na huzuni kubwa kwa taswira mgawanyo katika taifa lenye historia nzuri.
Tanzania ya sasa kebehi kwa kebehi, kicheko kwa kicheko inafikirisha...
Habari...
mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali
mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu...
Naangalia hapa vyombo vya habari vya Kenya, naona kuna ratiba ya Ruto kufanyiwa mahojiano tena, hii ni mara ya pili kama sikosei tangu aingia Madarakani.
Kwa mtakao fuatilia mtakuja niambia wale waandishi wa habari wa Kenya ni levo nyingine watampiga Ruto maswali magumu tupu, hawaendi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.