tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Uahirishwaji wa Kesi katika Mahakama za Tanzania ni tatizo kubwa linalochelewesha utoaji wa Haki

    Kuahirishwa mara kwa mara kwa kesi ni moja ya sababu kubwa za kuchelewa kwa kesi za jinai nchini Tanzania. Hii pia ni moja ya sababu za kuwepo kwa idadi kubwa ya kesi zilizokwama mahakamani, ambazo husababisha watu kucheleweshewa haki zao. Uhairishaji huo unaweza kusababishwa na sababu kama...
  2. G

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kukuza Utawala Bora katika utawala wa umma wa Tanzania: Mikakati na athari zake

    MUHTASARI: Pendekezo la mradi huu linalenga kutatua changamoto za Utawala Bora katika Utawala wa Umma wa Tanzania, kwa kutambua umuhimu wa Utawala Bora katika kufikia maendeleo endelevu na kukuza maendeleo ya kijamii. Mradi huu unalenga kuchambua na kuimarisha nguzo muhimu za Utawala Bora...
  3. SOVIET UNION

    JamiiForums Tanzania Zambia kuzuia Mahindi kuingia Tanzania ni kutowapenda Wakulima Wake?

    Zambia wana upungufu wa Chakula na kwa sasa hawaruhusu Nafaka kutoka nje ya mipaka ya nchi yao hii ni ili kulianda Walaji wa ndani, kwa hio ni kwamba Mahindi ya Wakulima wa Zambia ni ya Umma? Linapo kuja swala la Usalama wa Chakula hakuna cha hii ni mali private wala nini, huwa kinacho angaliwa...
  4. OLS

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaitaka Amazon Web Services kulipa VAT. Wateja wake Tanzania watangaziwa ongezeko la gharama

    Kampuni ya Amazon Web Services EMEA Sarl ("AWS Europe") imetoa tangazo muhimu kuhusu mabadiliko ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) nchini Tanzania. Kuanzia tarehe 1 Juni 2023, AWS Europe itatoza VAT kwenye mauzo ya huduma za elektroniki kwa wateja wasio wa biashara nchini humo. Barua pepe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lowassa? Kwa kweli tumem-miss sana kwenye siasa za Tanzania

    Hebu tutupie hapa mchango wake kwenye siasa na maendeleo ya nchi yetu! Kikubwa ninachokikumbuka ni uthubutu wake wa kusimamia uletaji wa maji Dodoma toka ziwa victoria. Haikuwa rahisi!! Ilibidi kuvunja mikataba ya kimataifa iliyokuwa inazuia kuvuta maji toka ziwa victoria! Uthubutu wake...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania imedhamiria kuboresha uhifadhi wa urithi wa ukombozi

    Serikali Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar zimedhamiria kuboresha na kuimarisha uhifadhi wa urithi wa ukombozi kurithisha kizazi cha sasa na vizazi vijavyo ili kuinua uchumi wa pande hizo mbili za Muungano. Akizungumza mara baada ya kutembelea maeneo mbalimbali...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

    UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za gesi asilia na madini katika bara la Afrika na duniani. Hili linathibitishwa na mifano mingi ya madini yenye thamani kubwa yanayopatikana katika mikoa mingi nchini, kama vile dhahabu, Tanzanite, almasi, chuma, nikeli, makaa ya...
  8. Dasizo

    JamiiForums Tanzania Ni kazi zipi zina mishahara mikubwa hapa Tanzania?

    Ni kazi zipi zina mishahara mikubwa hapa Tanzania?
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Biteko asema Tanzania ipo tayari kwa kongamano kubwa la Madini, aelezea kinachokwamisha biashara ya Chumvi

    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema wamepanga kutoa elimu kubwa zaidi kuelekea shughuli hiyo itakayofanyika baadaye mwaka huu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania hakuna FLYOVER. Yote ni madaraja

    Kuna mtu aliipenda sana sifa. Akatumia kila aina ya uwongo kuwalaghai wananchi ili ajipatie sifa. Mchana kweupe tena bila ya aibu akajidai amejenga kwa fedha za ndani kile alichokiita flyovers pale Ubungo, Buguruni na Kurasini. Ukweli ni kwamba haya yote ni madaraja ya juu sawa na lile...
  11. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Imani yako kwa taasisi za utoaji wa Haki na Utatuzi wa Migogoro Tanzania ni kiasi gani?

    Imani ya Watanzania kwa taasisi za utoaji haki na utatuzi wa migogoro inaweza kutofautiana kulingana na uzoefu binafsi na mtazamo wa kijamii. Hata hivyo, kwa ujumla, kuna masuala kadhaa yanayojitokeza ambayo yanaweza kuathiri imani ya Watanzania katika taasisi hizo. Watanzania wanategemea...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara

    Na Mwandishi Wetu Pretoria, Afrika Kusini Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amesema uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara na unaendelea kukua siku hadi siku katika nyanja mbalimbali ikiwemo sekta ya Utamaduni. Balozi Milanzi amesema hayo Mei 22...
  13. saadala muaza

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tanzania ya viwanda inawezekana

    TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA Kuiga kizuri si dhambi.Ni vyema tukarudi nyuma mpaka katikati ya karne ya 18.Uingereza ilikuwa na uchumi wa kati na ni hata nyuma zaidi ya hapa tulipo sisi sasa.Si hili tu India pia ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa vijana wengi na familia nyingi zenye maisha ya...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi, Mshahara Milioni 1.-Kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania

    View Vacancy - Chef (08/23 DAR) The British Government is an inclusive and diversity-friendly employer. We value difference, promote equality and challenge discrimination, enhancing our organisational capability. We welcome and encourage applications from people of all backgrounds. We do not...
  15. Targaryen Golden

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ushiriki wa Sekta Binafsi katika usambazaji wa umeme Tanzania

    Umeme ni sehemu muhimu ya maisha ya kisasa, unawezesha kila kitu kuanzia majumbani, biashara, hospitali, shule nk. Hata hivyo, katika nchi nyingi zinazoendelea, upatikanaji wa umeme ambao unategemewa sana bado ni changamoto kubwa. Ndani ya Nchi yetu ya Tanzania kuna shirika moja tu linalohusika...
  16. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Nyerere na ndoto kubwa ya Tanzania

    Mungu ibariki Tanzania🇹🇿 Julius Kambarage Nyerere. 1. Kiongozi aliyekuwa mzalendo wa kweli. 2. Kiongozi aliyewapenda Watanzania na kuwalilia siku zake za mwisho. 3. Kiongozi aliyekuwa na msimamo na mjamaa wa kweli. 4. Kiongozi aliyelinda raslimali za ndani kwa nguvu. Hakuwa na haraka ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Video: Mkuu wa Majeshi Mstaafu Tanzania, Jenerali Mabeyo aonekana akiwa na Papa Francis

    CDF mstaafu General Venance Mabeyo ameonekana ktk video clip iliyosambaa mitandaoni toka juzi aliwa Kanisa la Mt Petro akishiriki shuguli kadhaa za Kikanisa Nchini Vatican. Pamoja naye anaonekana na baadhi ya Maaskofu kutoka Tanzania na masister Haijafahamika zaidi ni shughuli gani lakini...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulinganisho wa Ofisi za Kaunti ya Machakos (Ksh350 milioni) dhidi ya Ikulu mpya ya Tanzania ya (Ksh175 milioni)

    Mnamo mwaka 2020 Gavana wa Machakos Dkt. Alfred Mutua alizindua makao makuu mapya ya kaunti hiyo. Jengo hilo jipya, ambalo linafananishwa na Ikulu ya Marekani - lilifunguliwa rasmi Jumatano, Mei 6, 2020 baada ya ujenzi wake kukamilika kwa gharama ya kiasi cha fedha Ksh. 350 milioni ambazo ni...
  19. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Moody: Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Taasisi ya Uwekezaji ya Kimarekani ya Moody's imeipa Tanzania tathmini chanya kiuchumi kutokana na sera bora za uwekezaji hususani baada ya kuboreshwa kwa mazingira ya sekta ya madini. Ripoti ya Moody's inatuma ujumbe chanya kwa wawekezaji kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais...
  20. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

    Habari Wakuu, Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi. Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
Back
Top Bottom