Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Ila zaidi ya redio hakuna majukwaa mengine ambapo unaweza kutembelea na kupata taarifa za kimichezo (hasa soka) kwa wakati na za kutosheleza.
Nakumbuka enzi hizo alianza Dr Leakey tukimsikiliza kipindi cha kombe la dunia - 1994 to 1998. Kipindi hicho ni yeye alitamba kwenye uchambuzoi wa soka...
Tumeaminishwa kwa kipindi kirefu sana juu ya umuhimu wa kijana katika taifa linaloendelea. Tumeambiwa kuwa kijana ni nguvu ya taifa la sasa na lijalo, na kuwa ni juu ya kijana kuendeleza taifa lake. Zaidi ya asilimia 70 ya watanzania ni wa umri chini ya miaka 45, nchi hii imejaaliwa vijana wengi...
Katika orodha mpya iliyotolewa na Opta yenye kuonyesha ubora wa vilabu mbalimbali duniani kwenye vilabu kumi bora Afrika hakuna hata klabu moja ya Tanzania pamoja na tambo nyingi za wanazi wa vilabu vikubwa vya Tanzania lakini vilabu vyao havipo kwenye 10 bora Afrika.
Top 10 teams in Africa...
TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI CHACHE DUNIANI ZENYE AMANI NA WANANCHI WAKE WANAISHI KWA RAHA
“Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika na duniani ambazo mpaka sasa hivi Ina amani na tunaishi kwa raha, iwe ni wafanyabiashara, wafanyakazi na Watanzania ambapo Moja ya sababu kubwa ni uwepo wa...
Katika orodha mpya iliyotolewa na shirikisho la soka duniani (Fifa) yenye kuonyesha ubora wa vilabu mbalimbali duniani kwenye vilabu kumi bora Afrika hakuna hata klabu moja ya Tanzania pamoja na tambo nyingi za wanazi wa vilabu vikubwa vya Tanzania lakini vilabu vyao havipo kwenye 10 bora...
Hapa nchini Tanzania, kumekuwa na changamoto za hapa na pale hususani katika chaguzi kuu za kitaifa ikiwemo ushindi wenye mashaka kwa baadhi ya viongozi na yote hiyo ikichangizwa na mfumo mbovu wa kitume uliowekwa na katiba ya sasa.
Kwa mujibu wa katiba yetu ya sasa hii ya mwaka 1977, chini ya...
Najiandaa kwenda Msibani ( Mazikoni ) Kijijini Busegwe Mkoani Mara ( Musoma ) kumzika Mzee Mkono na nitapita Kumsalimia na Babu yangu Mzee David Bugozi Musuguri ( Mkuu wa Majeshi Mstaafu ) hivyo naomba nikifika Kwake Butiama nikute nae kapewa Land Cruiser LC 300 Jipya kama walilopewa CDF...
The former has launched a consulate in Macau to strengthen Tanzania and China's bilateral relations.
This comes in a period of less than six months after the State visit to China by President Samia Suluhu Hassan.
At the event held in Macao on Thursday and attended by various dignitaries...
Mwishoni mwa mwezi Aprili mamlaka za Tanzania ziliualika ujumbe wa wafanyabiashara kutoka China kutoka mkoani Guangdong nchini China kwa lengo la kufahamisha fursa za uwekezaji nchini Tanzania, wakati Tanzania ikiendelea na utekelezaji wa ajenda ya maendeleo ya viwanda. Mamlaka hizo ziliualika...
Wasomi na viongozi wa Tanzania wakati wao wakichagua kukaa kimya juu ya mambo mengi mazuri ya Pombe Magufuli yanayohusu uongozi wake, wakati wao wakiruhusu watu wajinga kuendelea kuuchafua uongozi wake, wasomi wa nchi Jirani ya Malawi, wao wameonyesha kwamba, wasomi wa Tanzania ni watu...
Katika kuitikia wito wa Tanzania ya Viwanda na kufungua Uchumi. Tanzania Sasa unaenda kuuza magari yaliyoundwa nchini (pichani) na wasomi nguli waliosomeshwa Kwa Kodi zetu.
Ndugu zangu watanzania wenzangu katembeleeni tovuti za vyuo vikuu vyetu vya umma anzia na UDOM, nenda Nelson Mandela uje uniambie kama utapata taarifa unazohitaji. Ndio maana watanzania wa kawaida wanawadharau wasomi wetu.
Unafungua tovuti ya UDOM ukitegemea upate programme lists, programme...
Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi.
Kwanza, Kuanzishwa kwa...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI
SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili changamoto zinazosababisha kushuka kwa bei ya Mafuta ya Alizeti nchini.
Katika kikao kilichofanyika tarehe...
Kuahirishwa mara kwa mara kwa kesi ni moja ya sababu kubwa za kuchelewa kwa kesi za jinai nchini Tanzania. Hii pia ni moja ya sababu za kuwepo kwa idadi kubwa ya kesi zilizokwama mahakamani, ambazo husababisha watu kucheleweshewa haki zao.
Uhairishaji huo unaweza kusababishwa na sababu kama...
MUHTASARI:
Pendekezo la mradi huu linalenga kutatua changamoto za Utawala Bora katika Utawala wa Umma wa Tanzania, kwa kutambua umuhimu wa Utawala Bora katika kufikia maendeleo endelevu na kukuza maendeleo ya kijamii.
Mradi huu unalenga kuchambua na kuimarisha nguzo muhimu za Utawala Bora...
Zambia wana upungufu wa Chakula na kwa sasa hawaruhusu Nafaka kutoka nje ya mipaka ya nchi yao hii ni ili kulianda Walaji wa ndani, kwa hio ni kwamba Mahindi ya Wakulima wa Zambia ni ya Umma?
Linapo kuja swala la Usalama wa Chakula hakuna cha hii ni mali private wala nini, huwa kinacho angaliwa...
Kampuni ya Amazon Web Services EMEA Sarl ("AWS Europe") imetoa tangazo muhimu kuhusu mabadiliko ya Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) nchini Tanzania. Kuanzia tarehe 1 Juni 2023, AWS Europe itatoza VAT kwenye mauzo ya huduma za elektroniki kwa wateja wasio wa biashara nchini humo. Barua pepe...
Hebu tutupie hapa mchango wake kwenye siasa na maendeleo ya nchi yetu!
Kikubwa ninachokikumbuka ni uthubutu wake wa kusimamia uletaji wa maji Dodoma toka ziwa victoria. Haikuwa rahisi!! Ilibidi kuvunja mikataba ya kimataifa iliyokuwa inazuia kuvuta maji toka ziwa victoria! Uthubutu wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.