tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, una sifa za kuwa Rais wa Tanzania

    Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa, Nina haki ya kutoa maoni yangu kama ilivyowekwa katika katiba yetu na tamko la Haki za Binadamu. Kwanini nasema unafaa kwasasa? 1. Nimekufuatilia nimeona una uthubutu, 2. Ni mjamaa mbepari, falsafa nzuri kuongoza taifa kama letu. 3.Ni mzalendo na mwadilifu 4...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania na magonjwa ya changamoto

    Kinafahamika kipaumbele cha Serikali ya Tanzania kilipo. Hivyo ni Kodi, tozo na kulamba asali. Kwamba yatokee magonjwa yenye kuuwa watu? Hapo tegemea neno changamoto tokea za kupumua hadi za kutoka damu mwilini. Uganda wamekwisha longa, Ummy anasubiri hadi Marburg iishe? Au anasubiri hadi...
  3. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

    Habari wana JF, Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P. Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania

    Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI: Andiko hili linajadili umuhimu wa kuongeza uwazi na uwajibikaji kwa utawala bora endelevu nchini Tanzania. Litaangazia athari za rushwa kwa uwajibikaji na utawala bora, mambo yanayochangia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ianzishwe kampuni ya mieleka(wrestling) nchini Tanzania

    Jamani najua Kuna watu wengi bongo wanapenda mchezo wa mieleka maarafu kwa kampuni ya WWE, Ila mnaonaje na Tanzania ikaanzishwa kampuni ya mieleka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO AMEJADILI MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TAASISI ZA DINI MBALIMBALI Waziri wa Katiba na Sheria, Mheshimiwa Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania na Uongozi wa Jumuiya ya Mabohora Tanzania tarehe 13 Mei, 2023...
  8. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Tofauti Kati ya Watawala na Viongozi: Je, Tanzania Yetu Ina Viongozi au Watawala?"

    Kwakuzingatia tofauti katiya "Watawala" na "Viongozi". Je, Tanzania Yetu Ina Viongozi au Watawala?" Karibu kwenye mjadala Nawasilisha. == Pia soma: =
  9. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Huduma za Shirika la Posta Tanzania

    Habarini wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja. Juzi Ijumaa nilikuwa nataka kutuma Doc moja Mkoani ila kwa kuwa na confidential sana nikaona nisitume kwa basi kama ninavofanyaga mara nyingi. Nikaenda Posta lengo nitume kwa EMS na inahitajika J3. Cha kushangaza nikaambiwa itatumwa J3...
  10. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Yanga kuwa mabigwa wa Ligi ya Tanzania bara na mabingwa wa kombe la shirikisho la CAF ni historia ya kipekee

  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania kuna kila dalili Kuna wimbi la COVID-19

    Nimepita pita baadhi ya mikoa ikiwemo Dar, Dodoma, Manyara kwenye Hospital nyingi mitingi ya oxygen ni mingi sana. Jamani kuna corona chukueni Tahadhali ya haraka sana.
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wimbi la walimu kuhama CWT Tanzania limeshika kasi

    JPM alikuwa nabii Katika moja ya hotuba zake, Rais Magufuli alizungumzia michango ya 2% ambayo walimu hukatwa kwenye mishahara yao ili kuchangia Chama Cha Waalimu (CWT). Magufuli alisema michango hiyo hukipa CWT zaidi ya bilioni 3 kila mwezi, na walimu wamekuwa hawajiulizi ni kwa namna gani...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi Duniani wamekuwa wakiishi zaidi ya miaka sabini; Tanzania ni kama vile viongozi wanaanza kuishi chini ya miaka sabini; Tumekosea wapi?

    Ukisoma vitabu vitakatifu utabaini viongozi wengi walibarikiwa vipawa, nguvu na maisha marefu. Utabaini viongozi wengi wanaombewa waishi sana; utabaini kwamba viongozi wengi walikuwa wana ulinzi wa Mungu naturally. Ulinzi huu usionekana ulikuwa unawasiaidia viongozi husika kuyaona maisha ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania na vifo tata vya watu bila Postmortem Wala kumhusisha Coroner

    Katika nchi zilizostaarabika kifo cha mtu huhitimishwa kwa postmortem (kujua kamili chanzo cha kifo) na inquest ambapo ofisi ya Coroner huhhsika. Kifo hakiishii na mambo ya tiba peke yake. Mtu anaweza kuwa alikuwa mgonjwa mahututi hospitali, lakini kafa kwa sumu au hata kuchomwa kisu huku akiwa...
  15. President of China

    JamiiForums Tanzania Mjadala kujikumbusha kuhusu mabadiliko ya Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (uliofanyika May 13, 2023)

    Kwa kifupi tu..Kupata katiba mpya nchini Tanzania kuna hatua kadhaa ambazo zinapaswa kufuatwa. Hapa ni baadhi ya hatua hizo: 1. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya: Hatua ya kwanza ni kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya. Hii inaweza kufanywa na Rais, Bunge au kwa kuitishwa na...
  16. blinder peaky

    JamiiForums Tanzania SoC03 Upeo wa Mabadiliko yenye Tija katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania

    Utangulizi Elimu ni msingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Kupitia elimu watu hupata maarifa, ujuzi, na mafunzo yanayowawezesha kujenga uwezo wao wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na uwezo wa kujenga mustakabali...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Uingereza zadhamiria kuimarisha biashara na uwekezaji

    Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) aliposhiriki hafla maalum ya kutawazwa...
  18. Master Oogway

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

    Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe. Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
  19. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Changamoto na Suluhisho za Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi: Kesi ya Barabara Nchini Tanzania

    Utangulizi: Uwajibikaji na Utawala Bora katika Sekta ya Ujenzi na Uchukuzi ni mada muhimu sana katika maendeleo ya uchumi na jamii ya Tanzania. Sekta hii inahusika na mipango, utekelezaji, na usimamizi wa sera na mikakati ya ujenzi na usafirishaji nchini Tanzania. Lengo kuu la andiko hili ni...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ongezeko la Wahamiaji na Usalama wetu: Je, Vyombo vya Ulinzi na Usalama Tanzania vimelala Usingizi wa Pono?

    Wasalaam nyote! La mgambo likiliia ujue kuna jambo. Mnisamehe kwa kuanza na utangulizi wa jazba yote ni maumivu ya uzalendo. Tanzania ni nchi ya ajabu sana kila Jambo lipo kimazoea, nitoe rai na angalizo uhamiaji haramu kupitia mipakani hasa Mipaka na Malawi, Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda ni...
Back
Top Bottom