Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?
Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa...
Tanzania nchi yangu nakupenda japo unanipa maumivu kila kukicha. Umejaliwa kila kitu cha kunifanya nitabasamu lakini tabasamu sipati. Nimekukosea nini? Niambie basi nielewe, kama ni samahani nikuombe. Vitu vingi umejaliwa vya kunifanya nijivunie uwepo wako lakini nabaki kulialia kila siku...
Ni furaha kila kona wapinzani wamejaa furaha CCM wamejaa furaha watanzania wote tumejaa furaha. Mama katangaza mchakato wa katiba mpya uanze. Aliyenuna sisi hatuna cha kumsaidia.
Mwisho wa siku wawakilishi wetu bungeni watatupatia katiba iliyo bora. Hatutegemei wasiotutakia mema nchi yetu...
Hili taifa linaumuhimu kama tukilileta sehemu yetu na kulimeza
Tutafaidika
Kiusalama upande wa magharibi
Ki uchumi kutokana na idadi yao ya watu
Pamoja na mengne
Taifa hilo liitwe Tanzabunia
Elimu ni silaha namba moja. Lakini Kwa Tanzania sio muhimu, kuna matatizo lukuki lkn watawala wanaigilolizia. Unawezaje kumuacha mzazi asilipie hata huduma za mwanae huko shuleni.
Fine basi msijishauri kumhudumia huyu mwalimu, mmemtupa. Emergine mwalimu ndio anamnunulia mwanafunzi mahitaji mzaz...
BoT YASAINI HATI YA MAKUBALIANO NA FRONTCLEAR KUKUZA MASOKO YA FEDHA
Benki Kuu ya Tanzania kwa ushirikiano na Tume ya Umoja wa Mataifa ya Uchumi Afrika (UNECA) imetia saini hati ya makubaliano (MoU) na Taasisi ya Kukuza Masoko ya Fedha - Frontclear, yanayolenga kukuza sekta ya fedha nchini...
Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania.
Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali.
Tunakalibisha taasisi, hospitali...
Takwimu hizi zinaonesha kuwa, kati ya watu wote waliopo nchini kwa sasa, asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano. Idadi hii ni hazina muhimu kwa Taifa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, utamaduni na mazingira. Wengi wa watu hawa ni tunu katika kujifunza namna ya utunzaji wa mila na...
Na Bwanku M Bwanku.
Ndicho unachoweza kusema na hii ni baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi Mei 06, 2023 kuongoza kikao cha Viongozi mbalimbali wa Serikali kinachohusu kuanza kwa Mchakato wa Katiba mpya, kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani...
Tanzania has signed Memorandums of Understating (MOU's) with the United States’ Major League Soccer (MLS), The National Football League (NFL) and National Basketball Association (NBA) clubs to promote the country’s tourism and investment opportunities.
The clubs involved in the lucrative deals...
Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee.
Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
Chama cha Wafugaji Nguruwe Tanzania (TAFIPA) kimesema wastani wa tani 52,000 za nyama ya nguruwe huingizwa nchini kila mwaka kutoka nje ya nchi, huku Tanzania ikizalisha tani 27,000 pekee.
Katibu wa chama hicho, Collins Ritenga amesema leo Jumamosi Mei 6, 2023 kwenye mkutano ulioratibiwa na...
02 May 2023
Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB) iameahidi kuendeleza ushirikiano na Bodi ya Usajili wa Wahandisi ya Kenya (EBK), katika mkataba wa makubaliano ya pamoja waliyoweka ili kuhakikisha wanakidhi vigezo vya ushindani katika nchi za umoja wa Afrika Mashariki na dunia kwa...
Utangulizi
Tanzania, kama nchi nyingine duniani, inakabiliwa na changamoto nyingi katika sekta ya afya. Katika juhudi za kuboresha huduma za afya na kuhakikisha kuwa wananchi wanapata upatikanaji mzuri wa huduma hizo, uwajibikaji na utawala bora ni mambo muhimu sana. Katika andiko hili...
Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa.
Kama Mtanzania mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali nimewaza na kuona njia mbadala ya kuwekeza kwa Dunia ya sasa ni kununua dhahabu. Hii imetokana na hizi siku chache kutokana na kuadimika kwa Dollars kitu ambacho sio ishara nzuri kwa wanauchumi...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax akihutubia mkutano wa pili wa majadiliano ya kidiplomasia kati ya Serikali ya Tanzania na Ufaransa Jijini Dar es Salaam
Ukuaji wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha shilingi billioni...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana anayofuraha kuwajulisha Watanzania kuwa kikao cha Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Nazi ya Mawaziri kimeichagua Tanzania kuwa Mako Makuu ya Sekretarieti ya Baraza hilo.
Aidha, wajumbe wa mkutano wameazimia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.