tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Malimwengu ya mashabiki wa soka Tanzania

    Katika pitapita zangu mitaani, mitandaoni na vijiweni nimekutana na mashabiki wa Yanga na Simba wakitaniana, tambiana na kupigana vibisibisi vya hapa na pale. Hiyo yote inapelekea kunogeshwa kwa soka la bongo. Kali na kubwa kuliko yote ni pale ambapo mashabiki wa Simba vile wamekuwa wanaibeza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kuwa msukumo chanya kwenye maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini Tanzania

    Ni hivi karibuni nimerudi kutoka nyumbani nchini Tanzania, ambako sijaenda kwa miaka mingi kutokana na changamoto za janga la COVID-19. Katika muda mfupi wa kuwepo Tanzania, nimeshuhudia mabadiliko makubwa yanayotokana na juhudi za kuendeleza nchi za mwananchi mmoja mmoja na serikali katika...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Umma: Tofauti yetu na Kenya sisi tumeliwa kichwa

    Kauli ya umma ni kauli ya Mungu. Haijawahi kushindwa popote chini ya jua. Aungurumapo Simba mcheza nani? Ni kupata katiba mpya, kuondokana na longo longo za mamlaka, ni kuwawajibisha wabadhirifu, nk? Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir Sisi tuko hapa: Bipartisan talks must end...
  4. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Yanga VS Marumo Gallants: Mechi ya kipimo cha Ubora wa Ligi Kuu ya Tanzania

    Yanga inayoongoza ligi kuu ya Tanzania inakwenda kuchuana na timu inayoshika mkia katika ligi kuu ya Afrika ya kusini kuwania kutinga fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika,tarehe 10 May 2023,Fiston Mayele mfungaji bora wa ligi kuu ya Tanzania,ataongoza safu ya ushambuliaji kwa timu ya...
  5. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Chama cha walimu Tanzania ni cha walimu wenyewe

    Kuna mengi yanasemwa kuhusu chama cha walimu na isivyo bahati kati ya hayo mengine ni hasi. Siku ya mei mosi 2023 katika uwanja wa Jamhuri Morogoro wale wenye hasi wangeweza kujibiwa na wimbo wa Dar es salaam Jazz Band uliorekodiwa tarehe 8 Oktoba 1965 RTD ukisema We mtoto acha kupiga mayowe...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aipigia chapuo Tanzania kuchaguliwa kuwa Makao Makuu ya Sekretariat ya Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza kwa njia ya "video" na wajumbe wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Michezo katika Kanda ya IV ya Afrika (AU Sports Council of Ministers Meeting – Region IV) unaofanyika Jijini Arusha hapa Tanzania. Rais Samia amepiga "kimombo" kilichonyooka kwelikweli...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Nyama ni Elfu 13 kwa Kilo, Tanzania Bara ni Elfu 6-7 kwa Kilo

    MHE. JUMA USONGE - ZANZIBAR NYAMA NI ELFU 13 KWA KILO, TANZANIA BARA NI ELFU 6-7 KWA KILO "Ipo tozo ya halmashauri, ipo tozo ya kijiji ambayo inachajiwa kwa ng'ombe yuleyule mmoja anayeenda Zanzibar, ipo tozo ya TRA, TPA, tozo ambayo inaitwa export leave ambayo hata Mkenya akija kununua ngombe...
  8. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Vyombo vya habari vyakabiliwa na mapato duni

    Vyombo vya Habari Nchini Tanzania bado vinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazo pelekea kushindwa kumudu gharama za uendeshaji na maslahi duni kwa wafanyakazi. Pia vinakabiliwa na changamoto ya mrundikano wa kodi za usajili huku serikali ikiahidi kuwa mwaka 2023 itasimamia uchumi wa vyombo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Ushauri wa Kishujaa umesababisha Tanzania ishtakiwe katika Mahakama za Kimataifa. Wasomi wetu waliwadanganya Viongozi

    Prof. Kitila Mkumbo anadai Tanzania imeshtakiwa na makampuni ya madini, na mashauri hayo yanapelekea serikali kuingia hasara. Prof anadai Wasomi walitoa ushauri ili kuwafurahisha viongozi badala ya kuwaambia ukweli kuhusu madhara ya kuvunja mikataba ya kimataifa.
  10. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wake zao wanaenda kuzalia Marekani

    Msiojua kingereza mnisamehe Bongozozo has left naked the self-proclaimed patriots who seasonally migrate like wildebeest with their pregnant wives to the US to give birth. January, Nape, Bashungwa, Kinana, Kabudi, Mulamula and a bunch of other public thieves have kids with foreign passports...
  11. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24. 2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi...
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapinzani Tanzania kumzodoa Raila ni kupoteza Dira na Mwelekeo

    Raila Odinga ni mpigania haki nguli wa wakati wetu. Amaarufu GOAT, kama alivyotambuliwa Messi Qatar, 2023. Maneno ya Odinga kwa wafuasi wake ni sheria. Leo wako mapumziko, kujipanga na kuja na nguvu mpya na kasi mpya. Tukutane kesho Tahrir. Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir...
  13. KJ07

    JamiiForums Tanzania SoC03 Edward Moringe Sokoine: Kiongozi Shupavu wa Tanzania Aliyepigania Uwajibikaji na Utawala Bora

    Edward Moringe Sokoine alizaliwa mnamo 1 Agosti 1938 katika kijiji cha Monduli, mkoani Arusha, Tanzania. Alikuwa ni mtoto wa tisa kati ya watoto 13 wa familia ya wafugaji wa kimasai. Sokoine alikulia katika mazingira magumu ya kifugaji na alipata elimu yake ya msingi katika shule ya msingi ya...
  14. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna uhaba wa USD ($) Tanzania?

    Huko Twitter Carol Ndosi aliuliza "Kuna Uhaba wa Dola"? Majibu yalikuja ata kwa kwa watumishi wengine wa bank wakisema ndiyo! Sasa hizi mbwembwe za World Bank Uchumi wenu huko imara unatokana na nini kama Reserve yetu ya USD iko chini? Wachumi tuambiane! Mbona exchange ya USD bado iko...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya leo ingekuwa vipi kama Kambona angepewa nafasi ya mawazo yake kutekelezwa au kuwa na cheo chenye mamlaka

    Huwa namsikia huyu Bwana Kambona alikuwa ni moja kati ya miamba katika behind the scenes hasa za kutafuta uhuru, tunachokiona baada ya uhuru ni tip of an iceberg, Naskia alianza kuonekana mbaya ila siwezi fikia conclusion maana ni upande moja tu walimsema ni mbaya, so labda zilikuwa ni figisu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Hard Copies za Tanzania Law Reports: Ujumbe kwa Jaji Mkuu Ibrahim Juma

    Naomba nimkumbushe Jaji Mkuu Ibrahim Juma kuwa kuna hitaji kubwa la hard copies za Tanzania Law Reports. Ni kitu hakiingii akilini kuwa for decades now hakuna hivyo vitabu.
  17. Sultan9

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na Uwajibikaji katika nyanja mbalimbali nchini Tanzania

    Utangulizi. Utawala bora na uwajibikaji ni mada muhimu katika nyanja mbalimbali nchini Tanzania. Kama nchi inayotaka kuendelea, ni muhimu kuelewa jinsi utawala bora na uwajibikaji unavyoweza kusaidia kuunda mabadiliko yenye maana katika jamii. Hii inahitaji kuweka mfumo wa kushughulikia utawala...
  18. KJ07

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kushirikiana kwa Pamoja: Jinsi TAKUKURU Ilivyofanikiwa Kuimarisha Uwajibikaji na Utawala Bora Tanzania

    Katika miaka ya hivi karibuni, taasisi ya TAKUKURU nchini Tanzania imejitahidi kufanya kazi kwa bidii katika kuhakikisha kuwa uwajibikaji na utawala bora vinakuwa vipaumbele kwa viongozi na wananchi wote. Hata hivyo, kulikuwa na changamoto nyingi zilizokuwa zinakwamisha jitihada za TAKUKURU...
  19. Logikos

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Soka Tanzania Kimepanda au cha Afrika Kimeshuka?

    Wakati natafakari hayo najiuliza zaidi. Je, Ulaya na Hususan UK Premier League inadumaza viwango vya Mpira Sehemu Nyingine? Kulikuwa na wakati nchi tofauti zina vionjo tofauti, Afrika Nguvu na Showboating, Brazil Ginga Football n.k.; Nilisoma article moja ya Academy huko Brazil kwamba sasa hivi...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Ubunifu Tanzania/MAKISATU: VETA, COSTECH, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Waziri Prof. Mkenda, na Watendaji Wao, Wanastahili Pongezi za Dhati!

    Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi nchini Veta, licha ya kuwapatia Watanzania elimu ya ujuzi kama nia na dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, na kuwezesha wananchi, hasa vijana kuajirika kwa urahisi, kuongeza tija ya uzalishaji viwandani na...
Back
Top Bottom