tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufani imetupilia mbali shuauri la Madai kati ya Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuna shauri la kikatiba alifungua Zitto Zuberi kabwe akipinga kuondolewa kwa Professor Asad katika nafasi yake ya CAG. Mahakama ya Rufani iliyokaa na Majaji watano (5) likiongozwa na Jaji wa Mahakama ya Rufani waheshimiwa Barke Mbaraka Aboud Sehel, Dr. Gerald Anthony Mwandambo, Dr. Mary...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Naomba ZOLA Tanzania ifuatilie akaunti yangu, kutatua changamoto na kunipatia taarifa sahihi

    Mnamo mwaka 2016, nilinunua mtambo kutoka kwa mtu aliyekuwa akiishi Arusha, huku mimi nikiishi Mbeya. Mtambo huo ulikuwa na thamani isiyozidi Sh500,000. Baada ya kuupokea, nililipa fedha zilizokuwa zinadaiwa na mteja wa awali, ambaye ndiye aliyekuwa mmiliki wa kwanza wa mtambo huo. Baada ya...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Wholesale Sugar Exporters in Bulk: Your Premier Source from Tanzania & Brazil

    Wholesale Sugar exporters in bulk Wholesale Sugar Exporters in Bulk: Your Premier Source from Tanzania & Brazil Top wholesale sugar exporters in bulk from Tanzania. Eco Edge Company Limited offers premium quality, reliable supply, and competitive prices. Contact us! Eco Edge Company...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Rice Wholesale Bulk Exporters: Sourcing Premium Rice from Tanzania for Global and East African Buyers

    Rice wholesale bulk exporters Rice Wholesale Bulk Exporters: Sourcing Premium Rice from Tanzania for Global and East African Buyers Eco Edge Company Limited is a Tanzania-based rice wholesale bulk exporter supplying wholesalers, retailers, and distributors across East Africa, alongside...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanafunzi Ufaransa: Kama ingelikuwa hapa polisi wangelikwisha UA over a million students!

    Mwanafunzi Mmoja tu ndiye kapoteza mkono. Hakuna maiti hata moja ie hakuna aliyepotea maisha... Hapa kwetu zaidi ya milioni wangelikuwa maiti!
  6. JamiiForums Tanzania Ujerumani, Tanzania wazindua Kituo cha Taarifa cha Serengeti

    SERENGETI. Tanzania na Ujerumani leo wamezindua rasmi Kituo kipya cha Taarifa cha Serengeti baada ya kukarabatiwa, hatua inayolenga kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya nchi hizo katika uhifadhi wa bayoanuwai, utalii endelevu na maendeleo ya jamii zinazozunguka Hifadhi ya Taifa ya...
  7. JamiiForums Tanzania Sir Sindsay Hoyle: Tanzania ni Mshirika muhimu sana

    Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle, amesema Tanzania ni mshirika muhimu katika kukuza uchumi na biashara, akisisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi kati ya Tanzania na Uingereza. Sir Lindsay amesema hayo katika mahojiano yaliyofanyika pembezoni mwa Mkutano...
  8. O

    JamiiForums Tanzania 🚗 Gari Lako Li kifika Bandarini Tanzania, Nini Hufuata?

    Watu wengi wanafikiri kwamba baada ya gari kufika bandarini, kinachobaki ni kwenda kulichukua. Ukweli ni kwamba kuna hatua mbalimbali zinazopaswa kukamilishwa kabla gari halijaweza kutoka bandarini. Kwa ujumla, mchakato unaweza kueleweka kwa hatua hizi: 1️⃣ Gari linawasili bandarini 2️⃣...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania is a place to visit.

    That is the message coming through as IPU delegates experience Arusha and Ngorongoro beyond the conference halls, they are discovering the landscapes, wildlife, hospitality and warmth of Tanzania. They came for parliamentary diplomacy. They leave with an experience to remember. Tanzania is not...
  10. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yaongoza, Tanzania ya 4 Afrika Nchi 10 zenye idadi kubwa zaidi ya watu wanaoishi na HIV

    Kwa mujibu wa takwimu za UNAIDS za mwaka 2025, watu milioni 41.0 duniani walikuwa wanaishi na HIV, huku watu milioni 1.2 wakipata maambukizi mapya na takribani 570,000 wakifariki kutokana na magonjwa yanayohusiana na UKIMWI. Kati ya wanaoishi na HIV, milioni 32.1 walikuwa wanapata dawa za...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yataka hatua kali dhidi ya mabadiliko ya tabianchi

    TANZANIA imewataka Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi kuchukua hatua madhubuti na za pamoia kukabiliana na mabadiliko va tabianchi, uchafuzi wa bahari na matumizi yasiyd endelevu ya rasilimali za baharini. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna boom kwa sasa bandari imejaa pomoni, real estate iko juu ila hakuna TRICKLE DOWN kwenye uchumi

    Ukiangalia uchumi wa Tanzania kwa sasa ni upo kwenye boom Uchumi unakua vizuri Bandari inaingiza mizigo mingi sana na moja kielelezo ni kuongezeka maradufu kwa bandari kavu Real estate iko juu sana sahivi watu wanajenga sana Mapato ya TRA yanaongezeka Ila hakuna Trickle down economics...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaongoza Mkutano wa 12 wa Mkataba wa Nairobi Kuhusu Uhifadhi wa Bahari

    Dar es Salaam. Tanzania imefungua rasmi Mkutano wa 12 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Nairobi, unaolenga kujadili hatua za pamoja za kulinda mazingira ya bahari na maeneo ya pwani katika ukanda wa Bahari ya Hindi Magharibi. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 6, 2026, Waziri wa Nchi...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, wakamateni Dotto Magari na Dudu Baya muwashikilie kwa muda. Mbona Tanzania tunaenda kuwa taifa la kijinga kiasi hichi??

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Juzi hapa Waziri Katambi aliwaita baadhi ya wasanii akiwemo Dudu Baya na Dotto Magari. Dotto alienda, Dudu Baya akagoma. Dotto alipewa somo la maadili mema, Dudu baya akapewa summons/arrest warrant ya Polisi. Dudu Baya hakukamatwa, Dotto Magari akaachana na somo la...
  15. JamiiForums Tanzania PROFESSIONALISM NA CUSTOMER SERVICE NI CANCER INAYOIKABILI SEKTA YA UTALII TANZANIA.

    Wasalaam, Wakuu, kuna jambo ambalo naamini tunapaswa kulijadili kwa uzito, hasa sisi wadau wa sekta ya utalii. Tanzania tumebarikiwa kuwa na vivutio vya kiwango cha dunia kuanzia Serengeti, Ngorongoro, Kilimanjaro hadi Zanzibar. Lakini pamoja na utajiri huu, bado tunapaswa kujiuliza kama...
  16. JamiiForums Tanzania TANZANIA IMEPIGA HATUA SANA MALENGO YA MAENDELEO ENDELEVU SDG’s

    Mwenyekiti wa Ujumbe wa Tanzania Umoja wa Mabunge Duniani IPU, Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza kuwa eneo la Malengo ya Maendeleo Endelevu Tanzania imepiga hatua kwa kuangalia mafanikio yaliyopatikana kwenye sekta mbalimbali ikiwemo nishati, maji, afya, elimu, Mawasiliano pamoja na uchukuzi ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania Mnyika anaipaisha Tanzania kidemokrasia mbele ya IPU

    Mnyika ameithibitishia dunia mbele ya wajumbe wa IPU (wabunge wa dunia) kuwa Tanzania kuna uhuru mkubwa wa kusema na kukosoa serikali na demokrasia kubwa sana ya kiwango cha dunia. Hiki anachokifanya Mnyika na chadema cha kusema na kuikosoa serikali na viongozi wakuu mbele ya ujumbe mzito wa...
  18. JamiiForums Tanzania Nchini Tanzania, bullying ni kitu cha kawaida?

    Salama wakuu? Kuna hii kitu inaitwa bullying ama Kwa lugha ya kiswahili tuite labda uonevu.hii kitu ni common sana na inachukuliwa kawaida na jamii yetu kiasi inaleta madhara lakini hatuyaoni na hata tukiyaona tunayafumbia macho na kuona ni kawaida. Kuna bullying za aina tofauti kama •...
  19. JamiiForums Tanzania COP12 Dar Es Salaam: Tanzania Yaweka Historia

    Watu mbalimbali wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam kwa ajili kuhudhuria mkutano wa COP12 ambao Tanzania imeweka rekodi ya kuhost kwa mara ya kwanza.
  20. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Thailand avutiwa na ukarimu wa Tanzania

    Mjumbe kutoka nchini Thailand, anayeshiriki katika Mkutano wa Kimataifa unaoendelea jijini Arusha, Chatcha Pooluea ameipongeza Tanzania kwa mapokezi mazuri na ukarimu alioupata tangu alipowasili nchini ambapo amesema Tanzania ni nchi ya kwanza katika bara la Afrika kuitembelea, akieleza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…