tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Madaktari, tuna vishoka na makasuku

    Ninaliandika hili kwa tahadhari kubwa sana, natamani hata niandike kwa wino mwekundu kisha niligongelee muhuri wa mahakama ili kutilia mkazo. Nchi hii haina madaktari wala wanaojiita wataalamu wa afya. Hawapo kabisa, hakuna hata mmoja. Nitaeleza. Mwaka 2020 kulizuka kitu kilichopewa jina la...
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

    Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi. Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Tanzania ndio imeibeba Dunia?

    Salaam, Shalom. Tanzania kuibeba Dunia, Hilo tu tayari ni HOJA fikirishi. Kabla sijaenda ninakotaka kuelezea, ZIFUATAZO, ni sifa za Nchi hii ambazo, huwezi kuzipata Mahali pengine popote duniani katika macho ya kibinadamu katika Ulimwengu wa mwili. 1. AMANI Pamoja na Nchi hii kuwa na makabila...
  4. JamiiForums Tanzania Mufti Watanzania Dkt. Abubakari Zuberi Ally amfanyia dua maalum Paul Makonda

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizo zipitia Ndg Makonda na kuendelea kupata Baraka...
  5. JamiiForums Tanzania Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

    Hapo vip! Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga. Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyenufaika na huu mfumo wa post code (anuani za makazi) hapa Tanzania?

    Habari wana JF, Moja kwa moja nende kwenye swali langu hapo juu. Katika mtaa wetu tulibahatika kupitiwa na zoeli la anuani za makazi kama serikari ilivyotangaza. Na ni kweli tuliandishwa na kupewa namba na majina ya mtaa yaliyochaguliwa. Cha ajabu ni kwamba watu tumebaki na namba lakini...
  7. JamiiForums Tanzania Mfanano wa magoli mechi ya Simba vs ASEC na ya leo ya Tanzania vs Togo

    Wiki chache zilizopita nilileta uzi mmoja nikihoji kwa nini matukio katika mechi za Simba msimu iliyopita na msimu huu yamekuwa yanafanana sana na yale ya Yanga pale timu hizo zinapocheza siku moja au siku mbili zinazofuatana. Leo tena katika mechi ya Tanzania vs Togo nimeshuhudia magoli mawili...
  8. JamiiForums Tanzania Kenya inaendelea kutuacha Tanzania: Ofisi za NBA Africa zafunguliwa Kenya kusaidia kukuza vipaji na mchezo wa katika Kikapu

    Kituo cha NBA Africa kilichopo chini ya Shirikisho la Mpira wa Kikapu wa Marekani (NBA), kimefungua rasmi Ofisi yake nchini Kenya huko Westlands, Nairobi Kituo hicho cha kukuza Vipaji katika Mchezo wa Kikapu kitaunga mkono mipango yote ya biashara na maendeleo ya mpira wa Kikapu ya Ligi ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zaingia makubaliano ya kusafirisha shehena kupitia Bandari ya Dar es Salaam

    Tanzania na Uganda zimeingia makubaliano ya kuongeza usafarishaji wa Shehena ya Mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam kwenda Uganda kupitia ushoroba wa Mwanza. Makubaliano hayo yamesainiwa kati ya Waziri wa Uchukuzi wa Tanzania Prof. Makame Mbarawa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Uganza...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania Mwenyeji wa Kongamano la Pili la AfCFTA la Wanawake katika Biashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wanawake wa Tanzania kushiriki Kongamano la Pili la Wanawake katika Biashara chini ya Mkataba wa eneo huru la Biashara Afrika (AfCFTA) litakalofanyika tarehe 06 hadi 08 Disemba, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...
  11. JamiiForums Tanzania Unaiona wapi Tanzania ya kesho kupitia malezi ya watoto wa leo?

    Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla. Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Sales & Marketing Executive at Kibogate Tanzania Limited November, 2023

    Position: Sales & Marketing Executive Department: Sales & Marketing Position Reference No: 2023-11-24-0002 Location: Dar es Salaam Responsible to: Project Manager Responsible for: N/A We are looking for a passionate Sales & Marketing Executive to plan and oversee the organization’s marketing...
  13. JamiiForums Tanzania Live on Jambo Tanzania: Sera Mpya ya Elimu, Mtaala Mpya wa Elimu: Rais Samia apewe Maua -Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda

    Wanabodi, Namuangalia Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda akizungumzia hatua za utekelezaji wa sera mpya ya elimu na mtaala mpya wa elimu, kiukweli kabisa Rais Samia apewe maua yake! Wale wenye access angalieni... Ukiondoa the landmark ya Baba wa Taifa kutoa bure elimu ya msingi, na JPM...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania tukipunguza idadi ya vyama vya siasa kutoka 26 hadi 4 itapendeza?

    Jf team, Salaàm! Binafsi sioni haja ya kuwa na vyama vya siasa lukuki hapa nchini. Na huenda uwepo wa vyama lukuki ni chanzo cha matumizi ya fedha za umma kuwa makubwa kupitia ruzuku. Nashauri:- 1. Tuone iwapo itapendeza kupunguza vyama hivyo toka idadi ya sasa 26+ na vibakie 3 au 4 tu. 2...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Interpretation of rule 90(5) of Tanzania court of appeal (amendment) rules 2019

    I kindly request for the interpretation on application of Rule 90(5)CAT Rules of 2019 that read as; ..."Subject to the provisions of subrule (1), the Registrar shall ensure a copy of the proceedings is ready for delivery within ninety (90) days from the date the appellant requested...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Zuchu ndio supastaa wa kike namba moja kwa sasa Tanzania

    Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza. Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake. Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais. Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Aipongeza Tanzania Youth Icon (TAYI)

    Waziri Tabia Mwita Aipongeza Tanzania Youth Icon (TAYI) Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita ameupongeza Uongozi wa taasisi ya Tanzania Youth Icon (TAYI) kwa mpango wao wa ujenzi wa uwanja wa michezo wa Alabama. Waziri Tabia ameyasema katika hafla ya utiaji...
  18. JamiiForums Tanzania Taaluma zinazoongoza kwa kuaminika zaidi Tanzania

    Kuna ukweli kiasi gani? Nani kaonewa hapo? Weka maoni yako?
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Matangazo ya Kuhimiza Watu kupima UKIMWI / DALLY KIMOKO yamepamba moto sana katika Media za Tanzania?

    GENTAMYCINE nilipoikataa ile Ripoti ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mwaka Jana kuwa UKIMWI umepungua sana nchini Tanzania si mlijifanya Kutonielewa na mkamuunga mkono? Kwa hali ya Maambukizi ilivyo mbaya sasa na Watu wanavyopukutika kila Uchao nadhani taratibu mtaanza kunielewa GENTAMYCINE na...
  20. 5

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya kusafirisha mizigo kutoka china kuja Tanzania Kwa ndege (zinazosafirisha simu)

    Wakuu naomba msaada wa kampuni Bora inayosafirisha simu za viswaswadu na smart phones Kwa haraka kuja Tanzania Kwa haraka Kwa njia zote mbili ndege na meli angalau mwezi mmoja niwe nimepokea mzigo. Kuna kampuni Zina ahadi hewa Hadi inaboa, tumia uzoefu wako. Itapendeza ukiambatanisha na gharama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…