simu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu

    Nauza simu aina ya itel A37 kwa bei ya Tshs 70,000 tu *Screen (5.7 Inches) *Battery (3020 mAh) *RAM (1.00 GB) *Storage (16.00 GB) *3G/2G auto Simu iko kwenye hali nzuri sana, inakaa sana na charge na haijawahi kufunguliwa na fundi wa aina yeyote, nauza bidhaa ambayo ipo kwenye ubora na haina...
  2. eli_dealz

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Simu kali sana 128GB / 6GB RAM kwa 275,000 TU OFA!

    Hii ofa sio ya kukupita karibu ujipatie Sharp Aquos Zero (Japan Brand) ni mtumba kutoka USA kwa ofa ya 275,000 Tu, hii unapta simu pamoja na USB- Type C charger. 0764081567 Free delivery in Dar es salaam
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ubora wa simu za mkopo

    Naomba kuuliza. Hivi hizi simu zinazokopeshwa na tigo, zina ubora kiasi gani? Samsung a04
  4. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Unajua njia sahihi za kutunza chaji kwenye simu yako

    Ikiwa wewe ni mtumiaji mzuri wa simu janja unaweza ukawa una tumia muda wako mwingi kuangalia uwezo mkubwa wa uhifadhi kumbukumbu wa simu, kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display, processor na uwezo wa betri wa simu. Leo tuangalie za ndani ndani juu ya uwezo wa Battery la toleo la POP 7...
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Star link yapigwa zengwe, makampuni ya simu hayaitaki

    Serikali inasema wao ndio hawajakamilisha document na Starlink wanasema wao kila kitu tayari wanaisubiri serikali. Kama tumesahau niwakumbushe ni serikali ndio inamiliki mkongo wa Taifa kupitia TTCL ambayo haijawahi kuwa huduma nzuri ya mtandao kuzidi mitandao mingine japo wao ndio wanagawia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimehakiki laini zangu za simu nimeletewa taarifa sio za kweli kabisa

    Wanajukwaa salaam Nimehakiki laini zangu na kuomba taarifa za idadi ya laini zilizosajiliwa kupitia namba yangu ya NIDA nimegundua mapungufu yafuatayo 1: Idadi ya namba nilizoambiwa kama zimesajiliwa kupitia namba yangu ya NIDA baadhi sijawahi kuzisajili 2: Baadhi ya namba nilizoletewa...
  7. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kununua simu ya galaxy S23 plus na ford ranger ndoto yangu imetimia

    Ama hakika pesa ni sabuni ya roho ukiwa na pesa unaweza kuhamisha mlima kilimanjaro kutoka kilimanjaro na kuupeleka mtwara sio kitu kabisa kabisa Nimefanikiwa kununua gari ya ndoto yangu Ford ranger kutoka moja kwa moja state nimeagiza moja kwa moja na pia nimefanikiwa kununua simu kali ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Anaejua mawasiliano ya simu Parokia Ya Roho Mtakatifu-Tabata Segerea

    Wakuu nisaidieni mawasiliano ya Parokia tajwa hapo. Nimejaribu ku- Google bila mafanikio. Shukran sana.
  9. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Tunaotumia ringtone za dini kwenye simu yetu tukutane hapa. Je unatumia wimbo gani?

    Watu wengi hutumia ringtone zilizokuja na simu, na tupo sisi tunaotumia ringtone za miziki na nyimbo tuzipendazo. Mimi natumia ringtone za nyimbo za injili, nyimbo ni sehemu yangu ya ibada, je wewe unatumia wimbo gani? NI DAMU IDONDOKAYO Wimbo: There is a fountain R.L.175, S.S. & S. 129, N.K...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Makosa yanayofanywa na watu wanaotumia simu za Android

    Simu za Android ni simu zenye mfumo rahisi kutumika lakini simu za Android pia ni rahisi Sana kuzifanyia makosa upelekea simu kualibika au kufa kabisa. Kuna makosa mengi watumiaji wa simu za Android ufanya wakati wanatumia upelekea simu zao kukosa ufanisi pamoja utendaji wake wa kazi kupotea.👇...
  11. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata banner za makampuni ya kutengeneza simu?

    Wakuu nitapataje zile banner zinatolewa na makampuni ya simu kama tecno Samsung na Infinix.
  12. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

    Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
  13. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ile kiu ya kusubiria Toleo la Phantom X2 sasa imeisha

    Kampuni ya simu ya TECNO katika kuendeleza kutoa bidhaa zilizo bora na zinazoendana na technologia ya kisasa, tunakuletea lile toleo la kubwa Zaidi kwenye mtiririko wa PHANTOM ambalo watumiaji wengi wa simu janja wamekuwa wakiulizia sasa limefika sokoni na linapatikana kwenye maduka yetu nchi...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zambia: Anayetumia simu wakati wa kuvuka barabara kutozwa faini

    Askari Polisi wamepewa ruhusa ya kuwakamata wote ambao watakataa kutekeleza sheria hiyo ambayo inazuia matumizi ya simu au uvaaji wa spika ndogo za muziki ‘headphone’ wakati wa kuvuka barabara Ambaye atakiuka faini yake itaanzia Kwacha 1,000 ambayo ni sawa na Dola 16. Sheria inawataka watembea...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

    Wasalaam JF Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki. Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Siku Nilipoiona Simu Kwa Mara ya Kwanza Odeon Cinema 1955 au 1956 au Nyuma ya Hapo Kidogo Sijavuka Miaka 4

    SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE Nakumbuka kama jana vile. Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali. Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi. Nina...
  17. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Simu ambayo ni IMEI Blacklisted, at&t network locked!

    Habari wanabodi, Niende moja kwa moja kwenye mada, nimenunua simu (Pixel 6 pro) kutoka ebay.. wakati nanunua muuzaji alidai kwamba simu ni Open Box na haijawahi kutumika na ni UNLOCKED. Simu baada ya kunifikia kweli ilikuwa inaonekana ni mpya haina shida, ila baada ya kuweka line ikatoa allert...
  18. bahati93

    JamiiForums Tanzania Kusema kweli nikishinda bet sitapokea simu

    Jamani sijui mimi nipoje, sina mpango kabisa wa kupokea simu ikinipongeza eti nimeshinda. Yaani kucheza nicheze mimi alafu watanzania wajulishwe eti nimeshinda. So, habari ndo hiyo! Kama leo utasikia simu ya mshindi ikiita pasipo kupokelewa, jua ni mimi.
  19. Benjamin10

    JamiiForums Tanzania Naomba code za kuitest simu kama ni original au fake

    Habari za usiku wakuu... Naomba niende kwenye maada moja kwa moja.. Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu.. Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza siku 14 za kukamilisha Usajili wa Laini za Simu

    Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeongeza Siku 14 kutoka Januari 31, 2023 iliyopangwa kufungia Mawasiliano ya Laini za Simu mbazo hazijakamilisha usajili wa alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, #NapeNnauye...
Back
Top Bottom