simu

  1. poposindege

    JamiiForums Tanzania Kuhamisha file la YoWhatsApp kwenda simu nyingine

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitumia YoWhatsApp kwa simu A na sasa nimepata simu mpya B. Nataka chat zangu zote zihamie simu B pindi nikiweka YoWhatsApp katika simu B. Nimepitia maelezo mitandaoni kila nikijaribu sifanikiwi. Naomba mwenye uelewa anisaidie kwa lugha rahisi na ya kueleweka hatua...
  2. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Je, umeshajua umuhimu wa processor kwenye simu yako na processor ipi ni bora zaidi?

    Jina sahihi la processor zilizopo ndani ya simu ni CHIPSET kwa kifupi CHIP. Processor ni moja ya kitu ambacho huisaidia simu yako kufanya kazi kwa ufasini na ni kama ubongo au injini ya simu yako. Hiki ni Kichakataji chenye kasi zaidi kwenye simu na ni sehemu muhimu sana. Katika simu yako...
  3. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Hii simu ijae picha zangu tuuu

    Hayo ni maneno ya bidada bi harusi mtarajiwa (aliyenyimwa tunyama nyama) kwa muweme mtarajiwa baada ya kumnunulia simu. Kila zawadi huja na masharti yake.... japo me sipendi sana masharti.... jambo jema ni lile linalofanywa kwa hiyari na sio kwa lazima..... Kaka kazi unayo Ila mwenzenu week...
  4. Pythagoras

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa mitandao ya simu

    Najua kuna baadhi ya mitandao ya simu wahusika wake wapo humu. Ombi langu, kama mnaweza ondoa ile huduma ambayo kama mtu anaongea na simu nyingine halafu akapigiwa, kusiwepo na ile "the number you're calling is busy..... namba unayopiga inatumika kwa sasa....." Huu ujumbe umekaa kisnitch sana...
  5. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania UCHUNGUZI BINAFSI: Mitandao ya Simu inadai wateja wao wengi sana Januari hii

    Salam za Jumatatu. Iwe Voda, Tigo, Airtel nk, kuna madeni ya kukopa iwe songesha, nk. Kwa bahati njema wateja waaminifu hukopeshwa fedha nyingi sana. Kwa kuwa kimsingi chip ya mteja ndio ya biashara zake Hana budi kulipa deni. Na Kwa kweli hakuna namna. Mwezi Januari ni wa malipo mengi, hata...
  6. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naweza kuitumia unlimited supakasi ya voda kwenye simu?

    Habari zenu, nimeona hii huduma ikiwa inajadiliwa sana humu ndani na ningependa kujua kama naweza kuitumia kwenye simu ya mkononi? Ni kwa matumizi ya familia nikiwa nyumbani hasa kuanzia mida ya jioni lakini nikiwa ofisini nataka niwe nayo.
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumiaji wa simu za itel, Tecno na Infinix wanadharaulika sana Dar?

    Kwa kweli mimi si mjuzi sana wa mambo ya simu, maana baada ya kuhama kutoka kwenye Siemens C25 nikahamia kwenye Research in Motion, na baada ya pale nikaenda Seoul, sikuwahi kurudi tena. Sasa hapa mjini naona tu wazee wa rika langu wananifuata nyumbani eti niwaagizie simu mtandaoni maana...
  8. hp4510

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Ile midoli ya display za simu dukani

    Jaman nimefungua Duka la simu sasa naitaji Ile midoli ya simu ambayo inakuwa ni kama simu sema uwez kuweka line tu Inakuwa easy kumpa mteja aangalie the way simu anayoitaji ina specifications gani Naitaji hasa hasa ya Samsung note 8, Note 9 na samsung tab sm t865 Mtu mwenyewe nayo please nidm
  9. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu

    Msaada wa namba ya simu: Waziri/Naibu wa elimu ama katibu wa wizara ya elimu Naomba kuwasilisha
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Nokia ilikuja na toleo jipya la simu ambazo hununui kwa pesa tasilimu bali unakopeshwa na kulipa kwa miezi sita; tusidanganywe

    Kama kampuni imezindua bidhaa yake na kuweka mikakati ya mauzo ni vyema mikakati hiyo ikalindwa na serikali badala ya mikakati hiyo kutumika kuwalaghai wananchi. Hii huduma siyo ya serikali, ni huduma ya kampuni ya simu kwa lengo la kupanua masoko. Nimemsikia Waziri alkisema wanakopesha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni kweli au uzushi kuhusiana na bei za vocha za simu kupanda bei?

    Wakuu niko huku a town lakini kuna habari zinaendelea kuenea kuwa utapoenda dukani kununua vocha ya buku itakulazimu utoe buku na Mia au vinginevyo ununue kupitia huduma za simu au kama ni vocha ya tsh 2000 itabidi ulipie 2200,imekuwa wiki nzima nikisikia habari hii na kuna jamaa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nimefuta na kublock namba 50 kwenye simu yangu za wanaojiita marafiki zangu

    Last week siku ya tarehe 31 December, nilipanga nifanye tathmini ya aina ya marafiki zangu nilionao. Kiukweli mimi ni mtu wa kujitoa sana when it comes to matatizo ya wenzangu wanaonizunguka, nikisikia msiba wa rafiki ntaubeba kama wetu vile, rafiki akiniomba kitu kama kiko ndani ya uwezo wangu...
  13. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya TECNO kuja na toleo la POP 7

    Tukiwa tume uanza mwaka mpya kampuni ya simu ya TECNO iliojizolea umaarufu hasa kwenye uuzaji wa simu janja zenye ubora kwa bei nafuu inatarajia kuzindua toleo jipya kwenye mtiririko wake wa simu za POP na sasa wanakuletea toleo jipya la POP 7 lenye ubora zaidi hasa kwenye uhifadhi wa...
  14. MKONGORO

    JamiiForums Tanzania Msaada wa internet setting simu ni sumsung galaxy S10

    Wakuu naombeni wataalamu mnisaidie internet setting simu yangu ni Sumsung Galaxy S10 laini ni ya tigo yaani haipandishi data network ,Asanteni
  15. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza iPhone 13 na 15

    Nauza iphone 13 plain Used 2 months UK GB 128 Bh 100 Inakuja na boksi yake na original usb charge wire haijawhi tumika. 1,800,000ml Tsh Dsm location 0783985530
  16. Raphael Thedomiri

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Simu za mkononi chanzo cha vifo vya wanajeshi 89 wa Urusi!

    Urusi imesema idadi ya vifo vya wanajeshi wake kufuatia shambulizi la Ukraine kwenye mkesha wa Mwaka Mpya katika eneo la Makiivka imepanda hadi 89. Moscow imesema mapema leo kuwa miili zaidi ilipatikana kwenye vifusi katika mji wa Makiivka ulioko mkoa wa mashariki wa Donetsk unaodhibitiwa na...
  17. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Tupe maoni yako

    Habari Ndugu! Ikiwa tume uwanza mwaka mpya basi nasi tunataka tukuhudumie kwa viwango vya juu kabisa kwa mwaka huu kwa kuwaletea matoleo mazuri zaidi na ya kisasa. Leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana hapa nchini. Huku...
  18. Philemon38

    JamiiForums Tanzania APP ya ku flash simu

    Naomba msaada kwa yeyote mwenye software za ku flash smart phone. Nahitaji ku flash VIVO Y1S
  19. Ramsy Dalai Lama

    JamiiForums Tanzania Simu za mkononi za kitambo hicho ambazo zinashikilia nafasi katika mioyo yetu

    Hebu tuambie umetumia ipi kati ya hizi au tuwekee picha ya ambayo uliitumia 1.2.3.4.5.6.7.8.9.10.11.12.13.14.15.16.17.18.19.20.21.22.23.24.25.26.27.
  20. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Je, kampuni za simu zinaruhusiwa kudukua mawasiliano ya wateja wao?

    Leo nimetulia na kuichunguza simu yangu kwa kukagua kama nimekuwa hacked kama mawasiliano yangu yanasikilizwa ninapopigiwa simu na sipatikani au kuwa busy au kutopokea kabisa kwa kubonyeza *#004# na nimegundua kampuni ya tigo imehack namba yangu tigo na voda hawajafanya ivyo Swali langu: Je ni...
Back
Top Bottom