simu

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio simu 49 zitakazozuiwa kutumia WhatsApp kuanzia 2023

    Kila mwaka WhatsApp inajifuta simu za zamani ambazo haziwezi kuwa na uwezo wa kufanya kazi na kupata app ya WhatsApp. Hii ni kwa sababu kila muda WhatsApp inaweka mabadiliko mapya na baadhi ya mabadiliko yanahitaji simu yenye nguvu ili kuwa na uwezo wa kufanya kazi bila kusumbua na kupata...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Amenisadia sana, lakini nataka nimuache niolewe na HB. Namuachaje kiustaarabu?

    Jamaa ni husband material lkn siyo photogenic hata kumpost nashindwa. Kiumri kanizidi miaka 5 tu lkn ana mambo ya kizamani sana maana amekaa kipori pori. The guy kajipanga kimaisha yuko vizuri, lkn huo muonekano usiopendeza kwenye picha unaninyima raha. Kanifanyia makubwa sana hapa mjini...
  3. Patience123

    JamiiForums Tanzania Simu za Redmi zina shida ya overheating?

    Wakuu salama? Nilinunua Redmi 10 mapema mwaka huu, baada ya miezi michache ikaanza kupata moto sana na kumaliza battery haraka nikapeleka kwa agent aliyeniuzia wakapeleka service center mwisho tatizo halikuisha, wakanipa device nyingine hiyo hiyo brand ya Redmi, but note 10s. Miezi miwili sasa...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania EU: Mwaka 2025 Simu zote zitarejeshwa kwenye mfumo wa Betri za kutoa (𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀)

    Baada ya USB-C kulazimika kuwa ndio port ambayo itakuwa katika simu zote duniani na kampuni kama Apple kukubali kuanza kutengeneza iPhone ambazo zitakuwa na port na cable ya USB-C; kinachofuata ni replaceable batteries. 𝗥𝗲𝗽𝗹𝗮𝗰𝗲𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗕𝗮𝘁𝘁𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 𝗻𝗶 𝗻𝗶𝗻𝗶? Kwa wale ambao wameanza kutumia simu tangu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Simu yake haipokelewi tangu siku ya Xmass mpaka leo lakini inaita. Maana yake nini? Kanitema?

    Mpenzi wangu (mchumba mtarajiwa) amesafiri kwenda kwao lakini hajibu sms wala hapokei simu (japo iko hewani) tangu siku ya Xmas hadi leo. Hii maana yake nimetemwa au inamaanisha nini? Maswali yako mengi yanayokosa majibu. Kama anaumwa kwanini hasemi? Kama kapoteza simu mbona bado inaita hadi...
  6. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Simu yangu ya Samsung inakataa ku-search/kushika Wi-Fi network

    Salaam JF Tech, Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, simu yangu ya Samasung inakataa kutafuta au kunasa Wi-Fi. Simu zingine zinakubali. Tatizo nini? Msaada.
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania Msaada:Namba zinazopiga simu yangu zinaelekezwa kwenye namba nyingine( diverted)

    Wakuu habari zenu naomba msaada wa namna ya kuondoa hii divert kwenye simu yangu niliiweka mwenyewe nimeshindwa kuitoa. Sasa imekuwa kero kwa wateja wangu na watu wangu wa karibu kila wakipiga simu yangu wanaambiwa simu zao zimeelekezwa kwa namba nyingine. Nawezaje kuitoa hii. NB: nimejaribu...
  8. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kutumia simu hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi

    Imezoeleka watu kukataza wengine kutumia simu za mkononi wakati wa mvua sababu ya radi. Utafiti unaonyesha kuwa kutumia simu za mkononi hakuongezi uwezekano wa kupigwa na radi. Simu inatumia mawimbi ya radio ambayo hayavutii umeme. Lakini wanasema kuwa haupaswi kutumia simu ilichomekwa kwenye...
  9. kokudo

    JamiiForums Tanzania Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

    Habari za majukumu, Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no? Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo. Asante kwa comment yako, najua itawasaidia wengi.
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukipata mchongo fulani simu zinaanza kuita kwa kasi?

    Ukipata mchongo fulani, simu zinaanza kuita kwa Kasi. Hivi kwanini? Mfano miaka mitano iliyopita nilikuwa napokea simu hazizidi 2 lakini leo napokea simu 90+!
  11. Eleminator

    JamiiForums Tanzania Nini kinakuvutia zaidi katika simu janja(smartphones) kutoka kampuni ya Samsung?

    Habari ya muda huu wana jamvi la Jf? Kama kichwa cha habar kinavyojieleza ningependa kila mmoja aeleze ni Features gani zinamfanya apende smartphone kutokea kampuni hii, Mimi kwa upande wangu kuna ile feature ya private mode na smart silence zinazoptkana katik S series na Note series huwaga...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model ya kichina naomba aniuzie

    Habari wakuu, Nipo mbele yenu, nimeweza kutafuta vihela ili niweze kununua simu. Baada ya kuwaza sana nimeona simu inayo nifaa ni HUAWEI P20 PRO. Hivyyo mwenye simu aina ya Huawei P20 Pro model ya kichina naomba aniuzie. Natafuta used inanitosha sana. Kama unayo ni PM. Mawasiliano yangu ni...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Vouda Mlijua Mkinitaja Majina yote Kuniwishi Birthday ndio Ntalipa Deni. Thubutu na Mkome Na Bado Mpawa Silipi

    Hahahaaa mwenzenu si nikatajwa Kwa midoido yote na vouda kujipendekeza huko wakajibetua Kuniwishi Birthday eti Fulani bini Mwanzenzele Rugaimukamu we wish you a happy birthday ndio ntahamaki nijitwishe niwalipe deni lao. Mmenitesa sana makato ya Tozo za simbanking za muamala na uhuni wa...
  14. CIA mgumu

    JamiiForums Tanzania Msaada kile kikalamu cha simu hakifanyi kazi tatizo ni nini?

    Samsung galaxy Note 20
  15. emmarki

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya winga kwenye duka lako la simu

    Natafuta kuwa winga wa simu mpya, kama unamiliki duka la kuuza simu mpya aina zote naomba kazi dukani kwako. Sitaki uniajiri, ila utaniuzia simu kwa bei ya jumla ili na mimi nipate chochote. Mimi nitapambana kutafuta wateja ninakojua mimi. Simu zako ziwe bei kitonga kweli ili zitoke haraka...
  16. agudev

    JamiiForums Tanzania Kuweza kutumia line moja ya wakala kwenye simu zaidi ya moja

    Habari za muda huu wadau, kama kichwa kinavyojieleza, nataka kujua iwapo kama kuna namna ya kutumia akaunti moja ya uwakala wa simu mf. Tigo Pesa, M pesa, Airtel Money n.k na kuweza kutumia kwenye simu zaidi ya moja. Kwa sasa ninavyoelewa kwenye upande uwakala lazima line iwe imechomekwa...
  17. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Vipuri feki upande wa simu ni vingi nchini

    Wakuu mimi ni fundi simu, changamoto niliyoona kwa spear za simu bongo feki ni nyingi sana na hiyo nimegundua baada ya kuanza kuagiza baadhi ya spears AliExpress. Nikagundua bongo feki nyingi, inafanya wateja wapoteze uaminifu na sisi maana anaona kama umefanya kusudi kumbe la hasha ni soko...
  18. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Ofa ya kufungia mwaka kwa simu za Samsung

    Simu kali sana used kutoka dubai zinauzwa bei ya kutupa. Kuanzia 250,000 unajipatia samsung S7 samsung S8 kwa 290,000 Samsung S9 kwa 320,000 Samsung S9+ kwa 380,000 Samsung S10 kwa 400,000 Samsung S10+ kwa 490,000 Samsung S20 5G kwa 560,000 Samsung S20+ kwa 660,000 Samsung S20 Ultra kwa...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ambao tulikuwa na Wake, Wapenzi na Wachumba wenye tabia ya kugawa sana namba zao za simu kwa Mabaharia. Njoo tusemezane hapa.

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Ni imani yangu sote tu buheri wa afya. Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila kitu, Hakuwa mchoyo wa chochote iwe pesa, penzi, chakula, kuazimisha nguo, viatu, simu, kukopesha...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Watalaam simu zinapata Moto sana kipindi hiki Cha joto je Kuna madhara?

    Habari wakuu..Kipindi hiki Cha joto simu zinapata Moto sana. Hasa hizi simu zetu za tecno yaani Hadi unaogopa kuendelea kuitumia mpaka ipoe hasa ukiwa kwenye mtandao vipi Kuna madhara yanaweza kutokea kwenye machine au injini kiswahili cha simu kinanipa tabu kidogo
Back
Top Bottom