simu

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Mawaziri wapigwa marufuku kutumia TikTok katika simu za ofisi

    Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama, Serikali ikiamini kuwa taarifa za muhimu zinaweza kuchukuliwa na Serikali ya China Mwakilishi wa Baraza la Mawaziri, Oliver Dowden amesema hiyo ni tahadhari. TikTok imekanusha vikali madai kuwa imekuwa ikitoa taarifa za wateja wake kwa...
  2. Achapombe cha pombe

    JamiiForums Tanzania Epuka kuandika matusi na maneno machafu kwenye Simu yako

    Simu zetu Zinatunza kumbukumbu na mara nyingi hukuletea maneno unayoandika kwamba kama ndilo uendelee na kuchapa sentence. Ubaya hutokea pale unapoandika haraka haraka na kutuma sms au ujumbe Kwa wapendwa na watu wetu muhimu. Hii inawakuta wengi wanapochapa maneno na kuletewa neno kama chaguo...
  3. mocoservices

    JamiiForums Tanzania Ukiona Dalili hizi Kwenye Simu Yako, Jua Kuwa Uko "hacked"

    Habari mwanajamvi, najua umekuwa na siku ndefu sana ya kikazi maofisini au biasharani, ama mwingine unasoma uzi huu ukiwa kazini, piga kazi, kazi ni kipimo cha utu. Kabla sijaendelea mbali naomba nisema kwamba mimi ni fundi simu, kazi hii imefanya nijifunze mambo mengi kupitia changamoto za...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mahawara wengi uliowazuia Kukupigia Simu Usiku ukiwa na Mkeo wakipiga na ukiwahoji wanakupa majibu yafuatayo?

    Ni Hawara yako (Demu wako) kabisa (japo una Mke) na Umeshamjulisha na Kumkataza kabisa asiwe anakupigia Simu Usiku ukiwa Kwako na Mkeo na ikitokea akakiuka Makubaliano na Masharti yako na akapiga ukija Kumhoji Kesho yake atakuambia (atakujibu) ama Simu ilijipiga au Mtoto aliichezea. Ni kwanini...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asitisha hotuba ghafla, sikiliza kwa umakini alichokisema baada ya kuweka mic pembeni, Machi 8, 2023

    Rais Samia asitisha hotuba ili azungumze na simu ya Rais wa Afrika Kusini, hiyo imetokea Mkoani Kilimanjaro wakati akiwasalimia Wana CCM nje ya Ofisi za Ccm Mkoa wa Kilimanjaro
  6. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania TANESCO Wakipigiwa simu ya dharura wanachelewa au hawatokei kabisa

    Habari waungwana! Mimi bhana nakwazika sana na suala hili hasa wakati wa dharura hawa TANESCO bhana ni wazito mnoo kufika eneo lilipotokea tatizo. Niliwah pata shida ya Luku, nikapiga simu na nipo karibu na ofisi zao, wakasema watafika ndani ya muda mfupi, cha ajabu nililala giza kiukwel maana...
  7. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tigo mnatuchosha na sms za 'Kopa Simu'

    Asubuhi hata hatujanywa chai, sms inaingia "Kopa Simu" Mchana hata sijaenda kula ugali kwa mlenda na dagaa wenye pilipili kali sms inaingia, Kopa Simu. Usiku najiandaa kubaiolojika, sijaanza mambo vizuri unasikia sms ukiifingua, Kopa Simu. Tigo na Zantel Mnatuchosha jamani, sms zenu za" Kopa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ni ustaarabu ukiwa kwenye Daladala na una simu ya Tsh Milioni 1 na Laki 7 kisha kudai kwa kelele chenji ya Tsh 100 kwa kondakta?

    Sasa kama Wewe Abiria Mwenzangu umeshika Simu ya Gharama (ya Kitajiri) ya Tsh 1,700,000/= na Unaidai Chenji yako ya Tsh 100/= kwa Kondakta tena kwa Kelele nyingi Daladalani Mimi GENTAMYCINE Choka Mbaya mwenye Simu yangu hii ya Phillips Kitochi nifanyeje? Najua kuwa Hela yoyote ni Halali ya...
  9. Makinisanatu

    JamiiForums Tanzania Nachukia kupigiwa simu halafu mtu anadai eti amekosea namba

    Kwa wale wenye familia na ambazo huwezi kuona namba mpya ukaipuuza kutokana na watoto na familia pale uwapo nje au safari. Eti unaona mtu ana beep🎼📞. Sometimes anakutext kabisa. Kuwa ...."Nipigie." Nachukia sana tena anaandika nipigie...heck. Unapiga anadai eti nimekosea namba. Mimi: Uwe...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Watu kuuziwa simu za mkopo bila kujua

    Ndugu ukinunua Simu hasa simu za smart phone kumekuwa na wimbi kubwa LA watu kuuziwa au kununua Simu huku akiwa hawajui kuwa ni za kulipia baada ya wiki au siku kadhaa Simu inalokiwa huku wakishindwa wafanyeje. nyaje?
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali na taasisi zenu, nini maana ya kuweka namba za simu kwenye tovuti zenu?

    Manamba hayapatikani wiki nzima, yakipatikana yanaita weeee bila kupokelewa. Hivi Huwa mnaweka namba za ofisi, au zamtu binafsi ila anachoka kuwasaidia Watanzania? Mnakera sana wapuuzi nyinyi. Mtu Unahitaji msaada muhimu sana ,,lakini manamba hayapatikan wiki nzima? Mnakula tu Jasho la...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam naombeni ushauri, Nichukue simu ipi kati ya hizi endapo haizidi laki 3?

    Bajet 320,000, hata refurbished za mtumba poa tu HuaweiP20 HuaweiP20 lite HuaweiP30 Nokia5.1 Plus (Nokia X5) Nokia6.1 Nokia6.1 Plus (Nokia X6) Nokia7.1 Nokia8 Sirocco XiaomiMi 8 SE XiaomiMi 9 SE XiaomiMi A2 Lite (Redmi 6 Pro) XiaomiMi Play XiaomiRedmi 6
  13. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Mafundi simu upande wa software

    Wakuu mimi natumia Boksi ya UFI kwa kweli pamoja na sifa mbovu za hili boksi nimefanikiwa kufufua simu kadhaa na kuua simu 2 nikijaribu kutoa MDM nikiwa najifunza na kuamsha simu zilizokufa animefanikiwa chache tena zile brand kubwa kwa kuwa sina wateja wengi tatizo ni kwa hizi simu zetu tecno...
  14. Heparin

    JamiiForums Tanzania Unazungumziaje hali ya Utapeli unaofanyika kwa njia ya Simu baada ya kuzimwa kwa laini zisizohakikiwa?

    Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka, hadi Desemba 2022 mitandao ya simu nchini ilikuwa imesajili jumla ya laini milioni 60.277. Laini hizo ni sawa na ongezeko la asilimia 4 ikilinganishwa na zile milioni 58.1 waliokuwapo mwisho war obo ya tatu ya mwaka 2022 yaani Septemba...
  15. Mgweno Hamisi

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi simu mwaminifu na mtulivu kwenye kazi yake, anayeijali kazi yake na ya mteja

    Fundi simu anahitajika. Awe K/Koo, Dar. Weka namba, kikubwa soma tangazo langu.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu?

    Nina dharura, kwa mwenye kujua, wapi naweza kupata mkopo kwa dhamana ya simu yangu?
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sugu: Rais Samia ni mama msikivu nampigia simu hata usiku

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewaambia Wananchi wa Mbeya kuwa ana uwezo wa kumpigia simu Mh Rais Samia Suluhu Hassan hata usiku kumueleza changamoto za Wananchi wa Mbeya, kama aliweza kumpigia simu na aliweza kufika kwenye shoo yake usiku. Sasa atashindwa...
  18. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Mh. Nape anatetea makampuni ya simu kuliko wananchi kwanini?

    📌 Kuna sakata la bando.. kampuni za simu zinaweka limit jambo ambalo ni wizi kiukweli. 📌 hela ni yako na matumizi wanakupangia... kwanini kuna expire ya bando kama sio wizi mtupu. Bando linaishaje wakati ujatumia mbona vocha haishi mara tu unapoinunua? Na vocha expire yake ni mwaka.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kitu kiko Jikoni tayari kinapakuliwa wakati wowote hivyo tuwapigie Simu Waganga wetu wa Kienyeji watuokoe ili tusinyolewe mazima

    Huenda kuna Mtu ama Watanzania tukaenda nae pamoja Kuhamia nchini Burundi na Basi la Esther au tukajikita zaidi na Kilimo cha Mafuta ya Alizeti au Kufuga Kuku Mkoani Singida.
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wafanyabiashara mtandaoni hamjibu wateja wenu?

    Kuna vitu vya ajabu hili nalo ni la ajabu, kuna wafanyabiashara wanafanya biashara kwa kuzitangaza mitandaoni ila wanazima simu, au unakuta wengine hawapokei simu au hawajibu meseji au kusoma jumbe za mitandaoni na kuzijibu ikiwemo maswali hii ni ajabu kabisa. Hivi hawa wanakuwa hawajui wajibu...
Back
Top Bottom