simu

  1. Tango73

    JamiiForums Tanzania Natafuta kitabu cha simu ya kifo

    Wadau natafuta kitabu kiitwacho SIMU YA KIFO KImetungwa na Faraji John katalambura. Nanunua kwa bei yeyote kiwe second hand au kipya. Nipigie simu 754-290-306 au 718-184-872. Asante.
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Kodi ikatwe kutumia line za simu ili wengi tulipe

    Kama line hizi zote zikikatwa 10% ya matumizi 1. kila mtu atakuwa amepewa haki yake ya kulipa kodi 2. mapato ya serikali yataongezeka kwa gharama ndogo
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wadau hivi kuna simu janja ya kufuta msg juu kwa juu??!

    Salama humu. Kwenye hizi simu janja msg inapoingia inaonekana juu kwenye bar.Ukislide chini inaonekana kidogo siyo yote then kuna option pale ya 'mark as read' Swali lifuatalo ni je hakuna simu janja yenye option ya delete. Unajua huwezi kuzuia hii mitandao ya simu kutuma msg zao maana nao...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Apple yaongoza kwa mauzo ya Simu duniani, Samsung yaongoza Afrika

    Takwimu za mauzo ya Simu zilizotolea na Mtandao wa #StatCounter zimeonesha kampuni ya Kampuni ya #Samsung inaongoza kwa idadi kubwa ya Simu zake kununuliwa kwenye Soko la #Afrika huku ikishi nafasi ya pili kwenye soko la Dunia nzima. Kampuni ya #Apple ikiwa na Simu za iPhone iko nafasi ya 2...
  5. CotterPin

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuwaza nani atashika simu yako ukifa?

    Amani kwenu wana jukwaa Direct kwenye mada… Wewe kama member Umewahi kujiuliza siku ukifariki nani ataishika simu yako? Wiki hii kuna taarifa zimetokea hapa jukwaani, zimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama na usiri wa JamiiForums members. Kuna thread humu baadhi ya watu wali-challenge...
  6. olimpio

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa na Morogoro kinara kwa utapeli kwa njia ya simu

    Katika mambo yanayofikirisha sana , kwa mara zaidi ya tatu mfululizo mikoa ya Rukwa na Morogoro imeongoza kwa utapeli kwa njia ya simu. Swali la kuijiuliza ni: 1. Mikoa hii inakaliwa na wajanja wengi sana yaani matapeli? 2. wakazi wengi wa mikoa hii ni washamba sana kiasi cha kutapeliwa...
  7. sanalii

    JamiiForums Tanzania NIDA wahuishe taarifa za usajili wa namba za simu ziendane na zilizoko mitandao ya simu

    Nimefuta usajili wa namba ya simu tangu mwaka 2020, lakini hadi leo ukiangalia usajili wa namba zote zilizosajiliwa kwa namba ya NIDA, unaletewa na namba ambazo ulishazifuta, mbaya zaidi namba uliofuta unakuta imeshasajuliwa tena na mtu mwengine. Ushauri ni kua, NIDA wawe na utaratibu wa ou...
  8. kajamaa kadogo

    JamiiForums Tanzania Watu wanaoishi karibu na minara ya simu wengi wao hawana Akili?

    Naomba mnisaidie hii kitu maana nimekuwa wakubwa eti kuna ukweli wowote?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Nimekamata Ujumbe Katika Simu ya Mke Wangu Akimtumia Mama Yake Majina ya Wanawake Anaohisi Kuwa ni Michepuko Yangu, Nimeshangaa na Kufadhaika.

    Msaada wenu tafadhali. Amechambua jumbe zangu katika simu yangu, kila jumbe ya kike iliyokuwa tata kidogo kwake amelitafuta jina la namba hiyo na sasa amemtumia mama yake majina yote. Hili nimeligundua leo baada ya kuinasa katika siku yake.....bila shaka alijisahau kuifuta. Majina haya...
  10. olimpio

    JamiiForums Tanzania Tigo yaongoza kwa simu za kitapeli Report ya Quarter ya 3 TCRA

    Report ya Quarter ya 3 ya mwaka 2022/2023 yaonesha Tigo kinara simu za kitapeli yaonesha pia TTCL kushuka sana kimapato na internate penetration
  11. KingsStore

    JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
  12. Desierto

    JamiiForums Tanzania Tanzania hii yote hakuna fundi simu wala compyuta!

    Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi. Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine? Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Taasisi za Kitanzania ziipe kipaumbele kuweka namba za simu kwa website page zao, na wawe wanapokea simu

    Ninaona imeshawahi kujadiliwa mara kadhaa hapa. Hili jambo la taasisi zote kutoona umuhimu wa mawasiliano ya simu kiukweli linakera sana. Zama hizi siyo zama za kufunga safari kwenda ofisi fulani kuulizia vitu basic kabisa.. Changamoto: 1. Taasisi nyingi hazina mawasiliano ya simu kwa website...
  14. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Nimepata SMS ya kupokea hela kutoka NMB na sina akaunti

    Hawa scamers sasa wamezidi. Asubuhi hii napata ujumbe toka namba ambayo imekuja na logo name ya NMB na sina akaunt huko. Hii scam imekaaje wadau!? Hawa watu kweli ni piracy programmers.👇
  15. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Wanawake wanaoficha simu zao kwenye matiti, wako na hatari ya kupata saratani ya matiti

    Hoja hii iko vipi kisayansi? Wanawake wanaobana simu zao katikati ya brazia na matiti, ni kweli kuwa wako katika hatari ya kuivaa saratani ya ziwa?
  16. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kupakata laptop au kuweka simu kwenye mfuko wa suruali hupelekea upungufu wa nguvu za kiume

    Hivi ni kweli kuwa watumiaji wa kompyuta mpakato huku wameipakata mapajani, pamoja na sisi tunaotumbukiza simu zetu zikiwa on air kwenye mifuko yetu ya mbele ya suruali tupo kwenye hatari ya kupoteza nguvu za kiume?
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua kumiliki laini ya simu zaidi ya moja ni kosa na adhabu ni kifungo zaidi ya mwaka mmoja jela?

    Huwa nawaambia kila siku kuwa jambo mpaka likukute ndo utajua kuwa lipo. Na nyote si mnajua kuwa kutokujua sheria sio kinga/hoja/udhuru. Hautafikishwa Mahakamani ukasema nilikuwa sijui, halipo hilo. Kanuni ya 37 ya GN. No.60/2023 Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta Kuhusu Usajili wa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used kutoka Dubai

    Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji) 3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nimehamisha meseji za simu ya binti niliedhamiria kutoka nae, hayupo kama nilivyodhania. Ni mzinzi anayepanga wanaume bila wao kujua

    Binti anawapanga Wanaume zaidi ya watatu kwa mpigo bila wao kujuana na kujua kwamba wapo wenyewe. Ipo hivi wakuu, huyu mwanamke ni binti anauza duka la karibu na ofisi yangu (mimi ni seremala ) ambae si tu kwangu ila ni wengi huwa tunamuona katulia, basi nami nikaona nijaribu kumtupia...
  20. 2013

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Simu inavyotuibia Bando za Intaneti

    Mie nimekuwa mtumiaji wa tiGo na Airtel. Ilikuwa wakizingua Airtel nahamia tiGO and viceversa. Hivi sasa Hali imenifika shingoni sina pa kukimbilia. Manake Wote ni majambazi. Unaweka Bando la wiki. unalazimika kushusha mtandao kwenye Simu isome 3G badala ya 4G. Lakini haujamaliza Dk 5...
Back
Top Bottom