simu

  1. Remigius22

    JamiiForums Tanzania Watu Credit na mikopo ya Simu

    Jamani hawa watu wanajiita Watu Credit wanaodhamini mikopo mbalimbali ya simu za mikononi, tunaomba Serikali iingilie kati. Wananchi wanaibiwa sana na kuonewa kiuchumi. Mtu anakopeshwa simu ya Tsh 300,000/= sokoni, analazimika kulipia zaidi ya milioni kwa mwaka, na usipolipia simu yao...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia TECNO smartphone, ni aina ipi unatumia unajisikia raha ya simu?

    Habari. Nina mwezi wa tatu sàsa natumia tecno yaani hadi nakoma.Yaani ni stress tupu nashindwa kuizoea mara inepeleke kule mara huko nikirudi huku inanitoa nje mara iminimize yenyewe nikibonyeza huku inarudi juu..mara casa ikwame inanitizama tu kama bundi sàsa sijui tatizo ni mimi au simu yaani...
  3. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Samsung Note 10+

    Samsung Note 10+ inauzwa bei rahisi RAM 12 ROM 256GB @450,000/= [negotiable] ☎️ +255676721372 Dar es Salaam 📍
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania India wagida bwawa lote kupata simu iliyotumbukia wakati wa Selfie

    Kiswahili sanifu kugida ni kuruhusu maji kutoka ndani ya chombo kidogo kidogo. Hivyo ndivyo ilivyotokea huko India baada ya bwawa moja kukaushwa ili kuipata simu iliyotumbukia humo wakati wa kupiga selfie. Simu hiyo ilikuwa ni ya aina ya Samsung yenye thamani ya dola 1200 mali ya bwana Rajesh...
  6. Saa kumi na moja

    JamiiForums Tanzania Screen size za simu

    SCREEN SIZE Makampuni ya utengenezaji wa simu kama Iphone ,samsung, Xiaomi n.k yanaanza kuzingua kwa utengenezaji wa simu wenye vioo vikubwa vya simu mpaka inasababisha mtumiaji kukerwa anapotumia. Naona sasa simu zinaanza kuwa na ukubwa wa inch 7' dah!. Simu nayotumia saivi ina ukubwa wa inch...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni namna gani ongezeko la elimu, anguko la malezi, na matumizi ya simu janga yanacchochea ufuska kwenye jamii?

    Hello JF, 👇👇👇 Naomba nichokoze kidogo kuhusu eneo la maarifa, matokeo ya utandawazi kwenye tabia na hulka za jamii aidha kuendeleza ama kasi ya ongezeko. Ni kwa namna gani ongezeko la watu wanaopata elimu, anguko la malezi na matumizi ya simu janja yanachochea ufuska kwenye jamii zetu hapa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna Komandoo wa shida: Kuwa Mshauri na kuomba msaada unapokwama

    Watu wengi huamini kwamba mtu anayebeba matatizo ya wengine yeye hana ya kwake. Hali hii humfanya mhusika akipata tatizo ashindwe kusema. Fikiria mtu aliyekushauri uache bangi, siku akikuambia ameangukia kwenye kuvuta utamwelewa? Tunapenda kusema mtu akiwa na depression aseme. Lakini akisema...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Fundi simu leo nusu nichezee kipigo kutoka kwa mteja

    Leo nikiwa zangu ofisini kwangu jua la mchana hivi nikiwa napiga tu miayo kwa njaa ya pesa, Akaja mdada mmoja akiwa na simu ya batani imevujia kioo, sasa kwa bahati mbaya nikawa sina kioo cha aina hiyo, kwa haraka haraka nikapiga hesabu kuna simu moja ya mteja nilimtengenezeaga spika akawa...
  10. The Icebreaker

    JamiiForums Tanzania Simu ilikua kwa fundi

    Wakuu hope mpo poa, Hii ni thd ya kujifurahisha tu "Jokes" Tunge sentensi kwa kutumia neno Simu ilikua kwa fundi, Naanza na hii, Hongereni sana mashabiki wa Argentina kwa kutwaa kombe la Dunia,sikuwezi kutoa hongera zangu kwenu mapema coz simu ilikua kwa fundi, Twende kazi......
  11. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu na benki

    Ivi why can't we call customer care directly kupata msaada bila bonyeza iki Mara iki Mara iki Yaani mlolongo hadi unajuta plus dakika zako zinaenda tu. Wekeni number special kila moja ukibonyeza ya kitu fulani. Mnatuchosha na kuboa na minyimbo yenu cjui matangazo Hapana too much sasa
  12. ChizzoDrama

    JamiiForums Tanzania Ukifuta picha kwenye simu zinakwenda wapi?

    Habari wadau wa JF! Naomba kuuliza kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya hili. Hivi tukifuta PICHA kwenye Simu huwa zinakwenda wapi? Kuna PRIVACY kweli kwenye vifaa hivi? Msaada kwa anajua
  13. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Wawili wakamatwa mkoani manyara wakiwa na pesa za kitanzania na simu 27

    Jeshi la polisi mkoani manyara linawashikilia watu wawili, mohamed said na diana lozi wakazi wa dsm kwa tuhuma za kukutwa na fedha taslimu za kitanzania wakihiswa ni za wizi na simu za mkononi 27 , katika nyumba ya kulala wageni mjini babati. Mwenye taarifa kamili tunaomba msaada.
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Sakata dogo kama hilo la Kariakoo Magufuli angelimaliza kwa kupiga simu moja tu

    Ki sakata ( uchwara ) kidogo cha Kariakoo kimetuonyesha ni kwa namna gani demokrasia inaweza kusababisha usumbufu wa hovyo kwa wananchi! Hivi ki sakata cha kumalizwa na RC ndiyo kinasumbua watu namna hii?! Ndugu zangu mambo kama hayo ndiyo yanatufanya tuendelee kumpa Magufuli maua yake! JPM...
  15. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa namba za WhatsApp za Huduma kwa Wateja Mitandao ya Simu

    Airtel Customer Care WhatsApp Number Vodacom Customer Care WhatsApp Number Tigo Customer Care WhatsApp Number:0675-100-100 Halotel Customer Care WhatsApp Number: 0620100100
  16. 5

    JamiiForums Tanzania Stori za simu za Wanawake vs Wanaume

    😁
  17. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania NEMC watoe mawasiliano ya kiofisi public wapewe taarifa nyingi kuhusu sehemu zenye uchafuzI wa mazingira uliokithiri

    Kazi nzuri ambayo inafanywa na Baraza la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) inatakiwa kuwa na mwendelezo. Uwepo wao umekuwepo kwa muda lakini yawezekana hawajasikika muda mrefu kwa kuwa hawakuwa wameamua kuonesha majkumu yao hasa katika kulinda mazingira ni yapi. Hivi karibuni jina la...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Amesema anaenda kusalimia ndugu, baada ya kufika hapokei simu

    Njia nzima tunawasiliana, najua anaenda kwa ndugu, meseji yake ya mwisho ni kua amefika, baada ya hapo hapokei simu. ni nini kitakua kinaendelea ndugu zangu? Nimejiridhisha na hata aliempokea ni mtu ambae nilikua namtilia mashaka, inaonekana amepiga ndege wawili kwa jiwe moja. Uamuzi mwingine...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Geita walalamikiwa kupiga simu Zimamoto mara kwa mara kuwasalimia Askari

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji mkoani Geita, limewalalamikia wananchi wa Mkoa huo wanaotumia muda mwingi kupiga simu ya bure ya Jeshi hilo kwa lengo la kuwasalimia Askari waliopo zamu pamoja na kuulizia uwepo wa maji ya kutosha na utayari wao, ambapo limebainisha kuwa hali hiyo inazuia wananchi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu simu yao haipokelewi. Mwenye namba ya CEO wao tafadhari anisaidie

    Hii Bodi ni bora ivunjwe isukwe upya. Wakati wa marejesho ya mkopo walizidisha miezi kadhaa kunikata. Nilipofika ofisini kwao wakasema niingingie online kudai kiasi hicho kilichozidi. Wangerejesha baada ya miezi 3 ( siku 90) tangia 3 Sept 2022 nilipo jaza hizo taarifa. Baada ya muda huo...
Back
Top Bottom