simba

  1. Traxtion

    Njombe man-eaters: Simba waliokula zaidi ya watu 1500 Kusini mwa Tanganyika 1932-1947

    Je umewahi kusikia historia kuhusu Njombe man-eaters? Neno "man-eaters" limetoka kwa Kiingereza na maana yake kuu ni wanyama wala watu, yaani mnyama ambaye amejifunza au kuzoea kuwinda na kula binadamu kama chakula chake. Moja ya visa vikubwa duniani vya wanyama kula watu ni kisa cha Man eaters...
  2. Chizi Maarifa

    Yanga tusiingie kwenye mtego wa Simba. Selemani Mwalimu walikuwa wanamkarisha hadi dk za mwishoni. Sisi tunamweka bench?

    Matches 2 za Yanga Selemani Mwalimu hajacheza. Why? Why? Kocha una tatizo gani kumtumia Sele Gomez? Huyu tulimchukua kwa shangwe leo anachezea bench tu? Maana yake nini? Yeye alisema anaondoka Simba sababu hapewi nafasi kikosi cha kwanza. Anakuwa bench mpaka dk za mwishoni. Anakuja Yanga aanze...
  3. Jannatul Firdaus

    Mchezaji Mpya wa Simba Afungiwa na Bodi ya Ligi na kutozwa Faini

    Mchezaji wa Simba SC, Ibraheem Jaabar, amejikuta katika hali ngumu baada ya kupewa adhabu na Bodi ya Ligi kufuatia tukio la kumpiga kiwiko mchezaji wa Pamba Jiji, Abdulkarim Iddy, katika mechi ya Ligi Kuu. Jaabar ametozwa faini ya shilingi milioni tano (5,000,000/=) na adhabu ya kadi nyekundu...
  4. M

    Benchi la ufundi la Simba sc hebu kaeni na wachezaji mzungumze nao kuhusu suala la nidhamu ya mchezo uwanjani. Hizi red cards zinaicost team sana

    Moja kwa moja huu uzi uwafikie viongozi na benchi la ufundi la Simba sc. Muwaeleze wachezaji kuwa uwepo wa Football video support (FVS) na madhara yanayoweza kuwakumba wao wachezaji na team kwa ujumla kutokana na uchezaji wao wa ovyo. Beki na viungo wa Simba wanafanya sana reckless tackles...
  5. Chizi Maarifa

    Matches 3 kadi 3 Nyekundu kwa Simba

    Hii nadhani ni record sijajua kama imewahi fikiwa hapo before. Na hii itaendelea kwa matches zote zilizobaki maana nyie Simba ndo mlitaka sana VAR sasa imekuja hii.... Lazima moto uwake. Referee akienda tu kuangalia akirudi ni Kadi ya Simba. Yaani Kadi Nyekundu.
  6. Dennis Robert Shughuru

    Kama sio Football Video Support (FVS) basi wachezaji wawili wa Simba wasingepewa redcard

    Huu ni ukweli ambao ni wachache wanauona kama sio Football Video Support (FVS) basi leo hii watu wangeishia tu kulalamika kwamba jabar na duchu walistahili redcard sana sana watu wangesubiria kamati ya masaa 72 itoe hukumu Viongozi wa simba miaka nenda rudi wamekuwa wakilalamika kwamba...
  7. kavulata

    FVS imekuja kwaajili ya Simba, walibebwa sana na makosa ya kibinadamu

    Kama hutakuwa makini unaweza kusema 90% ya TFF, Bodi ya Ligi na marefa walikuwa ni Simba kabla ya ujio wa technolojia ya FVS kwenye ligi yetu, kumbe bana haikuwa hivyo, walikuwa wanapitiwa tu. Ujio wa FVS unatuonyesha sasa kumbe marefa wetu walikuwa wanakosea tu kibinadamu kuipendelea Simba...
  8. Jannatul Firdaus

    BMT Yathibitisha Kupitisha Katiba Mpya ya Simba, Yataka Itumike

    Baraza la Michezo la Taifa, BMT, limetoa ufafanuzi kwa umma, wanachama na wadau wa Klabu ya Simba kuhusu utekelezaji wa Katiba iliyorekebishwa ya klabu hiyo iliyoidhinishwa tarehe 18 Februari, 2026, hatua inayokuja baada ya mashabiki na wanachama wa klabu ya hiyo kulalamima kuhusu utekelezaji wa...
  9. Jannatul Firdaus

    BMT: Serikali ilikamilisha wajibu, Simba yatakiwa kutekeleza Katiba Mpya

    Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeeleza kuwa wajibu wa kutekeleza Katiba ya Klabu ya Simba iliyorekebishwa na kuidhinishwa Februari 18, 2026, sasa uko mikononi mwa klabu hiyo baada ya Serikali kukamilisha hatua ya kuidhinisha na kuikabidhi rasmi. Katiba hiyo ilipitishwa na Mkutano Mkuu wa...
  10. kavulata

    MO haidai Simba hata shilingi moja, inamdai yeye

    Thamani ya Simba ni mashabiki wake na nembo yake. Mashabiki na nembo ya Simba ni zaidi ya Tsh 500b. Hii thamani ndiyo iliyomfanya mo aachane na Singida United na kuja Simba. Hela zoooooote alizotoa Mo kwa Simba zimetumika tayari kumtangaza mo, makampuni yake na bidhaa zake sokoni. Matangazo...
  11. C

    Wauza jezi feki za Simba wamejitokeza kumshambulia Jayrutty,wafuatiliwe

    Kwa wanaotumia inteligensia yao vizuri,wanaweza kung'amua kwa urahisi uhusiano wa maumivu ya kudhibiti jezi feki na hasira uchwara za watu waliodhaminiwa jana kufanya press conference dhidi ya mzabuni wa Simba. Wamejitokeza wazi nashauri wafuatiliwe mwanzo mwisho maana inaashiria licha ya kuwa...
  12. C

    Hivi serikali inasubiri watu wapigane visu kwa ajili ya Simba ndio waingilie kati?

    Siyo siri naangalia mechi hapa na Kagera naona Simba wanacheza hovyo sana,hawana morali,wanacheza kama wapo mazoezini. Hii timu kwa sasa inakatisha tamaa
  13. Waufukweni

    Heche: Mechi ya Simba na Yanga, watu wamevaa jezi zimeandikwa 'Mama, Mitano Tena' Tukisema wanatumiwa kisiasa tumekosea nini?

  14. Carasco Putin

    NBC:KAGERA SUGAR VS SIMBA SPORTS CLUB

    Simba imeanza vizuri msimu waa Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2026/2027 kwa kuifunga Kagera Sugar Magoli 2-0, leo Agosti 16, 2026. Baada ya mechi za maandalizi na bonanza, sasa Ligi yenyewe inaanza rasmi leo, kwa Kagera Sugar FC na Simba SC zikianza kampeni zao za msimu wa 2026/27. 📅 Leo...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Ukiwa na demu shabiki wa Simba mwambie Pesa ziko Benki

    Akikuomba hela mwambie pesaziko benki. Akupe kwa mkopo.
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    Tunaomba Yanga watusaidie Dennis Nkane aje kama X factor Simba

    Nadhani tunamhitaji Dennis Nkane wakuu. Kwakuwa pesa ziko Benki na hakuna mtandao, tunaomba GSM amlipe Nkane bilioni 8 ili aje msimbazi kwa msimu 1.
  17. C

    Upungufu wa watu wenye akili Tanzania ndicho chanzo cha migogoro mingi kukosa utatuzi,tizama mgogoro wa Simba

    Watu wengi huamini mtu mwenye vyeti vingi vya shule ndiye mwenye akili,lakini mimi naamini akili ni zaidi ya kumiliki vyeti vya shule. Mgogoro wa Simba ni mfano mzuri kuonesha watanzania wengi,hususan walio kwenye media na wanaojitokeza sana kuzungumza,hawana akili kabisa. Sijasikia mtu hata...
  18. kavulata

    Shida ya Simba ni Mangungu kutumia busara zake badala ya Katiba ya Simba kuongoza timu.

    Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake. Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    Tetesi: JayRutty kusitisha mkataba na Simba mwisho wa msimu huu

    Taarifa za uhakika ni kwamba boss Mo kaamua kukita mizizi pale msimbazi kiasi kwamba mzabuni wajezi kaona hakuna future nzuri. Atavunja mkataba kwa gharama zake na yuko tayari kulipa fedha ya fidia kwa Simba ili aondoke. Genius Mangungu unaupiga mwingi.
  20. Jaji Mfawidhi

    "Simba" kuoa mwanawe wa Zinaa!

    Je, unawajua watoto ambao "Simba" anaweza kuwaoa? Wataje na mama zao! Taja watoto wa ZINAA WA SIMBA.
Back
Top Bottom