simba

  1. Titicomb

    Kiongozi wa Simba aliye mleta Doumbia sijui alikuwa anamkomoa nani?

    Huu si uhujumu uchumi au uhujumu timu jamani. Angalieni wenyewe. https://youtube.com/shorts/GbyyrFPBhrs?si=kPuSA8DDXrH5NXIw
  2. min -me

    Hiii ndio Simba , ninayoijua

    Tule pombe tuisapoti Simba yetu, kwa wivu mkubwa tu.
  3. Zack Abdul

    Kwa hadhi na uwezo Simba SC, ilipaswa kushiriki ligi kubwa duniani kama EPL

  4. Gobole Lenye Risasi

    Wallah Simba akishinda leo nipigwe ban ya week nzima. Nimetizama Mnyama kaliwa

    Azam ni moja ya Team kali sana kwa sasa. Ina Kocha ambaye pia ni rafiki yetu Yanga. Anajua kuwa Mikia ni maadui zetu Leo Mikia wakijitahidi sana ni Draw. Hashindi. Labda ashinde njaa mbwa huyo. Azam wametoka kumaliza hii game kwa mtaalamu wetu wa siku zote ambaye anazuia sisi Wananchi...
  5. Mhaya

    Nani anakibarua kizito hapo mbele kati ya Simba, Yanga, Azam na Singida huko CAF

    Timu zote za Zanzibar zatolewa katika michuano ya Shirikisho na Klabu bingwa barani Afrika. Huku timu za Tanzania Bara (Tanganyika) zikibaki na kuendelea na raundi ya pili ya mtoano kabla ya makundi. Simba atakutana na 15 De Agosto kutokea huko Equatorial Guinea (Guinea ya Ikweta) ambayo ndio...
  6. Zack Abdul

    Simba inaendelea kudhihirisha ubora wake katika Mashindano ya CAF

  7. uran

    Simba SC VS Might Wanderers | CAFCL - Kufuzu Round 1 | Uhuru Stadium | 13.09.2026

    Klabu ya Simba inashuka dimbani leo kukipiga dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa CAF Champions League wa Kufuzu Round 1 utakaochezwa Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni. Simba SC imeanza safari yake ya CAF Champions League kwa ushindi muhimu ugenini na sasa Wekundu wa Msimbazi wanarejea...
  8. Jannatul Firdaus

    Doumbia anasema hana presha Simba SC, anawaskia ngebe zenu

    Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Doumbia, amesema hana presha licha ya kuanza msimu huu bila kufanya vizuri. Doumbia amesema ameanza taratibu, lakini bado ana matumaini ya kufanya vizuri zaidi na kuumaliza msimu kwa kiwango kizuri.Mshambuliaji huyo anakabiliwa na presha kutoka kwa mashabiki...
  9. L

    Simba jiandaeni, furaha yenu Yanga Haitafurahi

    Yanga wamenusurika Botswana,walipata goli la kusawazisha dakika za jioni kabisa, Simba walishinda goli moja bila. Kama kawaida ya Yanga yeye katika maisha yake anaioneaga wivu Simba tu,kwa hiyo Yanga ana kazi mbili Sasa hivi,kuhakikisha anacheza mechi ya Simba ya marudiano na Mighty Wanderers...
  10. uran

    FT: Mighty Wanderers 0-1 Simba SC | CAFCL-1st Leg | Wakali wa Kimataifa wafanya kweli | 06.09.2026

    Timu ya Simba SC imeanza kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mighty Wanderers katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Septemba 6, 2026. Mchezo wa marudiano baina ya timu hizo katika Hatua hiyo ya Awali unatarajiwa kupigwa Septemba 13, 2026 kwenye Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam...
  11. funaku

    Furaha ya wanayanga ni kumuudhi Simba!

    Roho zetu leo hii ni burudani sana ...Selemani Mwalimu kafunga Goli muhimu sanaa!!
  12. Eronda

    Watch: Rwomushana whisked from Simba Radio.

    Ugandan political analyst Charles Rwomushana was forcibly removed from Simba Radio studios in Bukoto by armed men wearing civilian clothes.
  13. Manyanza

    Clatous Chama: Nilijutia sana kuondoka Simba, siku niliyosaini mkataba Yanga haikuwa siku nzuri kwangu

    Kama ningerudi Zambia ingekuwa ngumu sana kurudi Simba na nilisaini Singida kwa sababu nilitaka tu kuwa karibu na Simba na waendelee kuniona” “Nashukuru Mungu sikuchukua muda mrefu pale kwasababu sijawahi kufikiria suala la kwenda Yanga, ilitokea tu” “Nilikuwa kwenye wakati mgumu lakini...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    Doumbia ni MALI. Simba wamtumie vizuri

    1. Waingie mkataba na kampuni ya Total Energy watumie ile clip maarufu aliyorukia mpira kama anacheza rede kwenye tangazo lao. 2. Wauze clip za vituko vyake kwenye makampuni ya kubeti. 3. Wamtumie kama kivutio kila waendapo watu walipe $5000 kupiga naye picha. Doumbia ni striker la boli...
  15. B

    Taratibu gani zinatakiwa kufuatwa ukitaka kununua ngozi ya chui au simba kutoka Maliasili?

    Wakuu kwema.. Nani anazijua taratibu za kununua vitu vya asili pale maliasili kama vile ngozi ya Simba, Chui, na kadhalika. Gharama zake je, zipoje?
  16. Waufukweni

    HOJA Wazawa watatu hadi wanne pekee wanaanza kikosini Simba na Yanga, Taifa Stars iko salama kuelekea AFCON 2027?

    Wakuu Nimepitilia lineup za hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga na kujiongea Utawala wa wachezaji wa kigeni katika vikosi vya kwanza vya Simba na Yanga, wakati Tanzania ikijiandaa kwa AFCON 2027, ni kisu chenye makali miwili. Kwa upande mmoja, nyota hawa wameiongezea Ligi Kuu ya NBC...
  17. Jannatul Firdaus

    MATCH DAY; Dakika 90 za Moto! Simba Yakutana na Geita Gold Katika Pambano la Pointi Tatu

    Simba SC leo, Jumatatu Agosti 31, 2026, itashuka dimbani kuikabili Geita Gold FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC, ikiwa na lengo la kuendeleza mwanzo wake mzuri wa msimu na kusalia kwenye mbio za kilele cha msimamo. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, huku...
  18. R

    Miaka nane hesabu za Simba hazijawekwa wazi

    Sio maneno yangu, ni kauli iliyotolewa na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Simba, mwenyekiti wa Simba na katibu mkuu wa TFF wakati huo ikiitwa FAT Ismail Aden Rage akihojiwa na wasafi Redio. Anasema akiwa high table kwenye mkutano wa Simba alimwomba mweka hazina nakala ya ripoti ya Simba...
  19. Jaji Mfawidhi

    Simba haina Golikipa: Itafungwa hata na Manzese United!

    Magolikipa wa Simba Hussein Abel, Kasali, Yakuob Lakren mgonnjwa na hatorudi karibuni , so hawa wote si level ya Simba . Ally Salum aliondoka, alilazimika maana hakupata namba. Simba itaendelea "kuchikichiwa" au "kutiwa kidude" mpaka watakaposajili magolikipa .
  20. Tajiri Tanzanite

    CCM ikitoka madarakani Simba na Azam ndio zitakuwa timu kubwa na watani wajadi Tanzania

    Hapo VIP! Huu ndio ukweli utakaochelewa ila itafika Yanga ni club ambayo imejipambanua Na kuweka wazi kuwa IPO kisiasa Na ni club yenye mahusiano mazuri Na CCM Na imekuwa ikiisupport kipesa. Na inatumia sana mgongo huo kuumiza vilabu vingine Na kufanikisha mambo yao. Sasa itoshe kusema in...
Back
Top Bottom