simba

  1. Kipenzi Changu

    Tuache masihara Simba Sc wanagonga mpira

    https://youtu.be/ysrEn9vEb-M?si=EDdmtxh6RRcfPyhP Tazama pass zilivyopigwa goli la kwanza na la tatu Achana na goli, angalia pressure waliyotia kipindi cha pili, kama nyuki.
  2. Gobole Lenye Risasi

    Simba kufikwa na Msiba. CV ya Steve Barker inajadiliwa muda huu maamuzi kufanyika

    Kunazidi kunoga. Kikao kinajadili CV ya Steve Barker kocha aliyepo Simba kwa Mkopo. Maana Yanga wakiamua ni suala la kugusa tu anakuja Yanga. Ndo maana kila kilichopo Simba sisi Yanga huwa tunaita kipo kwa Mkopo. Hata Mo Dewj tukimwitaji tunamchukua tu. Hii ni team ya Nchi. Yeye mwenyewe mara...
  3. Powder

    Simba kuwa bingwa wa CAF Champions League 2026-2027

    Japo Mimi ni Mshabiki wa Yanga..! Sijawahi ku bet Toka Dunia inaumbwa, nataka ku bet coz nimemuona Simba iknanyua ndoo ya Africa. Wataalam waku bet, naombeni maelekezo Kampuni gani ya ku bet naweza kubet kuhusu nani atakua BINGWA wa CAF this season. NB: Mimi sio Mtu wa kubet pia sitaendelea...
  4. Duh Aisee

    Wanateka, wanaua, wanachangia ujenzi wa kanisa, misa viti vya mbele,changia yatima, changia Simba na Yanga, kesho wanateka tena, wanaua tena

    Teka, ua, hubiri amani Teka, ua, changia ujenzi wa kanisa Teka, ua, jichomeke kwenye mipira Teka, ua, changia yatima Teka, ua, hakikisha media hazireport, teka, ua tena Jiteteeni mababu zenu hawakuipigania hii ardhi ili leo hatma ya uhai wenu uamuliwe na watu kadhaa
  5. C

    Mchezo wa simba dhidi ya 15 De Agosto kutumia mfumo mpya wa tiketi

    Mchezo wa Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Simba na 15 de Agosto ambao ni mchezo wa marudiano utakaochezwa katika uwanja wa Uhuru siku ya Jumapili kutatumika mfumo mpya wa uuzwaji tiketi. Akizungumza kuhusu mfumo huo Abdulrashid Hamza Rashid, Mkurugenzi wa Kampuni ya 121 Consultancy...
  6. M

    Mchambuzi MKALABOKO: Simba Sc ni sawa na Muhasibu wa kikoba ,akifika wakati wa marejesho lazima pesa mumpe yeye.

    Haya ni maneno aliyoyaelezea mchambuzi gwiji wa mpira kwa sasa nchini Tanzania. Amesema hayo hapo jana akihojiwa na Mtangazaji Tunu Hassan Shenkome kuhusiana na mchezo wa ngwe ya kwanza dhidi ya 15 agosto. https://m.youtube.com/watch?v=iJXAH1zXHqg
  7. Minjingu Jingu

    Chief Mangungu wa Simba ndo muda wake huu sasa

    Sasa hivi mmesahau. Match ya pili tukija wachapa mtaanza kutoa milio chief Mangungu andoke. Je kwa sasa aendelee au bado yupo yupo kwanza? Tuambiane mapema nyie mikia. Maana yeye ndo huwa mnamwangushia Jumba bovu. Maana kwa sasa tumewapumzisha naye baada ya kuwaachia mpate ushindi hii match moja.
  8. Pdidy

    SIMBA HII.TUICHUNGUZE NA UZI KABISA SINDANO HAITOSHI KHA

    Haya yangu macho nawatakia watani all d best
  9. Red black

    FT: 15 de Agosto 1-6 Simba SC l CAFCL - first Leg l Uhuru stadium l 21 October 2026

    All the best Mnyama🦁 Leo Simba atakaribishwa katika mchezo wa mzunguko wa pili katika mkondo wa kwanza wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto dimba la Uhuru Kikosi cha mnyama #nguvu moya👊
  10. M

    Hakuna timu yeyote Barani Africa inayotamani kukutana na hii Simba ya Steve Barker

    Nimeutazama huu moto wa timu ya Simba sc ulionao sasa, nikiri wazi kuwa hakuna timu barani afrika inayotamani kukutana na hii Simba sc. Mpaka sasa tumeshafuzu makundi ya klabu bingwa barani Afrika. Na ndoto na Shauku yetu kuutwaa huu ubingwa na kuweka historia kuwa timu ya kwanza Afrika...
  11. PAYE

    Baada ya kukaza, 15 de Agosto yaruhusu mashabiki mechi na Simba Uhuru Oktoba 21

    Klabu ya Simba imetangaza kuwa mashabiki wake wataruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya 15 De Agosto utakaochezwa Oktoba 21, 2026, katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu...
  12. Gobole Lenye Risasi

    Yanga tuchukue hili la Simba nasi tuwaige. Nimependa wanachofanya hapa.

    Sisi hatuna wachezaji wetu Legends? Tuwakusanye nasi tufanye kama Mikia wanavyofanya. Inapendeza sana.
  13. Gobole Lenye Risasi

    Naichukia sana Simba. Imvenigharimu mara 3 hivi

    Sisi wana CCM tulianza ichukia zamani sana Simba S.C hii team wanajifanya wao ndo wasomi, wao ndo waelewa. Simba ikifungwa huwa nawahi Msikitini kufanya usafi na swala . Nakuwa na furaha sana. Hili li team linatumika na wapinzani wa CCM pia kuhujumu harakati. Mi silipendi kabisa. Nlishapigwa...
  14. N

    Rasmi:Yanga yakata rufaa TFF kupinga ushindi wa Simba kwenye Dabi ya kariakoo iliyopigwa tarehe 10/10/2026.

    Habari zenu wanajamvi. Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu. Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna...
  15. S

    Leo Simba kashinda, husikii mapungufu ya Simba, Siku akifungwa, yataanza yale yale tuliyoyazoea

    Habari ndio hio si kwa mashsbiki si kwa wachambuzi Simba imekamilika. Subirini siku wapoteze matasikia watavyogeuziwa kibao kuanzia kocha mpaka wachazeji bila kusahau mfadhili wao. Muda utasema
  16. T

    Wasafi fm: Tunashangaa ajali imeua watanzania wenzetu 32 hakuna hata mtu amewajibika tuko bize na simba na niha huku Rais akiishia kusikitika!!

    Ni watangazaji wa kipindi cha good morning wwameongea kwa hisia sana na kushangazwa kwamba licha ya kutokea tatizo kubwa ambapo watanzania wenzetu 32 wamefariki kwa ajali mbaya Moro alafu hakuna anayewajibika Badala yake watanzania na vyombo vya habari wako bize kujadili ushindi wa simba na...
  17. Mohamed Said

    Mechi ya Simba na Yanga Yanirudisha Nyuma Miaka Mingi

    https://youtu.be/QrXjLBGOxs8?si=b9Zx6K6tVjtfRNhE 🔥 SIMBA, YANGA, GULLIT NA RIJKAARD: KUMBUKUMBU ZA MOHAMED SAID ZISIZOZEEKA! ⚽ Kutoka London na Arsenal hadi Misri mwaka 1988 na historia ya soka la Tanzania! Miaka inapita, miji inabadilika, lakini kumbukumbu hubaki. Kwa Mohamed Said, soka ni...
  18. MSEZA MKULU

    Kwa nini utani wa Simba na Yanga unaelekezwa kwenye ngono zaidi tena mapenzi ya jinsia moja?

    Nimeangalia kwaya za AI za kumtania Yanga kushindwa, maudhui ya utani wa kingono ndio yamejaa. Tena mengine yakijielekeza kwa lugha za siri za mapenzi kinyume na maumbile. Mfano " Kishundu tumeshakiosha " akionyeshwa model ya mtu mwenye makalio makubwa mwenye mavazi ya kijani na njano. Utani...
  19. Z

    Asante sana Simba kwa kutupa raha, sio tu ushindi wa mabao 2 bali mmeonyesha kiwango kikubwa sana cha uchezaji

    Pongezi nyingi kwa wachezaji wote lakini kipekee kwa Kocha, hakika ameisuka na kuinoa timu. Sasa hii ndio Simba mnyama, kiwango cha kimataifa. Congratulations.
  20. Red black

    Maji na mafuta yameanza kutengana - Simba Bingwa! Gari limewaka aise

    Maji na mafuta yameanza kutengana😀
Back
Top Bottom