simba

  1. Crocodiletooth

    Ni wakati sasa wa mo kuiachia Simba!

    Nashindwa kuielewa kabisa!,Kuna wakati waarabu wa nafikiri dubai au oman waliitaka simba,likatokea zengwe timu hii atafutwe mwekezaji mwarabu tajiri amwage fedha za kutosha ili mambo yakae sawa kwa usajili wa maana utakao leta wachezaji vigogo wa kuleta ushindani mkali,
  2. A

    Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa

    Ndugu zangu Wana Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa. Amasivyo kwenye ligi tutafungwa tena
  3. COARTEM

    Mangungu ni pandikizi la Yanga ndani ya Simba, shtukeni

    Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi. Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na...
  4. Titicomb

    Yanga wana nyakua mchezaji kambi ya Simba kama tukio la Marekani kumnyakua Maduro, Ada ya kuuzwa Fei Toto italipa ya Seleman Mwalimu.

    Huyu Eng. Hersi anajikuta mbabe mithili ya Trump wa Marekani. Kavamia kambi ya Simba kamteka mshambuliaji wao tegemezi. Anawasubiria waingie kichwa kichwa kumnunua Feisal Salum (Fei Toto) kujipoza machungu au wanaita comeback, kumbe wanailipia Yanga ada ya Seleman Mwalimu kwa Wydad. Magori...
  5. M

    Ngao ya Jamii: Simba Anashinda Leo!

    Bila kupoteza muda Mechi ya Leo ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba Nikiwa pangani mchana huu narudi Tanga mjini napewa taarifa hapa kuwa Yanga atapasuka vibaya sana Leo Mpk sasahivi viongozi bado wanahaha namna ya kugeuza kipigo Nawathibishia Leo Simba anashinda Ewee shabiki wa Mnyama...
  6. C

    Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
  7. S

    Simba mjifunze kuheshimu wakubwa, Msipobadilika mtajua hamjui hii ni code nawapa

    kuna msemo wa zamani unasema Mla miwa husahau ila mtupa maganda hasau! Salam Haitii mimba; Huu msemo unamaana tu kwa watu wenye nidhamu; Haiwezekani unasalimiwa na mkubwa katika birthday yako huitikii na kibaya zaidi unazomea! Sasa asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu! NAIMANI wengi...
  8. kavulata

    Shida ya Simba ni Simba yenyewe, umbumbumbu ni mwingi kuliko weledi.

    Tofauti ya Yanga na Simba ni viwango vyao vya umbumbumbu. Umbumbumbu wa mashabiki wa Simba ulianza kutangazwa na mwanasimba mwenzao Kaduguda na kukolezwa na Rage. Ukiona mashabiki wanakunya hadharani mchana kweupe hao unaweza kuwageuza unavyotaka kama samaki kikaangoni. Ni mchezaji gani Tz...
  9. Li ngunda ngali

    Ipo siku Simba atatambulishwa kuwa amesajiliwa Yanga

    Ni suala la mda Ni wazi umafia wa Klabu ya Yanga anao mfanyia Simba, ipo siku kutakucha na taarifa ya "SIMBA IMESAJILIWA NA YANGA"
  10. Jaji Mfawidhi

    Yanga kuokoteza makombo ya Simba ni Ushamba au Upashkuna wa Michezo?

    Klabu ya Yangu 10-8-2026 imemsajili mchezaji wa Simba ambaye hakuna na namba na ameshuka kiwango Sulemani Mwalimu, kwa milioni 150, Nyumba mikocheni na Subaru forester na mshahara wa milioni 15 kwa mwezi kma zilivyopenyezwa za ndani japo hazijadhibitishwa na chanzo huru. Yanga inaonyesha vile...
  11. Mhaya

    Yanga yaanza kutumia “Yanga day” — je, ni kuiga Simba day?

    Kuna mjadala mpya unaoibuka kwenye soka la Tanzania baada ya klabu ya Yanga kutumia kwa nguvu zaidi jina “Yanga Day” katika tamasha lake la mwaka 2026. Kwa miaka kadhaa, tamasha hilo limekuwa likitambulika zaidi kama Siku ya Mwananchi au Wiki ya Mwananchi, majina yaliyokuwa sehemu ya...
  12. Mgagaa na Upwa

    Sapraiziiii: Yanga yamsajili Selemani Mwalimu siku mbili baada ya kunukuliwa akisema ataichezea Simba Msimu wa 2026/27

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambiliaji Selemani Mwalimu ambaye msimu uliopita aliichezea Simba kwa mkopo, ikiwa ni siku chache tangu mchezaji huyo anukuliwe katika clip iliyopostiwa na Simba akisema ataendelea kuichezea timu hiyo katika msimu wa 2026/27. Mwalimu alikuwa akiichezea...
  13. Jannatul Firdaus

    SIMBA VS YANGA: Nani ataodoka na ngao ya jamii?

    Tarehe 12 Agosti, macho ya mashabiki wa soka Tanzania yataelekezwa Amaan Stadium, Zanzibar, ambapo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii. Hii si mechi ya kawaida. Ni Derby ya Kariakoo, na kila upande unaingia uwanjani ukiwa na presha ya kutaka kuanza msimu kwa ushindi dhidi...
  14. Matunzo 02

    Tuweke ushabiki pembeni kati ya tamasha la Simba na Yanga lipi limekuwa tamasha bora kwako?

    Mimi kwa upande wangu yamekuwa bora yote
  15. Rico redi

    Hotuba ya Mo Simba day nini maoni yako

    Hotuba ya jana ilikua ni kama inataka kufikisha ujumbe kuhusiana na hali halisi ya kinachoendelea pale unyamani Kwa anayefahamu Kwa mujibu wa katiba ya simba muundo wa kimamlaka uko vipi upande wa mwekezaji na wanachama je budget ikitangazwa ni kila upande unachangia au upande wa mwekezaji tu...
  16. feyzal

    Mliongalia Tamasha la Simba day je,leo simu ilipigwa?

    Salaam wakuu Kama heading inavyojieleza ,vipi leo bi mkubwa alipiga simu kwemye tamasha? Usiku mwema
  17. Mstahiki Mea

    Draw za Simba msimu ujao zitatunyima ubingwa kwa mara nyingine

    Kivyovyote itakavyo kuwa tatizo kubwa la Simba msimu ujao,ni safu ya ushambuliaji. Kwa jinsi kikosi kilivyo hatutarajii goli za kutosha kwenye michezo ijayo goli 0-2 inatarajiwa kutokea mara nyingi ambapo kiwango hicho kitasababisha tutoke sare nyingi na ndicho kitatukosesha ubingwa Sare...
  18. min -me

    Simba Sports Club maskini timu yangu😭

    Kamwe hii timu yangu haiwezi chukua ubingwa mbele ya timu ya Yanga, wana malengo mabaya sana , hatuna plan na tuna matajiri oya oya na viongozi wahuni takataka🚮 Note ..endeleeni kushabikia matajiri wajinga kwenye soka, viva epl clubs✔
  19. min -me

    Utambulisho wa Selemani Mwalimu, Simba

    Utambulisho wa Selemani Mwalimu , kwa Simba yangu ni uhuni unaoendelea Simba , msituone sisi ni wajinga nyie viongozi majahili wa Simba
  20. L

    Tamasha la leo 8.Aug.2026 Simba inahujumiwa kwenye Azam Tv

    Katika kuonesha matukio ya uwanjani Leo hii Tarehe 8-8-2026 Azam TV wamezingua,sijui ni kwa bahati mbaya au makusudi. Wamekua wanaonesha mahojiano Zaidi nje ya uwanja,badala ya kuonesha matukio ya ndani ya uwanja ili watu waweze kuona burudani za uwanjani na jinsi watu walivyojaa. Hali hii...
Back
Top Bottom