serikali

  1. M

    Ni faida gani Taifa linapata kwa Serikali kujielekeza kwenye mashindano ya U miss, na mashindano mengine yanayofanana na hayo?

    Ndugu wanajamvi je serikali haioni ni muda muafaka wa kuwashindanisha vijana katika mambo muhimu kwa ajili ya kujenga taifa lenye watu walio na utaalamu na hasa ikizingatia uhitaji wa dunis ya sasa? Kwa nini kama nchi turuhusu mambo ya kipuuzi kama urembo, utanashati na Makonda juzi anatoa maoni...
  2. Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo

    Mahakama Kuu ya Tanzania imeuagiza uongozi Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kufuata taratibu za Kanuni za Uendeshaji wa Magereza kwa kutowanyima Mawakili na Washauri wa kisheria kuzungumza na mteja wao lakini pia maafisa magereza kusimamia maongezi hayo kwa kukaa umbali ambao wataweza kuona...
  3. Makonda: Viongozi wa Serikali wakiwa walafi na wala rushwa, mmefeli nyinyi viongozi wa dini, hao ni waumini wenu!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amewataka viongozi wa dini kuwajibika katika kuwajenga waumini wenye maadili, akisema viongozi wa serikali wanaojihusisha na rushwa na ulafi wanapotoka katika nyumba za ibada, ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wa dini katika malezi ya...
  4. Serikali inapaswa kujitathmini kwa mwenendo wake...[CDF,IGP,DCI,DG, PO].

    Taswira(Historia) ya uongozi na viongozi wake wanaakisi au wanatafsirika vipi na jamii? Na katika hiyo taswira wana-athari gani kwa mustakabali mzima wa Taifa, ref; Wanamtandao. Holela holela/Kujichukulia Sheria mkononi huku sheria na katiba ikichezewa kitaaluma na wanataaluma...
  5. Ukiua taaluma ya sheria basi umeua utawala wa sheria CCM kuweni makini sana. Kutishia wanasheria ni hatari kwenu pia.

    Ukiua uhuru na uadilifu wa taaluma ya sheria, unadhoofisha utawala wa sheria; unapodhoofisha utawala wa sheria, unaweka rehani haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali na misingi ya demokrasia. Serikali ya wananchi haiwezi kuwa imara pale ambapo sheria inalinda mamlaka badala ya kulinda haki.
  6. E

    Serikali imechukua hatua gani kwa hatari hii ya kemikali?

    Uchunguzi wake, gazeti la Nipashe kuhusu uhifadhi wa kemikali ya Ammonium Nitrate katika ghala la Donito Investment Limited, eneo la Kipawa jijini Dar es Salaam, unaibua maswali mazito kuhusu uwajibikaji wa taasisi za serikali, usimamizi wa vibali na usalama wa wananchi wanaoishi karibu na...
  7. Wananchi Zanzibar wagomea serikali kukodisha kisiwa kwa mwekezaji

    Wananchi wa Fumba, Zanzibar, wamemuomba Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha ACT - Wazalendo, Profesa Omar Fakih Hamad kuishawishi Serikali kuangalia upya mpango wa kukikodisha Kisiwa cha Kwale kwa mwekezaji, wakieleza kuwa eneo hilo ni tegemeo lao muhimu la kujipatia kipato...
  8. A

    HOJA Serikali iangalie, Sekta binafsi kuna changamoto nyingi zinazowanyonya Wafanyakazi

    Ningependa kuwasilisha ushauri kuhusu changamoto zinazowakabili vijana na wafanyakazi wengine katika sekta binafsi, hususan masuala ya mikataba ya ajira, mishahara na mazingira ya kazi. CHANGAMOTO KUBWA Mikataba ya ajira: Wafanyakazi hupewa mikataba ya mwaka mmoja inayorudiwa kwa kipindi cha...
  9. Serikali Yapongezwa kuokoa Wananchi Tandale na Mkwajuni 2026!

    Serikali imepongezwa na wananchi tofauti tofauti baada ya kusafisha mto Ngombe, kuacha njia ya ambulance na polisi kwaajili ya ulinzi. Watu walilipwa toka 2020 na Mh Magufuli, walilipwa wakaondoka na kuwaacha ndugu zao ama madalali wakauza tena. Wote waliovunjiwa wawatafute madalali walale nao...
  10. M

    Makonda: Serikali haiendeshwi kwa presha ya maneno

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali haifanyi kazi kwa presha ya maneno ya watu, bali inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, ikiwemo kuboresha sekta ya elimu nchini. Makonda ameyasema hayo wakati akizindua Shule ya Msingi Butiriti, iliyopo Wilaya ya...
  11. A

    HOJA Takriban mwaka moja tangu treni ya SGR ipate ajali Ruvu, ila hakuna taarifa rasmi ya chanzo, harasa wala hatua zilizochukuliwa

    Oktoba 23, 2025, treni ya SGR ya mchongoko (EMU) iliyokuwa ikisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ilipata ajali katika eneo la Ruvu. Jambo la kufurahisha ni kwamba hakuna mtu aliyepoteza maisha, ingawa ajali hiyo ilisababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu, ikiwemo reli na njia za umeme...
  12. R

    KERO Angalia Barabara toka Dodoma kwenda Iringa. Serikali ijitafakari

    Clip inatosha bila maelezo
  13. Serikali inakataa uraia pacha ila cha kushangaza watoto wao na wasio watanzania ni raia pacha na wana passport kuanzia tatu na kuendelea.

    Tukisema mnasema wivu. Waarabu na wahindi hapa tanzania wanaongoza kuwa na utambulisho wa uraia kuanzia kwao na popote. Uhamiaji hapo ni pesa yako ila na shangaa kila kukicha wana dili na warundi ambao maskini wa kutupa.
  14. R

    Serikali ya wanyonge inayowapandisha kwenye malori kujaza uwanja wa mikutano. Imekiwafanya!!!

    Kazi iliyotukuka kwa wapiga kura, wasombwa na malori kwenda kwenye mikutano. Wala haijifunzi. Inapangwa kwenda kwa mwakilishi wa Vatican!
  15. Z

    Rais Trump wa Marekani amesema kwa maafisa wa Serikali wanao vujisha siri/taarifa za serikali wanapaswa kuuwawa/kunyongwa.

    Rais wa Taifa kubwa la Marekani ameyatamka hayo jana tarehe 14/10/2026 kuwa maafisa wote wa Serikali wanao vujisha siri za Serikali wanapaswa kuuwawa. Mnaonaje hata hapa kwetu utaratibu huu ukatumika?
  16. Serikali Haramu yashirikiana na RC Arusha /DC na DED Ngorongoro na wamiliki wa Sheli Kuuza Petroli Elfu Sita kwa Lita kuwakomoa Wamasai !

    Wakuu, hii ni aibu na inayotia Kinyaa!!. Jamaa yangu huyu aliyepo Makao makuu ya Ngorongoro , ananipigia simu kumielezea adha wanayopitia huko Porini kwao kwa karibu mwezi mzima sasa !. Petroli ianuzwa Elfu Sita kwa Lita, huku Chama cha Mapinduzi (CCM) , Mwenyekiti wake wa Wilaya, DED, DC na...
  17. Viongozi mbalimbali wa serikali wakiwa katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru 2026 mkoani Rukwa

    📍Uwanja wa CCM Nelson Mandera, Sumbawanga Baadhi ya Viongozi wa Serikali wakiwa pamoja katika Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2026, Sumbawanga Mkoani Rukwa. Mwenge wa Uhuru unaendelea kuwa alama ya umoja, uzalendo na uwajibikaji wa pamoja. Ni jukwaa linalounganisha Serikali na wananchi...
  18. Huu muunganiko wa BASATA na manispaa katika Kutoa leseni ni kwamba IT wao uwezo wao mdogo au wamefanya kichaka Cha kuiibia serikali?

    Niende katika hoja Moja Kwa Moja Kwa Sasa ukitaka kuomba leseni Kwa baadhi ya biashara unatakiwa kwanza kuomba kibali Basata Yani ukiingia tu katika mfumo wa kuomba leseni unatakiwa kwanza uingize code ulizopewa basata ndio uweze kuendelea Sasa Cha kushangaza unaingia katika mfumo wa Basata...
  19. A

    KERO Je, Serikali imefikia wapi kuhusu suala la bei ya Saruji? Maana ni kimya sasa

    Je serikali imefikia wapi kuhusu suala la cement? Mana ni kimya sasa
  20. EALS, PALU, SADC-LA, IBAHRI na Lawyers for Lawyers waitaka Serikali kuacha kumkandamiza Rais wa TLS

    Mtandao mzito wa taasisi na vyama vya kitaaluma vya sheria barani Afrika na duniani vikiwemo EALS, PALU, SADC-LA, IBAHRI na Lawyers for Lawyers ,vimeungana kutoa tamko zito la kuitaka Serikali ya Tanzania kuacha kuingilia na kutumia vyombo vya nidhamu kumkandamiza Rais wa Chama cha Wanasheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…