serikali

  1. R

    ANC yakubali matokeo ya kura ya serikali za mitaa. CCM ina cha kujifunza?

    98% Samia kwa mauaji 31% Ramaphosa bila mauaji
  2. U

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Sasa leo kwa mfanyo Malaika mkuu kaagizwa na mbingu mkiambiwa muunde serikali mtawezaje wakati ham a hata mbunge mmoja? Si bora mngeingia kwenye uchaguzi angalao mngeambulia wabunge wachache Huo ndiyo ukweli hata kama mtanuna Jioni njema
  3. M

    Netanyahu anaendelea kuwa waziri mkuu baada ya kukosekana kwa serikali mpya, Rais hana nguvu na vyama vikishindwa kufikia muafaka uchaguzi utarudiwa.

    Uchaguzi mkuu wa Israel umeliacha bunge (Knesset) bila upande wowote wenye viti 61 kati ya 120 vinavyohitajika kuunda serikali mpya. Hali hiyo inamfanya Benjamin Netanyahu kuendelea kuhudumu kama Waziri Mkuu, licha ya kambi yake kushindwa kupata viti 61 bungeni. Kwa mujibu wa matokeo ya...
  4. K

    RESOLVED Asante serikali Kwa kutatua kero ya Chenji Choo Cha Stendi ya Mabasi Shinyanga

    Ilikuwa Jamuari 25, 2026 nilipoleta hapa changamoto iliyopo Stendi ya Mabasi Shinyanga, ya kutorudishiwa chenji kutoka kwa wahudumu waliopo kwenye choo Cha Stendi hiyo. Lakini nilizungumzia pia changamoto kama hiyo iliyopo kivuko Cha abiria Kisorya Wilayani Bunda Mkoani Mara na Ukerewe Mkoani...
  5. Kumbe kuna watu hadi leo walikuwa wanashikiliwa na serikali ya Samia tangu vurugu za October 29,2025?

    My take,Kumbe walituzuga tu wameachia vijana kadhaa wengine wakaendelea kushikiliwa
  6. E

    Anguko la ANC kutoka asilimia 69.7 hadi 30.76 linamaanisha nini?

    Chama kilichotawala Afrika Kusini kwa zaidi ya miaka 30 chazidi kupoteza uungwaji mkono; takwimu za chaguzi za Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu zaonesha kuporomoka kwa nguvu yake ya kisiasa. DA yaimarisha nguvu katika miji mikubwa, chama cha Zuma cha chanja mbuga KwaZulu-Natal huku vyama...
  7. Serikali uweke Account namba ya deni la taifa watu tulipie mdogo mdogo

    Eti Wadau Hili deni la taifa inabidi tulivalie njuga, weweke namba ya malipo tunanze kuchangia liishe, tu-fokasi na mengine
  8. Wakili Frank Lubasha: Serikali inayojitambua ni lazima Itumie Brain ya Lissu kwa Manufaa ya NCHI. Lissu sio wa kutukanwa, sio wa kufungwa!

    Niliwahi Mimi binafsi kuandika humu Jamiiforums, Ni ajabu sana Kuona watu waliofeli na wajinga wàjinga wasiokua na akili na wenye ELIMU za kuunga unga ovyoo, akina Samia, Mafwele, na magenge yao KUMSUMBUA LISSU. Lissu ni Mtu mwenye Akili isokua kawaida, huyu alishushiwa hili kipawa cha Akili...
  9. A

    HOJA Wanaoweka chupa katika ukuta mfupi ni hatari kwa Watu, hata kama hakuna Sheria hii si sawa

    Tabia ya baadhi ya wamiliki wa nyumba kuweka vipande vya chupa za soda au bia juu ya kuta za uzio kama njia ya kuzuia watu kuingia kwenye maeneo yao. Ninaona utaratibu huu unaweza kuwa hatari kwa usalama wa wananchi, hasa watoto, na sasa kuna tukio limetokea katika familia yangu ambalo...
  10. DKT. MWIGULU: SERIKALI IMECHUKUA HATUA BEI YA SARUJI IWE HIMILIVU

    ▪︎ Akemea wananchi kunyimwa huduma kwa kukosa miadi ▪︎ Ataka wagonjwa wa dharura wahudumiwe mara moja WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua za kufanya bei ya saruji kuwa himilivu kwa kuondoa kodi kwenye saruji inayoagizwa kutoka nje na malighafi zinazotumika...
  11. Serikali yaweka dira ya kujenga miji ya kisiasa, salama na endelevu

    Dodoma Tanzania inatarajiwa kuwa na miji ya kisasa, yenye makazi bora na nafuu, miundombinu imara, huduma za kijamii zinazopatikana kwa urahisi pamoja na mazingira salama na rafiki kwa wananchi. Hayo ni miongoni mwa matarajio yaliyowekwa katika Dira ya Taifa ya Maendeleo mwaka 2050, inayolenga...
  12. PostGE2025 Serikali ambayo inasema watoto wasichapwe viboko ndiyo hiyo hiyo ilishindwa kuwavumilia watoto haohao oktoba 29 ikawachapa risasi za moto

    Unajiuliza kwanini na wao wasinge kaa nao vijana na watoto wale kwa upendo na kuwashauri kwa amani bila risasi ili hao vijana wasifanye fujo? Huo uvumilivu mnao utaka kwa walimu leo dhidi ya kukosa adabu kwa wanafunzi ninyi serikali mlishindwaje kuutumia huo uvumilivu 29 oktoba 2025? Kwa...
  13. Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara lakini viongozi hawataki kuishi maisha ya ufukara

    Mgogoro mkubwa uliopo Tanzania kati ya viongozi wa Serikali na Wananchi ni utajiri Idadi kubwa ya Watanzania hawataki viongozi wa Serikali wamiliki utajiri wala miradi & biashara, wanataka viongozi hao waishi maisha duni wakiamini maisha duni kwa viongozi wa Serikali ni ishara ya utawala bora...
  14. K

    Media ya Tanzania ni house boys na girls wa Serikali

    Media ya Tanzania imezidi uchawa ni kama house boys na girls wa Serikali 😳🤦🏾‍♂️
  15. A

    KERO Waziri wa Mikopo UDSM ni changamoto sanaa

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie malalamiko ya wanafunzi wanaokabiliwa na changamoto za mikopo ya elimu ya juu, hususan namna wanavyohudumiwa na maafisa mikopo (Loan Officers) wanapokwenda kuwasilisha matatizo yao. Wanafunzi wanadai kuwa baadhi ya maafisa mikopo hawawasikilizi...
  16. SERIKALI AU MAHAKAMA: Nani Anahusika na Kesi ya Tundu Lissu? Tujadili kwa Sheria, Sio Mihemko

    Ndugu zangu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025. Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama? 1. UKWELI...
  17. Vyombo vya habari vya Tanzania ni vya ovyo kiasi hiki? Lissu ameachiwa na Mahakama au kashinda kesi ya uhaini dhidi ya Serikali kandamizi?

    Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake. Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani. Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
  18. Nadhani watu wanashindwa kuelewa kutofautisha nchi ya Tanzania na serikali

    Just because nchi yetu inaongozwa na wahuni hatuna sababu ya kuichukia. Tanzania ni kubwa kuliko serikali, serikali ni ya mpito lakini Tanzania itaendelea kuwepo. Na usisahau this is the land that gave birth to you, you have to honor it Msichanganye hivi vitu. Usiichukie nchi yako kwa sababu ya...
  19. S

    Wachochezi hapa ni serikali na majaji; ni vipi umshitaki mtu kwa kosa la uhaini kisha umuhukumu kwa kosa la uchochezi?

    Nashangaa sana kwamba Tanzania imefikia mahali hapa ambapo hata majaji ambao wanapaswa kuheshimika sana katika jamii, wanaonyesha wazi kwamba wanafanya mambo kwa maelekezo ya serikali. Lissu kashitakiwa kwa kosa la uhaini Lissu kanyimwa dhamana kwa sababu kashitakiwa kwa kosa la uhaini Lissu...
  20. L

    TETESI: Baadhi ya Viongozi Wa Dini Wamefura hasira Baada ya hukumu ya Lissu. Kanisa Kutumika Kinyemel Kuishambulia Serikali na Rais Kwa Matamko Makali

    Ndugu zangu Watanzania, Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu. Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…