sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ni misiba ya watu maarufu iliyonihuzunisha sana

    Ingawa vifo humhuzunisha yeyote ila vinapishana viwango vya huzuni. Kwa mfano huzuni ya kufiwa na mama haiwezi kuwa sawa na huzuni ya kufiwa na girlfriend. Sasa hawa nitakaowataja kwenye huu uzi walikuwa watu maarufu ambao sikuwa na ukaribu nao wowote ila vifo vyao vilinifanya nihuzunike kama...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wengi katika mitaa wanajifanya vichaa! Vichaa halisi ni wachache sana, wengi wanajifanya.

    Vichaa mitaani ni wachache mno, hawa wanaotembea na kuokota makopo, sijui kuomba msosi sio vichaa. Mtu mchana unamuana kichaa, lakini usiku alishakula na kushiba anapiga story hadi unashangaa. Wengine usiku wanageuka kuwa wapiga roba za mbao! Chunga sana!
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania wana upendo sana isipokuwa wachawi wachache wa JF, TUKAPIGE KURA JAMANI

  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko kuhusu huduma kwa wagonjwa wanaotumia bima ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

    Kwa kuzingatia juhudi za Serikali za kuhamasisha mpango wa huduma ya afya kwa wote, ninajiuliza kuhusu hali inayoendelea katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, hususan namna wagonjwa wanaotumia bima ya afya wanavyohudumiwa. Kuna siku nilimpeleka mgonjwa wangu aliyekuwa na jeraha...
  5. JamiiForums Tanzania Avatar za hawa member zinakera na kuchekesha sana .

    Mzuka wana jamvi 1. loose Nut 2 .@secretarybird
  6. JamiiForums Tanzania Ni kifo cha Mhusika gani wa kwenye Movie au Series kilikuumiza sana?

    Kwa mliongalia IRIS ya kwanza kuna yule character alikuwa anaitwa Kim Hyeonjun Miezi mitatu baada ya kumwokoa Rais wa Korea Kusini kwenye mkutano mkuu na kuacha kazi katika Shirika la Usalama wa Taifa (NSS) ili kuanza maisha ya kawaida, Hyeon-jun alikuwa kwenye gari akielekea kukutana na...
  7. JamiiForums Tanzania Kwasasa Tanzania imezikamata vizuri sana na kuziteka kabisa siasa za kimataifa.

    Mabunge ya ulimwenguni mzima yapo Tanzania, lakini pia viongozi wakuu wa kitaifa wa serikali sikivu ya CCM, kwa kipindi hiki, karibu wote wamesambaa kote ulimwenguni katika kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na kutafuta fursa za kiuchumi, kisiasa na kijamii kwa maslahi mapana ya waTanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Mdada wa kazi ana dimpoz na tacle la maana

    Wakuu nimepata mdada mnyamwezi wa Tabora nimegundua nahitaji ujasiri wa hali ya juu kuepuka hiki kishawishi. Mtoto anaumbo tamu na viji dimpoz kiuno chembambaaa. Nawatakia kazi njema.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ni wanaume wachache sana, kama wapo anyway, wenye hela ambao siyo WOMANIZER , tena notorious WOMANIZER

    This is my casual observation. Uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 50 ya kuwa duniani, umenithibitishia hivyo. Wewe unasemaje?
  10. JamiiForums Tanzania Asili ya binadamu haijifichi. Harmonize kafanana sana na Mkapa.

  11. JamiiForums Tanzania Amid wimbi la visasi katika mahusiano una mshauari nini binti au kijana wa kiume ambaye bado mbichi au anataka kuingia mahusiano yaliyo serious?

    welcome.
  12. JamiiForums Tanzania kwanini ni rahisi sana kuwatapeli watanzania?

    nimekaa nimefikiria sana kwanini wabongo wanapigwa sana lakini bado tu hawachoki kupigwa yaani anatoka huyu anapiga hela anakuja mwingine anawapiga hela yani ni muendelezo tu, alikuwepo mr kuku, Jatu, forever living, n.k yani ni mwendo wa kupigwa tu, je ni uvivu au elimu? hapana maprofesa nao...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali ongozeni kidigitali Kuna mambo ukisikia bado yanafanywa yanashangaza sana

    Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama; 1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati 2. Wanafunzi kukimbia mchakamchaka na kuimba nyimbo za kambona na idd amini 3. Siku ya wafanyakazi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Watu wa Afrika ya magharibi na ya kati wanaishi kwenye umasikini mkubwa na wako nyuma ya muda sana.

    Nimebahatika kuona maisha ya nchi mbali mbali za afrika ila niseme wazi nchi nyingi za kusini mwa afrika kuanzia kenya, Uganda na Tanzania kushuka chini mpaka south africa wana maisha mazuri ukiondoa malawi kidogo. ila balaa lipo nchi za afrika ya kati na magharibi. Nchi kama Cameroon ni nchi...
  15. JamiiForums Tanzania Nikiwa sina hela kila kitu nakiona kero na nakuwa na hasira sana

    Kuna hali huwa inanishangaza mwenyewe, nikiishiwa hela huwa nakuwa na hasira hasira tu za hapa na pale na pia kila kitu nakiona kero. Sitamani kufanya vitu ambavyo naona kabisa havitanipatia hela, au mtu kuniuliza maswali ambayo hayana mchango wa mimi kupata hela naona kero tu. Kuna wakati...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wababa na Wamama wa Kimachame mnachangia sana kuvunja ndoa za mabinti zenu kwa tamaa za mali

    Habari zenu, Kwanini kila siku mlaumiwe nyinyi tu wamama wa kimachame kwa kuhusika na vifo vya waume zenu??? Wababa wa kimachame wekeni utaratibu wa kurithisha mali mabinti zenu, sio mnawapa watoto wa kiume peke yao. Nyie kina baba huwa mna tabia ya kuwambia mabinti zenu kuwa kwenu hakuna...
  17. JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Mzee Magufuli alikuwa mtu mwema sana.

    Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama. Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi. " Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini"...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Kuingia Madarakani Vijana wengi sana wangeacha kwenda vyuo Vikuu na wengine Wangekuwa wanaishia kidato cha 4 Tu. Tunamshukuru Mama

    Ndugu zangu Watanzania, Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa Rais Samia ametoa ajira nyingi sana katika historia ya Taifa letu ndani ya kipindi kifupi cha Uongozi wake. Ni ukweli ulio wa wazi kabisa Kuwa Rais wetu Mpendwa kainua Matumaini ya vijana wengi sana kupenda shule na kuendelea na masomo...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara. Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi. Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na...
  20. JamiiForums Tanzania PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…