sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu wa sasa vitu 2 tunafeli sana

    1. Mpira 2. Uchawa Mpira Utamkuta muislam anatumia mali yake na muda wake mwingi ktk kuendeleza mpira badala ya kutumia muda huo ktk kuendeleza maskini, Maya timamu, kusaidia walimu wa madrasa 2. Uchawa Utamkuta muislam anasema maneno ambayo anajua ni kosa ktk dini Kwa mfano utamsikia kijana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kazi ninazozipenda ijapokuwa kipato chake ni kidogo sana

    1. Msoma adhana 2. Mwalim wa madrasa Hizi kazi 2 kwangu ndio zenye thamani zaidi kuliko siasa, bank, UNO, TTCL, VODA, Instructor, lecturer na nyengine nyingi. Ingawa mimi sio msoma adhana au mwalim wa madrasa lkn kazi hizi naona zinafaida kubwa hapa duniani na akhera kama utazitumikia kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Tumuombee Uzima na Usalama Rais Samia ili aweze kumaliza ngwe yake. Hili ni la muhimu sana kwa nyakati kama hizi

    Kwa miaka 10 sasa taifa limepitia magumu snaa , ni baada ya nchi kuingia kwenye mikono ya wahuni bila ya kujua madhara ya wanachokifa. Wazee wote wa maana waliokuwa wanaweza kuileta nchi pamoja hawakuwepo tena , matokeo yake nchu ikaingia kwenye ombwi litakaloendelea kuacha makovu ya miaka...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Bwana mdogo Mohamed Hussen jana alikuwa na hali gani baada ya kipigo? Yule dogo anakeraga sana.

    Huyu bwana mdogo huwa anajitahidi sana kuhakikisha simba inafeli, waliokaribu naye waseme yupoje kwa sasa?
  5. JamiiForums Tanzania Haka kampango kanawafaa sana wastaafu na watu wanaojitambua.

    Leta maoni yenu
  6. JamiiForums Tanzania Kumbe jina HAWA maana yake ni Mama, leo nimesoma Biblia kwa tafakari ya kina sana

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna kusoma biblia na Kuna kuielewa biblia, leo biblia nimeielewa kabisa Kumbe HAWA maana yake ni MAMA mwanzo 3:20 Maandiko hayo yanasema adam akamwita mkewe hawa maana ni mama wa wote walio hai Tuendelee kusoma maandiko kila tupatapo...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 October 29 wengine tulilia sana na tunalia hadi leo! Sasa ni zamu yenu na bado hadi mtakoma!

    Asakri wakilia wakati wakiaga milii ya wenzao watatu tayari kwa kwenda kuzikwa.
  8. JamiiForums Tanzania Sala za kale zinazopaswa kutumiwa kwa makini sana

    1. Ili kujikomboa kutoka kwenye mahusiano yaliyojaa ugomvi mtupu..! funga fundo gumu kwenye uzi mweusi, ushikilie juu ya mshumaa uliowashwa na useme maneno haya "Kifungo kilichogeuka kuwa ugomvi, ninakutegua. Kilichokuwa chetu ninakirudisha kwenye upepo, kilicho changu kinabaki nami. Ikiwa...
  9. JamiiForums Tanzania BASATA fanyeni kazi yenu kwa Miss Grand. Kajianika sana

    Huko kwa Miss Grand, walijianika sana, uchi uchi. Basata mko kimya, au mwisho bongo land tu?
  10. JamiiForums Tanzania Tokea nichukue maamuzi haya, kwa sasa Nina amani sana na utulivu

    Baada ya kuona maisha ya kuishi kwa chuki na kuwachukia ccm na viongozi hayana tija, tangu nianze kuunga mkono juhudi za chama cha ccm nimekua mtu wa amani sana, hata sura imezidi kua na Nuru, kumbe kua na chuki na viongozi bila sababu ni sumu mbaya sana. Sikilizeni vijana, acheni kufuata...
  11. JamiiForums Tanzania Nimeshangaa sana! Kumbe na Polisi wakifiwa Wanalia! 🤔

    Salaam Wakuu, Najua hakuna ambaye amesahau mauaji ya 29.10.2025. Watoto wetu waliuawa kama nzi. Mawazo yangu nikawaza labda polisi hawafiwi wala hawaumii mtu akif kutokana na mafunzo wanayopewa ya kuua. Nimeshangaa kuona Polisi wanalia wakati wa kuaga miili ya wenzao? Hivi ni kweli walikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu member huwaga ananshangaza sana

    Kuna huyu member kwenye huu uzi hapa chini analalamikia kwamba TMA kila siku wanakuja na mambo yaleyale uzi huu hapo chinj https://www.jamiiforums.com/threads/utabiri-wa-tma-kila-siku-ni-huu.2481130/ Kuna uzi nilisema tuwe na satellite kama nchi na itasaidia kwenye mambo mengi sana ikiwemo...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwekezaji anafanya ubaguzi wa wazi wazi kwa wafanyakazi wazawa Wilaya ya Musoma

    Kuna Mkabulu anaitwa JP La Grange ni raia wa South Africa na ni Workshop Manager Kwenye Kampuni ya Maendeleo Technologies Limited inayofanya kazi kwenye Mgodi wa POLYGOLD CO. LTD unaopatikana Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara, Kijiji cha Seka, Kata ya Nyamrandirira. Huyu mzungu ubaguzi anaofanya...
  14. JamiiForums Tanzania Madikteta na wafalme huwa na sera nzuri sana za kiuchumi.

    Madikteta au wafalme huwa wana akili moja inayowafanya wawe wazuri sana kwenye uchumi. Wao wakiona kitu fulani kinawaingizia pesa za kutosha, au sehemu fulani inaingiza pesa za kutosha basi akili na nguvu zao zote wanaelekeza huko. Mfano kama sehemu kunatoa dhahabu zinazowapa utajiri basi...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera sana raisi Samia kwa kutuletea huu ushindi

    Kwa hakika Tanzania imetikisa Dunia, taji la miss Grand sio dogo, bila juhudi za serikali yetu tukufu tusingeweza kufanikisha hili, niwashukuru kwa dhati watu maarufu, niffer, malisa_gj na wengine kwa kufanikisha hili jambo kwa kueleza wananchi namna ya kupiga kura. Ni wakati wa mataifa kuona...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu na Heche walipokuwa wakiomba kuwa viongozi wa CHADEMA Taifa, walidai Katiba ya CHADEMA ni mbovu sana wataibadilisha. Je, wamebadili nini?

    Au baada ya kupata uongozi ambao walioupata kwa hila, ghiliba na kutweza utu wa wengine, je, katiba hiyo waliyoiita mbovu sana ya chadema, sasa imekua nzuri, haina matatizo na sio mbovu tena na haihitaji marekebisho? Na mbona hakuna hata siku moja tangu hawa majamaa waropokaji wamekua viongozi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania KERO KERO ZA USAFIRI: Umekumbana na kero gani kwenye harakati za usafiri?

    Wakuu, Usafiri wa umma una vimbwanga yake, unaweza kukutana na jambo mpaka ukatamani ungekuwa na gari lako ili usikutane na masaibu hayo! Mabasi machafu, wazee wa kubadili ruti na kusema magari hayaendi hasa kukiwa na watu wengi kituoni ni baadhi ya kero nilizokutana nazo kwenye usafiri huu wa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Mahubiri na Matangazo ndani ya Mabasi ya Mikoani

    Ninawasilisha kero kuhusu watu wanaotoa mahubiri au kutangaza bidhaa zao ndani ya mabasi ya mikoani. Kwa kweli, jambo hili limekuwa kero kwa abiria wengi wanaohitaji kusafiri kwa utulivu. Safari ni muda wa abiria kupumzika, lakini si kila mtu anayekuwa safarini yuko katika hali ya kusikiliza...
  19. JamiiForums Tanzania Katika Awamu ya 6, Sekta ya Ujenzi kwa makampuni ya wazawa imehujumiwa sana. Makampuni mengi yanaelekea kufa

    Sekta ya Ujenzi ndio inaajiri watu wengi sana katika uchumi, kutoka waliosoma hadi kwa vibarua na kinamama Lishe. Sekta hii kwa sasa ina thamani ya Trilioni 6 katika uchumi wa nchi, ikiwa ni 13% ya uzalishaji wote nchini(GDP). Cha kusikitisha katika miaka ya karibuni, sekta hii haina usimamizi...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania tuna upendo sana, lakini tunaowaonesha upendo hawatujali

    Wakuu Nathibitisha kauli hii kwa kiangalia kinachoendelea kwa missgland Tunaonesha ushirikiano na upendo wa hali ya juu sana lakin bahati mbaya hawa mastaa tunaowaonesha upendo tukipata shida hawasimami kabisa na sisi,timu za mpira tunazozichangia mpk faini tukipata matatizo hawasimami kabsa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…