The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi!
Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo kutoonyesha vitambi vyao.
Huu ni ubunifu mzuri sana wa serikali. Funika kombe.
Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu.
Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano.
Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
Anonymous
Thread
afya
huduma
kazini
rasmi
sana
utaratibu
watumishi
wizara
wizara ya afya
Kaa wewe umeshajipata katika sekta yako mfundishe mtoto wako apaye skillz za kufanya illusion na mazingaumbwe.
Kisha anaanza kutembea shule baada ya shule baada ya shule. kiingilio 500, sekondari buku anaenda ku perform mazingaumbwe
Hapo atakua anatengeneza hela nyingi sana kwa performance...
Wakuu Nina ndoa ya miaka 10 wife ana sumbua sana anataka tuachane sababu siijui amekubali na dharau sana anafai nimpe nauli arudi kwao hanitaki tena.
Tumezaa watoto watatu tunaishi Mwanza, yeye kwao ni Mbeya na mimi kwetu Singida. Nipeni ushauri wakuu.
Tumejenga nyumba moja na biashara ya duka
Bado nina malalamiko dhidi ya Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya. Kutokana na ucheleweshaji wa utoaji wa pasipoti, hatimaye nimeshindwa kufanya safari yangu iliyokuwa imepangwa kwa mwaka huu wa 2026.
Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba, pamoja na kufuatilia mara kwa mara, sijapewa maelezo ya...
Anonymous
Thread
mbeya
passport
safari
safari yangu
sana
uchungu
uhamiaji
yangu
Nimefanya utafiti wa kina nimegundua Iran, Wafuasi wa Iran, Palestine na wote wenye mrengo huo Wanamuogopa Sana Netanyahu.
Mbona namuona mtu wa kawaida sana? Hiyo hofu yenu na kumuogopa inatokea wapi?
Huwa nasomaga page za huko Twitter, Instagram ikiwekwa habari ya Netanyahu utaoma wenye...
Kuna muda najiuliza kuwa hii App mliiweka ya kazi ipi hasa
Tangu asubuhi Mtu wa miamala anashindwa kuhudumia wateja kwa kutumia Simbanking kisa huduma haipatikani
Mara hii nimejaribu kununua
umeme kwa mara 4 zote sipati majibu yeyote
Mlituwekea huduma hii ya kazi gani?
Mnakera sana ninyi.
Hii ni missed target. Hakuna bahati mbaya.
Alilengwa mtu akidhaniwa labda amebadilishana chumba na dereva wake kwa ajili ya tahadhali kama mbinu za kiusalama! Target ikawa missed!
Mpeni ulinzi makamu mwenyekiti hata watu 20 all time..Kama kumuua waue na watu Hao 20.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche.
Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili...
Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na ukipata basi Kodi itakua ni kubwa, au utahitajika kumuondoa mtu, ulipe wanaita kiremba, kwahiyo mtaji...
Ukishaona hali ya usalama haiaminiki ni kuchukua hatua za dharura, haraka na za maksudi.
Usingoje wala kupuuzia. Fanyia kazi hisia zako na kuonywa na watu kama britanicca anavyotoaga alert humu siyo kupuuzia.
Dereva wa Lissu alijionea kifo kwa macho na akachukuwa tahadhari.
Hata boss wetu...
Nakuunga juhudi zako lakini anza na uchafu barabarani kwanza ,tengeneza mitaro,na sehemu za kutupa taka.
Unakuta mji mzima asubuhi umesheheni makohozi tu hata kwa kukanyaga hakuna inakulazimu uruke makohozi kama madimbwi ya maji
makohozi mengine unakuta yamechanganyika na ugoro
Weka sheria...
Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni.
Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya.
Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya...
Hii ni hoja yangu tu si lazima kila mtu akubaliane nayo.naamini kuna dalili ambazo zinaweza kuonyesha moyo wa mtu unavutwa zaidi kumtafuta Mungu.
Ya kwanza ni pale unapokuwa peke yako hasa usiku. Unaweza ukawa unatembea au ukaamka ghafla bila hata kukusudia ukautazama mwezi bila sababu ukaanza...
Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani
Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani.
Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane.
Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto .
Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima
Lakini leo...
Uu, sio udini jamani narudia tena sio udini wakatoliki tunashambiliwa mno na tupo kimnya,
Faza kitima alishambuliwa hatukuchukua HATUA na mpaka Leo hakuna TAARIFA yoyote iliyotolewa dhidi shambulio ilo sio jeshi la polisi, sio uchunguzi wa kanisa sio uchunguzi wa chombo chochote ili maana yake...