The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Baadhi ya watu wanadhani fursa za huu utalii tena wa mikoa mingine unatakiwa kunufaisha kwao tu
Ni vita kubwa sana hii, kwa sasa tunasikia milio kila muda panaposikika habari za ujenzi wa uwanja na imeonyesha haijaanza leo bali ni ya muda mrefu sana kupiga sabotage uwanja huu, ila kwa sasa...
arusha
biashara
habari
hawapendi
hawataki
kelele
kiwanja
kufanya
kujengwa
kuona
kusikia
maeneo
maslahi
miaka
namna
ndugu
sababu
sababu za
sabotage
sana
serengeti
ubinafsi
ujenzi
ujenzi wa uwanja
uwanja
wabinafsi
wabunge
wanaopinga
wao
zao
Hii nchi ngumu sana!
Tanganyika ukitaka kuiona basi ni hapo TAMISEMI - ila sasa tumeletewa DC huyu Mohamed Hasan Moyo ambaye kwa mujibu wa taarifa ni mzanzibari!
Isitoshe kumbe ni baba watoto wa Wanu na ndo mume wa kwanza - Mchengerwa ni mume namba mbili! Yaani mmekosa nchi nzima mtu wa kumweka...
Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
Kuna mambo nilijua nimeona na kusikia mengi ila hili alilolileata britanicca kwenye uzi wake wa episode 1 mambo yanayotokea huko ughaibun limenizuhuzunisha na kuona hela zinachukua nafasi ya ubinadamu.
"Ntaendelea na kisa cha Mtanzania aliyeambukiwa online kufika anaambiwa wamnyee mdomoni na...
Kwa wale mliofanikiwa kuongea na wazee wa Ki-zanzibar walioishi chini ya Utawala wa Sultan wanauzungumziaje huo utawala?
Nikiitazama Oman nahisi inawezekana tumelishwa matangopori sana kuhusu utawala wa Waarabu wa Oman wa Kisultani huko Zanzibar kwa sababu hata maendeleo chini ya Sultan...
Mfano, pombe imekuwa sehemu ya tamaduni nyingi duniani kwa muda mrefu na ilikuwepo kwa sababu zake mbalimbali.
Sehemu za kukutana na kunywa pombe mara nyingi huwa maeneo ya watu kujumuika, kupunguza mawazo, na kupata kampani. Hata kama huna marafiki wa karibu, ni vigumu kujisikia mpweke ukiwa...
Nini kimetokea kuanzia JamiiForum, Facebook, Twitter na Instagram raia wengi wa Tanzania hasa vijana wanaposti visa au story nyingi mbalimbali za matukio ya uongo tu ya kutunga ya mahusiano, ndoa, uchawi n.k ?
Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana. Yaani unakuta ukifeli wanakuambia uwalipe kuanzia laki kwa somo ili wakusafishie na wakuwekee grade...
Anonymous
Thread
chuoni
lecturer
rushwa
sana
tabia
ucc
udsm
wengine
CHADEMA NA SWALI LA MCHANGO WAKE KATIKA MAENDELEO YA TAIFA: MTIZAMO WA KIKOSOAJI
===
Katika mfumo wa vyama vingi vya siasa, kila chama hupimwa kwa uwezo wake wa kutoa mchango chanya katika maendeleo ya taifa, iwe kupitia sera, ushawishi wa kisera, ushiriki katika taasisi za kidemokrasia au...
MAANDIKO YANASEMA...TUTAWAGUNDUA KWA VINYWA NA MATENDO YAO.
Natamani iwe kama Usajili ili tusajili Wabunge hawa wawe ndani ya Bunge letu na taasisi zenye dhamana ya kulinda Utu na Uhai wetu. Taifa letu lilisifika kama nchi ya Mstari wa Mbele katika ukombozi wa Afrika tukihubiri haki na uhuru wa...
Habarini za Leo waungwana wa jamii Forum.
Mimi ni daktari mtarajiwa wa Mifugo ninayeishi dar es salaam pande za Mbezi mwisho naipenda Sana hii kazi na ndio maana huwa naifanya Kwa uaminifu wote chini ya madaktari washauri wangu.
Lililonileta hapa Leo baada ya miaka mitatu kukatika ni juu ya...
Nahisi nitakua nina tatizo la phonophobia.
Ninachukia sana sauti sana sana wakati wa asubuhi na nyakati za usiku yaan sipendi kabisa makelele mida hio.
Napenda sana sehemu yenye ukimya.
Napenda sana utulivu na kukaa sehemu iliyotulia muda mwingi nikiwa mwenyewe.
Sauti pekee inayonipa furaha...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali itaendelea kusimamia utekelezaji wa Sheria dhidi ya vitendo vyote vinavyokiuka maadili, mila na desturi za Kitanzania, ikiwemo biashara ya ukahaba na makosa mengine yanayohusiana na maadili ya Jamii.
Akijibu swali la Mbunge...
Aiseeee .... Kunatisha watu wamejaa sana viwanjani. Kombe limevutia sana. Tulisema halitakuwa na watu lakini tumeona hali ilivyo huko USA, Canada na Mexico.
Hongera zao kwa kweli.
Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza
Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
Hivi Trump ni wa kuikosoa Israel waziwazi bila kupepesa macho!?
Trump ni mtu wa kufanya makubaliano ya amani na Iran bila kuihusisha Israel?
Kwanini Trump amebadilika hivi?
Eti jamani!???
Hivi Trump leo hii amekuwa mtu wa kutamka hadharani kwamba bila yeye Israel ingekuwa imefutwa kwenye uso wa...
Zile drama za kitoto tumezoea michezoni hazipo tena. Watu kujitia kuumia, kipa kuleta mbwembwe na mambo ya kuchelewa kurusha mipira hatujayaona WC hii. Sema wameokoa muda kisha wakaongeza mapumziko yao ya maji wapige hela!!
Hizi sheria zije huku Afrika. zitatusaidia sana.
Watu wa Arusha tunawatambua hawa watu wawili kwa CV zao za mambo meusi. Wote wanalalamikiwa na wengi kama watu wasio na mienendo inayofaa. Monaban katajwa mara nyingi kwenye migogoro ya viwanja. Anatuhumiwa kudhulumu. Huku Mojaa naye akitajwa kama jambazi mstaafu.
Sasa hapa kesi iliyopo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.