The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Watu wa Arusha tunawatambua hawa watu wawili kwa CV zao za mambo meusi. Wote wanalalamikiwa na wengi kama watu wasio na mienendo inayofaa. Monaban katajwa mara nyingi kwenye migogoro ya viwanja. Anatuhumiwa kudhulumu. Huku Mojaa naye akitajwa kama jambazi mstaafu.
Sasa hapa kesi iliyopo ni...
Matumizi ya nguvu kupita kiasi mwisho wake ni KUUA WATU KAMA 29.10.2026.
BADO HAMJAJUTA!
HATA MKIWA KABURINI MTAWAJIBIKA!
Soma Pia: RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea
Brazil waliingia mkenge kwa kuachana na staili ya soka lao la samba lenye burudani ya kufa mtu, linalowekeza kwenye vipaji na wakaiga soka la ulaya linalo-base kwenye mpira wa kibiashara zaidi kuliko burudani!!
Tusahau kuibuka na kuendelezwa kwa vipaji kama Pele, Maradona, Ronaldo og...
Napendekeza pasiwepo na huruma, aibu wala kumuonea haya yeyote yule atakae thubutu au kujitia kimbelembele kujaribu kuvuruga amani au kutatiza shughuli za uzalishaji za waTanzania kote nchini.
Natoa wito kwa wanausalama mahiri kote nchini, kutomchekea muandamanaji haramu yeyote yule kote...
Hata mimi ni binadamu na nna moyo wa nyama nyama. 😫😫
Kusema ukweli ndiye mrembo niliyewahi kumuelewa baada ya kuicheki filamu moja inaitwa DOA(Dead or Alive) ya mwaka 2006.
Nadhani Kuna filamu ya jet li nimesahau jina yumo huyu mrembo...dah sema ndio hivyo🥹🥹💔💔💔.
Binti wa zamani utatia neno...
jamaa zangu mara nyingi huwa wananiambia "Chidy unapenda sana chini we jamaa" kwa kweli siwakatalii mimi napenda sana chini na huko kumenisaidia katika mambo mengi sana kwa kuwa nilipoanza kuwa napenda chini nikagundua ukipawezea huko chini kuna utajiri mwingi sana sema watu hawajui tu au...
Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi.
Wanafunzi walioshtakiwa ~...
Pamoja na mifumo sasa ni wazi kabisa maono ya serikali fake ya Tanzania na Watanzania wenyewe ni tofauti sana
Serikali bado inataka mfumo wa kizamani lakini Watanzania wamebadilika na mfumo mzima hauendani kabisa na matakwa ya watanzania. Ushahidi ni katiba . Watanzania wanataka katiba mpya...
Kwanza kabisa niseme kuwa hayo niliyoandika hapo chini ni summary kwa mujibu wa yale ambayo Mungu anawaonyesha watu wake katika ulimwengu wa roho na kwa hiyo sifa heshima utukufu arudishiwe Mungu na si mwanadamu awaye yeyote yule. Ni upendo mkubwa sana wa Mungu kuwa hutujulisha wanadamu yale...
Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu.
Hapo ni kenya.
Sikatai na wala sipingi kuwa CCM ipo madarakani sababu ya kuwa vyombo vya dola vimeikumbatia.
Lakini nguvu ya umma ni zaidi ya bunduki na vifaru.
Heche na Lissu wamekiheshumisha chama chao. Kwanza kwa kuwa na msimamo wa kutonunulika.
Sasa kwa Chama ambacho kina viongozi kama Kihongosi na Ally...
kama unataka kuondoa kitambi tazama hii
TikTok - Make Your Day This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
https://vt.tiktok.com/ZSQx73YMp/
Huenda hawakujua kwamba wanajiandalia mateso makali na mahangaiko yasiyo na faida wanayopitia hivi sasa kisiasa.
Halafu mbaya zaidi,
nonsense ya No reform No elections ndio inawaathiri na kuwamaliza vibaya zaidi kisaikolojia. Yaani moja haikai, mbili haikai kwao. Ni full mihemko na makasiriko...
Hlw
Nipo nae tangia mwaka juzi, nilimtongoza akanikubalia nikaanza kuhudumiana naye kama girlfriend wangu na alinambia yupo chini ya uangalizi na wazazi wake so alikuwa akiishi kwao
Nikimuhitaji nampata na tunakesha kesho yake anarudi kwao
Jana nampigia simu anapokea jamaa yake huku analia na...
Mzuka wana jamvi ?
Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo
1. Ghayo de Nyangwisi
2. Ghayo de Nyambumbu
3...
Yani kuna wakati najisikia niringe au nijivune kwa attention ninayopata, lkn kuna wakati naona kama mwisho wa hili hautakua mwema. nimekua nikitongozwa sana tangu nianze kazi, na wengine ni watu lazima nikutane nao kila siku na wengine wamenizidi cheo.
Kwa sasa na kipato cha uhakika nimezidi...
Hamjambo
Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote
Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea
Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu
Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.