The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana.
Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
Yule Zuwena Wa Jana Sio Wa Leo Tena,Yule Zuwena Mpole,Mnyenyekevu na Muungwana Si Huyo Tena,
Kawa Kiburi,Mjivuni Na Asiejali Lolote tena.
Ama Kweli Muda Ni Kamera Sahihi Ya kutoa Taswira Halisi Ya Tabia Mtu.
Nimewasili sabasaba kushuhudia maonesho haya nikidhani labda njiani ningepata vikwazo lakini hakuna kikwazo chochote,ni kweli askari wapo wengi sana,lakini hawana shida na mtu yeyote yule,
---TUTOKE TWENDENI HALI NI SHWARI SANA SANA ---
Sasahivi mikoa yote inavumbi sasa moja ya mambo ninayoyachukia ni vumbi kuna mda najiuliza inakuaje nchi zilizoendelea wamefanikiwa kupiga pavement sehemu kubwa sana ya nchi zao sisi tunahindwa nini
Mfano hata maeneo yale ya mjini tumeshindwa kuondoa vumbi ni jambo ambalo linashangaza sana
Na...
Kuna mdada mrembo sana ukimuangalia si tukakubaliana nimpe jiwe 5 kwa nusu saa, nikamfuata kwake sehemu sitaitaja Ana shepu nzuri ni maarufu hapa dar !
Nikafika Kwake tutashughulika ila alikuwa ananuka alivyotanua nikajiuliza katoa mimba au nini? Kuchek ana kucha ndefu itakuwa hajisafishi vema...
Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja kuwa ulikubaliwa na vitendo vya ukatili vilivyosababisha vifo vya raia wasio na hatia.
Akizungumza...
Wanawake wana 100 miles tricks na wala hupaswi kuwahurumia hataa kidogo. Kuna tabia za wanawakee kuwapangia waume zao ratiba ya kuichapa. Mwanaume stuka the moment ukiwa na hamu yeye tayari ameshajimaliza huko kwa Boda wake. Usikubali mwanamke akudrive broo. Wee ichape muda wowote na...
Kama kawaida Leo tena British GP imetawaliwa sana na Waingereza. P1 ingawa imechukuliwa na mtoto wa Monaco ila Waingereza wamefanya vizuri sana.
Ingawa bado game mwanzo, tushashuhudia 8 GP bado 14 tu tukamilishe mwaka. Matokeo bado yanamfeva Kimi wa Mercedes.
Dogo ataweza kuhold moto?
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limesema kuwa majukumu ya ulinzi na usalama wa rai na mali zao ni jukumu lao na sio kikundi cha watu
Akizungumza wakati akihojiwa Jambo Tv, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP Gallus Hyera amesema kuwa kama watu wanazo taarifa zinazoashiria uvunjivu wa amani ni...
Kuna kitu nimekishuhudia weekend hii ngoja nisimulie hapa labda mtajifunza hasa wazazi.
Ijumaa nilikua chimbo moja nimekaa peke yangu natafakari ugumu wa maisha na harakati zake huku nasubiri mdada ambae tulikua na miadi nae, ni aina ya wale mabinti dishi limeyumba ila wazuri balaa, dkk 1...
Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA".
This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen.
Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria.
Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara haikufanikiwa kama nilivyotarajia, na baadaye nikapatwa na majanga yaliyoteketeza hata mtaji uliokuwa...
"Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga.
Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo...
Nlikutana naye Supermarket moja inaitwa T&T ana makalio yanaonekana ingawa kavaa baibui. Sasa ikawa kila nikizunguka nakutana naye. Kama mara 3 hivi.
Mwishowe akaja niuliza kama kitu flani nmewahi kutumia ni kizuri. Nikamwambia ni kizuri nmewahi tumia na ni halal kwake. Akacheka na kushukuru...
Yanga ni Bingwa tena. Lakini sioni kama watu wana furaha. Watu hawana furaha. Wana unyonge na wamepoa sana.
Sielewi tatizo ni nini ndugu zanguni wana Jangwani. Kuna nini hakipo sawa? Hebu tufurahieni tuwaoneshe hawa Mikia kuwa kombe tunalo na tunatamba nalo. Tuacheni unyonge.
Ni kama...
Kuna tabia imeenea siku hizi ya watu kujiona wanajua kila kitu.
Ukweli ni kwamba hakuna anayejitosheleza kwa maarifa au ujuzi.
Unaweza ukawa bingwa wa hesabu kiasi cha kutatua milinganyo migumu kwa dakika chache, lakini kuna kijana ambaye hajafika chuo anapiga solo la gitaa mpaka ukabaki...
Nimecheka sana, baada ya kusikia sababu za polisi kubadilishiwa uniform toka zile za zamani. Kumbe sababu ilikuwa kuficha vitambi!
Hizi za sasa mashati sio yale ya kuchomekea, na hivyo kutoonyesha vitambi vyao.
Huu ni ubunifu mzuri sana wa serikali. Funika kombe.
Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu.
Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano.
Je, ndio utaratibu rasmi wa Wizara ya Afya?
Anonymous
Thread
afya
huduma
kazini
rasmi
sana
utaratibu
watumishi
wizara
wizara ya afya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.