sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Mwana FA angeendelea fujo ingetokea ni bora alisitisha, tujitafakari sana

    Nimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo
  2. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nyimbo ya Oya Mr. Dj Nipoze Moyo Dj naisikia sikia inapigwa sana muda huu kaimba nani?

    Anasema, Hapo kwa juu kwa moyo panakwangua Kwenye ubongo kuna ka -kitu kanasugua Haki ya Mungu lile likenge lingeniua Si angesema ka -anauza ningenunua Oya Mr. Dj Nipoze moyo Dj Ongeza sauti Dj Nitakutunza Dj Hii nyimbo kaimba nani wakuu? maana naisikia kwa mbali kweli Naomba kufahamu jina...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ngoma ya AliKiba mac muga ilikua na video iliyokua mbele ya muda sana

    Kuelekea miaka 30 ya bongo fleva kuna baadhi ya ngoma zilikua mbele ya muda sana ukiachana na ngoma ya alikiba mapenzi yana run dunia ila video ya macmuga ilikua kali mno kwa kipindi hicho kwanza mandinga ya kwenye video yalikua hot 🔥 pia location director Ali fanya makubwa mnoo...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Kipekee sana Rais Samia anaweka alama nyingine ya maendeleo nchini kwa ujenzi wa shule 103 za Amali

    Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii. Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
  5. realMamy

    JamiiForums Tanzania Kama ungewahi ungepona...... Kama ungewahi ningekusaidia..... ni Moja kati ya maneno yanayoumiza sana

    Kuchelewa ni adui mkubwa wa mafanikio na afya. Watu wengi wameponzwa na kusema "baadaye". Nitaenda baadaye hospitali, baadaye nitaomba msaada, baadaye nitaomba, baadaye nitarekebisha mahusiano yangu. Lakini "baadaye" nyingi huwa haziji. Unapokutana na shida ndipo unakumbuka watu na fursa...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Nilipanda basi la usiku kulekea Bukoba, nikalala mapajani kwa mkaka, nilienjoy sana

    Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi "Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia. Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha sana. Mzazi anahangaika kusomesha mtoto na pia anahangaika kumpeleka Sober house

    Nasema hiki ndio kizazi cha hovyo kabisa kutokea tangu kupata uhuru. Wazazazi wanapaswa kuwa na bajeti ya kusomesha na bajeti ya kupeleka mtoto sober house Inasikitisha sana.
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  9. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Mzigo wa Kujua Ukweli wa Dunia

    Katika ulimwengu huu wenye siri na mambo machafu, omba Mungu sana kwako yasionekane. Omba Mungu uwe normal kama watu wengine, usiwe na uwezo wa kujua nini kiini cha maumivu, mateso, majivuno, chuki, na dhana potofu zinazo tawala huu ulimwengu. Haihitaji kusoma, ila tu ni mipango ya muumba...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni furaha ilioje jana watu weusi wameshinda. Nimelala kwa furaha sana

    Jana team yetu weusi imeshinda dhidi ya weupe. Kiukweli nliombea sana hilo litokee sababu sikupenda wale weupe wapate ushindi. Mbape, Dembele hawa asili yao ni huku huku kwetu nimefuatilia kumbe Kylian ni Mnyakyusa kabisa. KYLIAN MWAMBAPE na Dembele ni Mnyamwezi. Nikaona hawa ndo wenyewe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hawa madogo wanao endesha Sinoray kwa sifa mpaka mwaka huu unaisha tutakua tumefukia wengi sana

    Na huna cha kuwaambia wanajiona wameyapata maisha , hizo sinoray zilizoundwa kwa matembezi ya kawaida wao wanaziona kama XL za mashindano na michezo. Iwe foleni, mlimani, kivukoni, wao ni mwendo mdundo wakijisifu kwa kupangua gia Tukisema tufanya maisha yetu tuachane nao bado sio sawa, kuna...
  12. Stability

    JamiiForums Tanzania Aisee hivi majuzi bi mkubwa aliniokoa sana. Mama ni mama

  13. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Marekani Wanafanya Mashambulizi Makubwa ya Maangamizi Ndani ya Iran Muda Huu. Hali Inatisha Sana

    Mapema Leo Trump alisema usiku huu watafanya mashambulizi Makubwa ndani ya Iran. Kweli bwana muda huu Kuna mashambulizi Makubwa ya Maangamizi yanafanyika ndani ya Iran😭 Marekani wanapiga Kila upande, makombora Makubwa Makubwa ya tomahawk yanashushwa huko Iran. Hali ni mbaya sana. Je Ghalibaf na...
  14. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Ninaomba Rasmi niwe Mlinzi wa John Heche,Viongozi wa Chadema mkipata huu Ujumbe tafadhali sana naomba mumfikishie John Heche

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake...
  15. Red black

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaogopa kukagua simu ya mke/mpenzi wako?

    Usiogope kukagua simu ya mke/mpenzi wako kuna baadhi ya details za muhimu sana utazipata na utajishukuru sana.
  16. venchwa

    JamiiForums Tanzania Siku mkija gundua kwamba mapenzi si ya kuendekeza mtakuwa mmechelewa sana

    Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi, Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi Let say unapata 20,000$ monthly Kwanza kabisa tenga 1,000$ akiba dharula Invest . Kuwekeza Muhimu 5000$ Pili wazazi au walezi. 500$...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaaminika Sana Kwa Watu walio Mzunguka Ikulu na Kwa Wananchi na ndio Maana hakuna Uvujaji wa Siri Kwenda Kwa Wanaharakati Na wasaliti

    Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi. Ni Katika...
  18. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nitafurahi sana hawa wazungu wakitolewe na Morocco katika hatua ya robo fainali

    Katika michuano ya World Cup ni timu Moja ambayo sipendi kuona wakitwaa ubingwa. Hii timu si nyingine, bali hii yenye wazungu waliojipaka masizi. Timu nyingine tofauti na hiyo ikiwa bingwa freshi tu!
  19. venchwa

    JamiiForums Tanzania Kuna huyo sijui chizi maarifa mpuuzi sana

    Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi Nawala anayechukia achukie
  20. Mi mi

    JamiiForums Tanzania G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

    G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana. Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
Back
Top Bottom