rais

  1. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhojiwa sana huko Marekani inashusha hadhi yake kama Rais na hadhi yake kama Taifa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo. Au...
  2. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

    Kenya’s former President Mwai Kibaki is dead. The announcement was made on Friday morning by President Uhuru Kenyatta. “It is a sad day for us as a country. We have lost a great leader, the former president Mwai Kibaki,” President Kenyatta said in a news conference from State House. “I order...
  3. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amani DRC: Rais Uhuru aongoza viongozi wa EAC kutoa onyo kwa waasi

    Waasi waamrishwa waamue moja, kati ya makubaliano ya amani au watembezwe kichapo kutoka kwa jeshi la pamoja la EAC. ======== East African leaders on Thursday issued a warning to armed groups in the Democratic Republic of Congo, urging them to choose dialogue or be considered enemies of all...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Rais wa zamani wa Gabon (Omar Bongo) wafunguliwa mashitaka Ufaransa

    Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa. Watoto hao Grace, Betty, Arthur na Hermine Bongo, wote wakiwa na zaidi ya miaka 50 walifunguliwa mashitaka hayo...
  5. Replica

    JamiiForums Tanzania Tulimtaka Rais anayesafiri, amefika!

    Novemba 7, 2015 ikiwa ni siku mbili baada ya kuapishwa, aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli alipiga marufuku safari zote za nje ya nchi na kuelekeza zifanywe na mabalozi, baadae zikatengenezewa utaratibu wa kibali. Magufuli akajiweka mfano kwa kuamua kutulizana ndani, mara chache...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Prof. Hoseah: Mimi siyo Rais wa TLS mropokaji

    "....mimi siyo mtu wa kutaka sifa na vyeo. Kama ni cheo mimi ni mstaafu tena wa ngazi ya juu! "....vilevile mimi siyo aina ya Rais wa TLS wa kutaka kila kitu ninachokifanya nijioneshe nimefanya. Mimi siyo mropokaji kama wengine mlivyojaliwa (dongo kwa TL) na kupenda kujipendekeza." "....wakili...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na baba yake mzazi Rihanna katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022. Filamu hiyo...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

    Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo. Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa. Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani...
  9. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa Burundi naye pia aja Kenya kujadili usalama na amani DRC

    Muhimu tubuni mbinu za kuisaidia DRC ikumbutie amani. ====== Burundi's President Evariste Ndayishimiye arrived in Nairobi, Kenya, Thursday for the East African Heads of State meeting on peace and security in the region. According to a communique released by Burundi's State House (Ntare...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Royal Tour itampaisha Rais Samia na kuipaisha Tanzania kimataifa

    Wakosoaji wanasema zimetumika zaidi ya shilingi bilioni tano katika kuiandaa Royal Tour huko mbugani. Yameongewa mengi, mengine ni mbwembwe tu kama ile habari ya Samia kuendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15 siku alipomuendesha yule mzee wa kizungu kule mbugani. Mengine ni habari...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris apigwa marufuku kuingia Urusi

    Marufuku ya kuingia Nchini Urusi sasa itawajumuisha Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg pamoja na Maafisa, Wafanyabiashara na Wanahabari wengine 27 kutoka Taifa hilo Serikali ya Urusi imesema Watu hao wamezuiwa kuingia Nchini humo kwa muda...
  12. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais wa DRC arudi aja Kenya tena kujadili usalama wa nchi yake

    Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa. ======= DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city. He was last in Nairobi early this month for the signing of...
  13. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujulishwe shughuli zote anazozifanya Rais Samia huko Marekani

    Ombi langu moja tu asubuhi ya leo. Rais juzi amesema kuwa amekutana na wasanii wakubwa nchini marekani Watanzania hatukujua hilo, naamini anaendelea kukutana na wadau mbali mbali ila litakuwa kosa kubwa kuujenga utamaduni huu Rais wetu wa nchi kuwa anakutana na wadau gizani. Popote duniani huo...
  14. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais wa Nchi unapokaa muda mrefu kwenye Nchi ya Mtu mwingine unadharaulika

    Hata maisha ya kawaida mgeni akizidisha sana kukaa home baadaye anachokwa hata treatment za ugeni zinaanza kupungua. Ndo maana watu makini hukaa siku chache ili waondoke na heshima zao. Rais unapoenda kwenye nchi ya wenzio ukakaa week. Wanakuacha wanaendelea kufanya kazi zao. Unajikuta unakaa...
  15. Sigara Kali

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Filamu ya Royal Tour ni biashara kubwa Amazon. Je, nani mwenye hakimiliki? Mgawo wetu ni kiasi gani?

    Ameandika Tundu Lissu katika akaunti yake ya Twitter Movie ya Royal Tour kumbe ni biashara kubwa Amazon. Kukodi Sh. 13,930, Kuuza sh. 37,150. Swali langu ni je, mwenye hatimilki ya movie - & kwa hiyo mmiliki wa pesa hizo - ni nani? Je, mgawo wetu ni kiasi gani kwa vile main character ni Rais...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi kilele Siku ya Uhuru wa vyombo vya habari

    IDARA ya Habari-Maelezo imemtaja Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni rasmi kilele cha maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari ambayo kitaifa yatafanyika Mei 3,2022 Jijini Arusha. Kaimu Mkurungenzi Idara ya habari-Maelezo Rodney Mbuya amesema hayo leo...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais kwenye nchi moja (US) kwa zaidi ya siku 5 haina tija. Muda mwingi wapo "idle" hotelini

    Ndugu zangu, Mnamo tarehe 13.04.2022 Rais Samia amekuwa katika ziara nchini Marekani akiambatana na "delegation" kubwa sana ya watumishi wa serikali. Kama Rais alipaswa aende US kwa mambo ambayo ni "specific " na sio kukaa huko akisubiri matukio. Kuna udhaifu mkubwa kwa wizara ya mambo ya nje...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

    Wanabodi Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana. Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!. Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Samia, Rais huwa hakosei na hivyo hakuna pahali Hayati Magufuli alikosea kama Rais

    Kwa mujibu wa Samia ni kosa la jinai kutamka kwa namna yeyote eti Rais alikosea na hii ni kwa SABABU RAIS HUWA HAKOSEI. Muktadha wangu ni upi hapa; Kwanza ni wakosefu wa adabu wale wote wanao jaribu kumhusianisha na makosa yeyote Hayati Magufuli kwa sababu Samia alishasema Rais huwa hakosei...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani asalimia hewa tupu

    Katika hali ya kustaabisha rais wa Marekani bwana Joe Biden ameonekana akimpatia mkono mtu asiyeonekana punde tu baada ya kumaliza kutoa hotuba yake. Inadaiwa hiyo sio mara yake ya kwanza kufanya tukio hilo mbele ya kamera.Hata hivyo tukio hili halijawashangaza sana watu kwani rais huyo wa...
Back
Top Bottom