rais

  1. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Katiba Mpya (Sehemu ya kwanza)

    🇹🇿BARUA YA WAZI KWA RAIS WANGU MAMA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) 🔵KUTOKA KWA : Shujaa Charles Richard Mwaisemba (©️®️Ⓜ️ Tabata,Dar es salaaam stmwaisembac@gmail.com ♨️YAH: OMBI JUU YA KURUHUSU KUENDELEA KWA MCHAKATO WA KUPATA KATIBA MPYA Shikamoo mama,Pole na majukumu mazito...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Picha za Walinzi wa Rais Samia walivyokuwa awali na walivyo sasa anisaidize nazo

    Kuna Wawili kana sijakosea walipokabidhiwa Majukumu walikuwa kama Fidodido tu, ila naambiwa sasa wanakaribia kufanana na Mapipa ya SIMTANK. Na mwenye Picha za waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli kabla hajafariki dunia mwaka Jana na walivyo sasa tafadhali aniwekee kwani nataka kufanya...
  3. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Inatarajiwa Ijumaa Samia atakutana na Makamu wa Rais wa Marekani. Kwanini isiwe Rais mwenziye?

    Duru zinatabanaisha huenda Samia atakutana na Haris makamu wa Rais wa Marekani. Maoni yangu; Hii siyo dharau kwa Rais Samia kusakiziwa kukutana na mtu asiye sawia ki wadhifa wake? Na kwanini asikutane na Biden ambaye siku hiyo atakuwa palepale White house? Huenda Samia amepuuzwa na mamlaka...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Rais Samia kuonana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden

    Kuna uwezekano mkubwa wa Rais Samia kuonana ana kwa ana na wakuu wa Serikali ya Marekani akiwamo Rais Joe Biden kwenye ziara yake hii. Ifahamike mambo ya ugaidi wa kubambikiziana tumeshaachana nayo na tumeonyesha nia njema ya kuzungumza na wapinzani katika hatua mbalimbali. Ikumbukwe pia kuna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hatujaambiwa Ziara ya Rais Samia huko Marekani itakuwa ni ya Siku ngapi?

    Tumeishia kuambiwa tu anasafiri Kikazi nchini Marekani ila walipa Kodi ( Watanzania ) hatujaambiwa Rais wetu atakuwa huko kwa Siku ngapi. Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu hapa mmeteleza kidogo kwani Watanzania wana Haki ya kujua Rais wao atakuwa huko nchini Marekani kwa Siku ngapi hasa...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa ugonjwa huu wa akili wa Biden Marekani inawakilishwa na rais dhaifu huku media inaendelea kumpamba kwa watu wenye upeo mdogo wa kuuona uhalisia

    sio mara ya kwanza wala ya pili wala ya tatu, ni mwendelezo wa huu ugonjwa wa akili unaoitwa dimentia unaomsumbua Biden. ugonjwa huu umefanya mara kwa mara biden atetewe na media kwamba hakumaanisha alichosema bali alimaanisha kitu flani. seriously, hiki alichokiongea ni nini Tafsiri; "Vuta...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Sudan Kusini aunda jeshi linalojumuisha pande hasimu

    Serikali ya Sudan Kusini imetangaza kuundwa kwa uongozi wa jeshi lililoungana, ikitekeleza kipengele muhimu cha makubaliano ya amani ya mwaka 2018 ambayo wafuatiliaji wanatumai yataisaidia nchi hiyo kupata afueni baada ya miaka kadhaa ya vita vya wenyewe kwa wenyewe. Taifa hilo changa duniani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Huu haukuwa muda muafaka wa Rais Samia kutembelea Marekani: Amejiweka kwenye Shinikizo la kulazimishwa kuilaani Urusi

    Wasaidizi wa Rais Samia Suluhu Hassan wametenda kosa kubwa sana kwa kutokumshauri Rais kuwa huu haukuwa muda muafaka wa yeye kutembelea Marekani. Marekani Ina hasira na Nchi nyingi duniani kwa kutokuiunga mkono katika harakati zake za kuitenga Urusi katika jamii ya kimataifa. Tanzania tumeamua...
  9. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Mnamshambulia Rais Samia kwa kivuli cha January Makamba

    Halafu kinachonisikitisha ni namna mnavyotumia Ukabila, eti tuonekane Wasukuma na watu wa Kanda ya Ziwa kwa ujumla hatumtaki Rais wetu. Ni nani aliyewaroga ninyi? Juzi hapa Joel Luhaga Mpina katoka hadahrani akiwa amekula maharage, akaanza kuropoka maneno. Anamshambulia Rais Samia na Serikali...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nchi imekosa maono, kila Rais anakuja na lake, ipo siku tutajuta

    Askofu Gwajima ambaye ni Mbunge wa Kawe kasema nchi imekosa maono kwa kuwa kila Rais akiingia madarakani anaachana na ya mtangulizi wake, kuongeza hilo kamwe halitaweza kutuletea maendeleo Gwajima amesema nchi inatakiwa kuwa na mikakati yake ya muda mrefu na kila rais anayeingia madarakani...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Naungana na Rais Samia, ni kweli taifa lilitetereka kwa ubaguzi wa kiitikadi na kikabila kipindi cha nyuma

    Rais Samia jana alisema hapo katikati tulitetereka kidogo tukaanza kubaguana kwa itikadi, ukanda na ukabila, hakutaja ni kipindi cha Magufuli, lakini wafuasi wengi wa Magufuli wakasema anamlenga Magufuli Hili linaashiria kuwa ni kweli Magufuli alikuwa mbaguzi hadi ubaguzi unapokemewa tayari...
  12. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Sasa tunataka Tuone Maendeleo Fungate limeisha. Rais umeshaongea sana anza kutenda. Haya tumeshayasikia sana

    Magufuli alishafariki na mabaya yake na mazuri yake. Sasa tupige kazi. Kazi ipi hiyo? Kazi iendelee ipi? Ya kuibia wananchi? Ipi? Ya kupeana vyeo kwa kujuana?ipi? Mi sijui. Ila kazi iendelee vijembe havitatusaidia kitu. Marehemu hayupo tena nasi. Hana la kujitetea. Na hatuwezi pata umaarufu kwa...
  13. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hapa Makongoro Nyerere kaamua kusema ukweli mbele ya Rais bila kupepesa macho

    Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao. Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n.k Anasema wao wapo hapo ukisema utafute walichofanya mpaka...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia upole ukizidi watataka wakae juu ya mabega yako, kuwa mkali kidogo.

    Urais wa Samia Suluhu Hassan umeanza na upole. Umeanza na uungwana wa kuwa tayari kupoteza baadhi ya marafiki ili mradi tu taswira yake kimataifa iweze kubakia na heshima. Akaenda Ubelgiji akaonana na Tundu Lissu wakati ambao wapo wana CCM wengi tu wasingependa kumuona akijishusha (kwa mujibu wa...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kuchukua likizo ya Mapumziko

    Tangu aapishwe sijui kama kapumzika. Leo anazindua Mdahalo wa miaka 100 ya Nyerere....Kibaha. Jana alikuwa anazindua Sensa......Dar. Juzi alikuwa anazindua usafirishaji mama mjamzito.... Juzi alihudhuria kumbukumbu ya Karume....Zanzibar, Juzi alikuwa Zanzibar Anafuturisha.... Majuzi Rais...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana dalili za kuwa Rais bora kama Nyerere na Mkapa. Anaonekana kuwaacha mbali Magufuli na Kikwete

    Tunajua Urais ni Taasisi Rais bora ni yupi? Mkweli hata Kama Ukweli unauma ila anausema hata Samia na NYERERE wako kapu moja, tumeshuhudia mara kadhaa nyerere alisema kuna rushwa ndani ya serikali yake na Samia akwepeshi maneno anasema wazi na Ku Sema alipo kosea Rais alomtangulia Kama...
  17. init

    JamiiForums Tanzania Import Duty Tax kwenye Vifaa vya Kielectroniki, Kama ilivyosemwa na Mh Nape Mnauye(Simba wa Vita) mnamo tarehe 14th March 2022, Siku 365 za Rais Samia

    Awali ya yote nipende kuwashukuru, Siku ya leo Nimepata maswali kidogo mara Baada ya DHL kunipa invoice ya 33% ya bei ya bidhaa (Import Duty Tax) ya Tarakilishi mpakato ama Computer, Nilijaribu kurejea Hotuba ya Mh Nape,Tarehe 14 ya mwezi Marchi katika maadhimishi ya Wizara ya Teknolojia ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza Agosti 23, 2022 kuwa tarehe rasmi ya sensa nchini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anazindua nembo na tarehe ya sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, leo tarehe 08 Aprili, 2022 Golden Tulip Hotel, Zanzibar. Rais Samia ameanza kuzungumza muda huu... Rais Samia: "Taarifa nilizonazo ni kuwa oparesheni inaendelea...
  19. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Japan yapanga kupunguza uagizaji wa Makaa ya mawe kutoka Urusi

    Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda Koichi Hagiuda aliwaambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa kwamba Japan italenga baada ya muda kukomesha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka Urusi, muuzaji wa pili kwa ukubwa wa nchi hiyo wa makaa ya joto mwaka wa 2021. Hagiuda alisema kupata wasambazaji...
  20. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais wa zamani Kabore aachiliwa kutoka kifungo cha nyumbani

    Roch Kabore ambaye alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani tangu alipopinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi mwezi Januari, ameruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake, kwa mujibu wa serikali ya mpito ya nchi hiyo. Kabore aliruhusiwa kurejea katika makazi yake katika mji mkuu wa Ougadougou...
Back
Top Bottom