rais

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aenda Kumuaga Chivayo, Safari ilipangwa kwa usiri mkubwa

    Vyanzo mbalimbali kutoka Zimbabwe ikiwemo kutoka kwa muandishi mkubwa nchini humo Hopewell Chin'ono @daddyhope2 vinaripoti kuwa; Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye leo alisafiri kwenda Zimbabwe kutoa heshima zake za mwisho nyumbani kwa marehemu Wicknell Chivayo, sasa yuko njiani...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania DC Petro Magoti :Tuchore mstari ili kumsaidia Mh Rais wetu sema enough is enough

    MKUU WA WILAYA YA KISARAWE KISARAWE – PWANI YAH: TAARIFA NA OMBI LA KUPATIWA MSAADA KUHUSU KERO YA KELELE ZA MUZIKI KUTOKA KWA BAR ILIYO KATIKATI YA MAKAZI Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya, Hii ni mara ya pili nakuandikia hapa jamiiforums! Ninakuandikia barua hii kwa heshima, na kwa mara ya pili...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanganyika, tuwe wakweli ma tuweke siasa pembeni! Nani anayefaa kuwa Rais kati ya hawa wawili?

    Naomba mpige kura! Wote wana Phd za darasani!
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais kuna course za degree zitafutwa, nyingine zitahamishiwa masters, nyingine zitapunguzwa idadi ya wanafunzi, na nyingine kuungwanishwa

    Kwa sahivi kuna lundo la course zinatolewa ambazo hazina tija na nyingi zinatakiwa kufutwa, zinatakiwa zihamishiwe kwenye masters na phd sababu ni kama zinatolewa na vyuo kwa ajili ya kupata faida na huku wanafunzi akihitimu anakua na nafasi ndogo sana ya kupata ajira, nyingine zitapunguzwa...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afungua Mkutano Mkuu wa IPU Arusha

    Salamu za Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) jana tarehe 5 Oktoba 2026 katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC).
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

    SAMIA KUHANI MSIBA WA CHIVAYO KESHO? Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ameandika katika ukurasa wake wa Facebook akidai kuwa vyanzo vyake vya taarifa vinasema kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu anatarajia kuruka kesho kwenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wickenell Chivayo aliyeuawa katika ajali ya...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, alivyowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ambapo amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU. Mkutano huo unaofanyika leo Oktoba 5, 2026 jijini Arusha...
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) "Nilitaka kuwa Rais wa kitaalam sio wa Chama,Matokeo yake Mafisadi yakakichukua chama" Hayati Benjamin Mkapa

    Katika ukurasa 203,"My Life,My Purpose"(2019) anasema: "Mwl Nyerere aliniambia 1995 -'Usifanye haraka kumuua chama. Chama ndio nyumba'. Mimi nilitaka kuwa Rais wa kitaalam, sio wa chama. Nikaacha CCM iende yenyewe. Matokeo yake mafisadi wakajenga ngome ndani ya chama" Hayati Benjamini Mkapa.
  9. zitto junior

    JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia apinga uvamizi wa Israel kwenye ardhi yake.

    Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, ameiambia Al Jazeera kuwa nchi yake haitakubali uwepo wa Israel nchini humo "chini ya hali yoyote ile" na itapinga jaribio lolote la kuvutwa katika migogoro ya Mashariki ya Kati. Rais wa Somaliland na waziri mkuu wa Israel. Katika mahojiano maalum...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais ntaanzisha jeshi la mipango miji

    Sehemu napokaa kuna mtu kanunua nyumba ya kawaida ila cha ajbau ameanza kuongeza gorofa kwenye nyumba ambayo haina msingi wa gorofa anajenga na hakuna anayemhoji kajiamulia binafsi hili ni moja ya jambo linanikera sana nikiona watu wameweka lenta ya gorofa na sasa wanakoroga zege waendelee...
  11. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TRC: Mnatafutwa Jf kujibu tuhuma au hii Kero za SGR kubadili ratiba ni faida ya wamiliki wa Mabasi au serikali! Kukaa kimya sio mnamuaibisha Rais

    Sikilizeni ukweli wa hali halisi!
  12. B

    JamiiForums Tanzania MGOMO WA MABASI: MHESHIMIWA RAIS, WACHUNGUZENI WAMILIKI WA MABASI WANAOHUJUMU NCHI NA KUWATUMIA MADEREVA

    Mheshimiwa Rais,mgomo wa Madereva Wenda ukarudi Tena sura mpya Hali inayoendelea kwenye sekta ya usafirishaji nchini, hususan sekta ya mabasi ya abiria, inatuma picha mbaya na kuleta kero kubwa kwa wananchi wa kawaida. Ni dhahiri kuwa kuna baadhi ya wamiliki wa mabasi (matajiri) wanaojiona wako...
  13. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan je ndio kiongozi anayependwa kuliko wanasiasa, viongozi na marais wote waliowahi kuwepo Tanzania tangu tupate uhuru?

    Hapa jukwaani naona sifa zake zimejaa na kusheheni, kuanzia asubuhi hadi usiku, kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah , kavulata, Pascal Mayalla , ChoiceVariable na CHAWA wengine wengi kutwa kumsia. Je hizo sifa ni halisi na wanamaanisha au wanafanya kumpamba ili wapate ugali wao wa kila siku...
  14. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna uzembe mkubwa Makao Mkuu ya Utumishi Dodoma, ila hakuna wa kuwawajibisha

    Leo nimejionea kwa macho yangu pale Makao Makuu ya Ofisi ya Rais, Utumishi (OR-Utumishi), Dodoma, na kuthibitisha kwamba, kwa uzembe uliopo pale ofisini, hakuna mtu yeyote anayewaadhibu Maafisa Kazi na Maafisa Utumishi waliopo pale UTUMISHI-HQ. Ndiyo maana hawawajibiki ipasavyo. Si Rais, Waziri...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini hamna kupoa

  16. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "SISEMI! MAKUBALIANO YETU NA DANGOTE YATABAKI SIRI” - Rais Ruto Akataa Kuweka Wazi Kilichoko Ndani.

    Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba. Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametoa Boti za Kisasa za Uokoaji na Kuzima Moto huko Ziwa Nyasa

    Boti hiyo yenye injini mbili zenye nguvu ya jumla ya HP 500 na uwezo wa kubeba abiria 12, itaongeza uwezo wa mamlaka kukabiliana na dharura Ziwa Nyasa, kuokoa maisha na kuimarisha usalama wa wasafiri pamoja na shughuli za usafiri majini.
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ametuma salamu kifo cha bilionea Chivayo ,Je kuna uwezekano,kwenda kuhudhuria mazishi yake akiwa yuko EDA?

    Wakuu wa Vyombo,nimeuliza tu! Mkija kunijibu, muwe mnanukuu baadhi ya vifungu vya Quran Takatifu,ili kutupa uelewa zaidi. Karibuni
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kesho atapatikana Rais kutoka kundi hili

    Look, kabila gani? Kesho kuna rais wa nchi hapa hapa!
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais wa Kenya William Ruto tayari ametuma salamu za pole, akimtaja Chivayo kuwa rafiki yake na kutoa pole kwa familia na watu wa Zimbabwe.

    Kwa taarifa nilizokagua asubuhi ya leo, 1 Oktoba 2026, sijaona taarifa rasmi au ya kuaminika inayothibitisha kwamba Rais Samia Suluhu Hassan tayari ametuma salamu za pole kufuatia kifo cha Wicknell Chivayo na mke wake, Lucy Muteke. Ajali ilitokea 30 Septemba 2026 huko Marondera, Zimbabwe, na...
Back
Top Bottom