rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Si utashi wa Rais Samia kufanya Tanzania Royal Tour

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza na kumsifu Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kuifungua Tanzania kitaifa na Kimataifa, Aidha Katibu huyo wa Itikadi & Uenezi wa CCM-tanzania amempongeza zaidi Mhe Samia Saluhu...
  2. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje safari ya Rais inagharamiwa na Wananchi wachache ambao hawataji majina yao? Je, haya sio mazingira ya kulipana fadhila kwa ufisadi?

    Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili. Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour. Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali. Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Msaidieni Rais Samia Utekelezaji Anwani za Makazi

    Naibu Waziri: Msaidieni Rais Samia Utekelezaji Anwani za Makazi Immaculate Makilika – MAELEZO, Songwe Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Mhandisi, Kundo Mathew amewaomba Wakuu wa Mikoa yote nchini kuendelea kutekeleza zoezi la Anwani za Makazi katika mikoa...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri atoa msamaha kwa mwanahabari na wafungwa 3,000

    Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi ametoa msamaha kwa mwanahabari aliyefungwa jela kwa madai ya “kusambaza habari za uongo”, msamaha ambao umeenda sambambana zaidi ya wafungwa 3,000. Mwandishi huyo Hossam Moniss alihukumiwa kifungo cha miaka minne jela Novemba kwa shtaka la kusambaza habari za...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Jasusi wa Kiuchumi, tumuunge mkono

    RAIS SAMIA NI JASUSI WA KIUCHUMI TUMUUNGE MKONO. Kuna wakati ili Utalii wetu upanuke zaidi tunahitaji jasiri wa kusimamia lakini si kwa kutoa majibu mepesi kwa industry yenye kuhitaji majawabu huru. Kwa zama hizi, tena kwa kwa utitiri huu wa vyombo vya habari na kuzagaa kwa mitandao kushindwa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hata Washington umeme unakatika ingekuwa Tanzania, Makamba angetukanwa

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia watanzania walioko Marekani amesema alishangazwa na umeme kukatika nchini humo ambapo amesema ingekuwa Tanzania, January Makamba angetukanwa
  7. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hayati Dkt Magufuli aliichukia sana Kaskazini lakini sasa Rais Samia anaipenda sana hii Kanda?

    Tanzania tangu kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi miongo mitatu iliyopita, Kanda yote ya kaskazini imeanguakia kwenye mikono ya Upinzani na wapinzani, Hayati Rais Dkt Benjamin William Mkapa ndio Rais wa kwanza kuonja shubiri ya Upinzani na Wapinzani Tanzania, Mpinzani wa kwanza strong wa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atua Tanzania, aongelea mafanikio ya safari yake Marekani

    Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengi Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia arudi nchini, kuzindua 'Royal Tour' Arusha. Benki ya Dunia na IMF waahidi fedha kama zilizojenga madarasa

    Leo Rais Samia Suluhu amerejea nchini na atazindua filamu ya 'Royal Tour' jijini Arusha. Rais Samia ametoa mrejesho wa kilichojiri kwenye ziara yake Marekani ambapo aliondoka nchini April 13, 2022. Miongoni Rais Samia ameongelea kukutana na IMF na benki ya dunia ambapo ameahidiwa fedha kama...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hajaenda karantini wakati mtu aliyekuwa nae ana COVID-19!

    Site tumeona habari za kuwa makamu wa Raid wa Marekani Mama Kamala Harris amekutwa na ugonjwa mkali wa Corona , yaani Uviko 19 hivyo kwasasa Kamala Harris yupo Carenteen na anejitenga. Rais wa Muungano Mh. Samia Suluhu Alikuwa pamoja na Makamu wa Rais wa Marekani Ms Kamala Harris siku Kama 5...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile ashiriki katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa na Rais Samia

    MBUNGE wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika pamoja na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na Wananchi mbalimbali katika Dua maalum aliyoiandaa ya kuliombea Taifa letu na Rais Samia Suluhu Hassan sambamba na kushiriki nao futari ya pamoja aliyoiandaa yeye...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mei Mosi bila uwepo wa Rais wa JMT itanoga?

    Kuna uwezekano mkubwa ikafika jumapili Mei Mosi raisi akiwa hajarejea ama kama atarejea akatoa udhuru kuwa kachoka. Je, makamu wa raisi atatimiza hamu na gamu ya watumishi wa umma? Tumeshuhudia maadhimisho ya miaka 58 ya muungano bila uwepo wa Rais. Tarehe 28 ni uzinduzi wa Royal Tour pale...
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia peleka fedha za kutosha TANAPA, NCAA & TAWA

    Mh Rais Mama Samia nakusalimu kwa jina la JMT. Naomba kukupongeza na kukushukuru namna unavyopigania kuinua UTALII kupitia ROYAL TOUR.Ni wazi tena pasipo shaka kwamba ROYAL TOUR inakwenda kusaidia kuongeza idadi ya watalii Tanzania.Hili ni jambo jema linastahili pongezi za dhadi kwakuwa idadi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tunaomba majibu ya kuturidhisha Kimantiki ya kwanini Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza kukosa kuhudhuria Sherehe za Muungano?

    Kutokana na Umuhimu na Unyeti wa huu Muungano wa Bara na Visiwani nimeambiwa kuwa Watu wa Itifaki katika Awamu zote zilizopita walikuwa Wakihakikisha Ratiba za Rais kamwe haziingiliani na Siku hii ya Muungano na kwamba ni lazima Mheshimiwa Rais awepo kutokana na kuwa pia ni Moja ya Tunu ya Nchi...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais wa USA alikutana na Rais Samia. Ni vyema Rais akirudi akae karantini kwa kuwa aliyekutana nae amekutwa na COVID-19

    Walitana kwa ukaribu na hii ishara kuwa kuna uwezekano wa kuambukizana maana hata chanjo za kovidi hazizuii maambukizi 👇 Vice President Kamala Harris tests positive for COVID-19
  16. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

    Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus … ======= (CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California. "Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kinana asema ziara ya Rais Samia Marekani ni muhimu kwa uchumi

    KINANA ASEMA ZIARA YA RAIS SAMIA MAREKANI NI MUHIMU KWA UCHUMI. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amempongezq Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi kubwa kuwaletea wananchi maendeleo katika kupindi cha mwaka mmoja tu alichokaa...
  18. Ettore Bugatti

    JamiiForums Tanzania Rais Putin amtumia Rais Samia Suluhu, Ujumbe wa Kumtakia heri ya Siku ya Muungano

    Putin amesema Tanzania na Russia zina Mahusiano ya Urafiki wa Muda Mrefu na amewatakia Watanzania wote mafanikio tele. Ujumbe toka wa Rais Vladimir Putin wa Russia kwenda kwa Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania. NB: Mama yupo USA ...USA ni adui wa Jamaa...hapa kuna zaidi ya ujumbe.!
  19. D

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz yumo kwenye ziara ya Rais Marekani, nawapa taarifa tu wale mliomwona kwa mara ya mwisho ziara ya Mwendazake Morogoro.

    Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Rais kujali uzinduzi wa movie kuliko Siku Muhimu ya Muungano ni aibu kubwa sana

    Leo ni siku muhimu sana katika Taifa Letu. Ni siku ambayo mataifa mawili yaliungana na kuunda Taifa la Tanzania. Cha ajabu Rais huyu tuliyenae kwa sasa hajaona umuhimu yeye na watu wake kuwa apange ratiba zake aweze kuwepo nchini katika siku hii ya leo. Na ni aibu kwa Rais wa nchi kukaa nje...
Back
Top Bottom