rais

  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashauriwe namna ya kuongea kama Rais na siyo kuongea kama Samia

    Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza. Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais. Shime jiepushe kutoa kauli tata...
  2. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kauli mbili tata za Rais Samia

    Shalom, Kuna umuhimu sana wa Rais Samia kuchuja baadhi ya kauli zake, nimesikia kauli mbili zenye madhara Yale Yale huku kauli Moja ikikosa nguvu. Anasema kwamba, ukitaja hadharani kuwa umewaongezea salary Wafanyakazi basi wafanyabiashara watapandisha Bei ya vitu holela na kufanya Hali kuwa...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Vs Rais kuhusu bei ya mafuta tutapona?

    Wakati Waziri Mkuu anahangaika namna ya Kupunguza bei ya Mafuta Rais anasema Bei ya Mafuta Tanzania ni ndogo kuliko Marekani. Tutapona kweli? Waziri akipunguza rais si atapangua maamuzi? Nini kifanyike?
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Guinea: Rais Alpha Conde kufunguliwa Mashtaka ya mauaji, utesaji na ubakaji

    Mamlaka za Guinea zimesema zitamshtaki aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Alpha Conde (84) pamoja na Maafisa wake 27 kwa makosa mbalimbali yaliyofanyiwa akiwa Madarakani. Mbali na mauaji makosa mengine wanayotuhumiwa kufanya ni mauaji, kuwekwa kizuizini kinyume cha Sheria, utekaji nyara, utesaji na...
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Tusiruhusu Rais na Viongozi wetu kutishwa na wahuni kwa namna yoyote

    All potential advisers and decision makers kamwe tusiruhusu Rais wetu na viongozi wote kutishwa na wahuni.Tanzania bado ipo stable sana tu.all what is prevailing has been planned! Viongozi wa ngazi zote wajiamini katika kutekeleza malengo ya chama na Serikali. Hakuna muhuni atakayeishinda mama...
  6. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia 'akunwe kwa staha' suala la bei za mafuta

    Tokea usiku wa kuamkia leo Watanzania wamevalia njuga suala la kupanda kwa bei za mafuta huku lawama zote wakizielekeza kwa Rais Samia. Binafsi nawasihii ndugu zangu tupunguze lawama kwa Rais huku tukikumbuka hapendi kukunwa kwa papara kama alivyotueleza. Samia akunwe kwa staha na yeye...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bei ya mafuta Tanzania ni rahisi kuliko Marekani

    Rais Samia katika kuwajibu wale wanaolalamika kuwa bei ya mafuta ni kubwa sana amesema hiyo bei ni ndogo sana hasa ukilinganisha na bei ya mafuta Marekani. Rais anasema juzi alikuwa Marekani akakuta bei ya mafuta iko juu sana kuliko Tanzania. Hayo Rais ameyasema leo hii kwenye kipindi cha...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022 RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa kuna mambo mengi. “Sidhani kama kuna mtu anaweza kusema ni fundi katika nafasi ya Urais, labda...
  9. N

    JamiiForums Tanzania V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

    Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais watu wa Kusini mwa Tanzania utawatembelea lini?

    Nasema hivyo kwa sababu! Rais wetu kashafanya ziara ndani ya nchi yetu hususani kwenye mikoa ile ile mara mbili au tatu lakini hatujaona ikifanya hivyo kusini mwa nchi! Mfano Rais wetu katembelea mara tatu mwanza na geita pia kwa kanda ya ziwa! Pia Arusha na Kilimanjaro katembela nako sio...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Putin: Kama mnataka vita iishe acheni kuipa Ukraine silaha

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema mataifa ya Ulaya yanatakiwa kusaidia kumaliza vita dhidi ya Ukraine kwa kuweka shinikizo kwa Rais Volodymyr Zelensky na kusitisha kumpelekea silaha. Rais Putin amezungumza kwa njia ya simu na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ambaye alikuwa akishawishi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nae ameanza vitisho kwa waandishi kama Magufuli, inasikitisha

    Nimesikiliza hotuba ya Rais wetu leo kwenye maadhimisho ya siku ya uhuru wa habari duniani Kwenye hotuba hiyo ambayo rais alikuwa katika mood ya kitofauti alisikika akiwaambia waandishi wa habari kuwa, 'ukinikuna nami nitakukuna, ila ukinikwaruza nitakuparura' Kwa tafsiri rahisi ni kuwa...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunajiandaa na kampeni kubwa kabisa ya kutoa chanjo ya UVIKO

    Rais Samia amesema zoezi la uchanjaji limekwenda vizuri lakini kwa sasa kumekuwa na kasi ndogo hivyo serikali imejipanga kuja na kampeni kubwa zaidi ya kuhamasisha uchanjaji ili kujikinga na virusi vya corona Rais amesema hayo alipokuwa katika baraza la Eid, Dar es Salaam
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni kwamba kamuambukiza Makamu wa Rais wa Marekani Corona wachukuliwe hatua

    Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka. Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!

    Wanabodi Rais Samia ambaye ni Rais Mwanamke wa Kizanzibari mwenye lugha tamu laini na lafudhi ya Kizanzibari, yenye maneno na vineno, vitamu hadi raha kumsikiliza haku ukitamani asimalize kuzungumza. Leo kwenye maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa habari, Rais Samia katamka maneno haya...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, Rais yuko sahihi kuhusu umasikini?

    Rais Samia akiongea na waandishi wa Habari leo amekataa kuwa watanzania hawatumii chini ya dola moja kama inavyolipotiwa ambapo ametumia kabila la wahadzabe kama kabila la chini ambao wanaishi kwa kula matunda na asali ambayo hawanunui. Hivyo ukiweka kifedha inawezekana wanatumia gharama kubwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari - 2022: Rais Samia awahimiza wanahabari kuzingatia mila na desturi za Kiafrika

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (WPFD) ambayo inafanyika leo Mei 3, 2022 Jijini Arusha. Kabla ya Rais Samia kuanza kuzungumza, mijadala imeendelea ukumbini: DKT. RIOBA: MAMLAKA ZINAPATA UGUMU KUZUIA NGUVU YA DIGITALI...
  18. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa zawadi za Eid kwa Wahitaji wa dini mbalimbali hapa nchini

  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi na Mfumuko wa Bei; ningepunguza PAYE kama Hayati Dkt. Magufuli

    MEI MOSI NA MFUMUKO WA BEI; NINGEPUNGUZA PAYE KAMA RAIS MAGUFULI. Leo 21:30pm 02/05/2022 Hayati Rais John Pombe Magufuli,alipunguza kodi katika mishahara kwa Wafanyakazi kutoka asilimia 11 hadi asilimia 9,huku wafanyikazi kote duniani wakiadhimisha sikukuu ya wafanyakazi,nchini Tanzania...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
Back
Top Bottom