rais

  1. Judister Gabriel Mlawa

    JamiiForums Tanzania Naamini, Rais Samia Suluhu asingekuwa madarakani Royal Tour isingekuja Tanzania

    Imani yangu inanituma kwamba, wazo la kuja na kutengeneza Royal Tour Tanzania, nimechochewa zaidi na Tanzania kuwa na Rais Mwanamke. Licha tu ya kuwa na Rais mwanamke ambaye kwa nchi za magharibi ni kitu ambacho wanavutiwa nacho zaidi, lakini pia aina ya siasa anayofanya Rais Samia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Director wa filamu ya Royal Tour aache kumdharau Rais Samia

    Nimeshtushwa na maneno ya dharau ya huyu director wa filamu inayotangaza utalii nchini Tanzania ya Royal Tour kwa rais wetu Bibi Samia Suluhu Hassan. Amemshauri mh.Rais aache urais awe muigizija, kwani amevutiwa na uigizaji wake. Vile vile anamuita mtukufu rais kwa jina lake ''Samia", baada ya...
  3. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

    Kwa mara yakwanza katika historia, tarehe 26/04/2022 Tanzania ina adhimisha miaka 58 ya muungano huku mkuu wa nchi akiwa nchini Marekani. Haijawahi kutokea kabla, mama anaandika historia nyingine. Uzi huu hauhusiani na nyuzi nyingine, huu ni uzi wa kumbukumbu ya kihistoria.
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Marekani: Rais Samia akutana na CEO wa NGO ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amekutana na kufanya mazungumzo na mkurugenzi wa taasisi isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na HIV hasa kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto ya Elizabeth Glaser Pediatric AIDS Foundation, Charles Lyons. EGPAF iliasisiwa mwaka 1988 na taarifa za...
  5. JS Dairy Farm

    JamiiForums Tanzania Alina Kabaeva: Mpenzi wa siri wa Rais Putin

    Anaitwa Alina Kabaeva ni mwanasiasa na mwanamichezo wa zamani wa Russia, mshindi wa medali wa Olympic, picha yenye maua alikuwa anampongeza. Picha nyingine alikuwa anawaaga wanamichezo wa Russia waliokuwa wanaenda Olympic na picha ya mwisho mwanadada akiwa kazini, ana watoto wanne na Putin, ana...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kile ambacho wengi wenye akili tunataka afanye! Kwa hili anastahili pongezi

    Kwa miaka mingi sana Tanzania tumekuwa tunalalamika jambo moja kuu, nalo ni kwamba, pamoja na kuwa na maliasili na utajiri mwingi ila nchi yetu hasa wananchi wamekuwa masikini sana! Mjadala huu umezungumzwa na kipindi kirefu sana na moja ya sababu ambazo zimekuwa zikitolewa kwa Tanzania...
  7. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kwa Bidii za kujenga Uchumi

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwenye bidii za kichumi huko USA Mama anaupiga mwingi sana. Kazi na bata vinakuja tuvumilie kidogo nchi inafunguka Huu uzi ni wa kusifu wenye stress subirini hadi sherehe za IDD
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Umoja party walalamikia kucheleweshewa usajili, kumgongea hodi Rais Samia

    Chama cha Umoja Party kiliomba usajili wa muda tangu April 2021 na kimeona kuna dalili za kukwamishwa licha ya kufuata taratibu zote ikiwemo kujibu mapingamizi juu ya rangi ya bendera na muonekano wa nembo hivyo kimepanga kwenda kumuona Rais Samia ili kupata haki ya usajili katika ofisi ya...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kisiasa tupo vizuri, leo wanangu wamejipanga na Mabango yao nikawaambia nimewaona, nikawapungia Mkono

    Rais samia akiwa Washington D.C amesema Tanzania kisiasa tupo Vizuri. Hali ya Kisiasa Tupo Stable,Hali ya Kisiasa iko Nzuri, tunachukua Hatua za kufanya Vyama vyote vya Siasa vikae Pamoja Kujadili namna ya Kuendesha Siasa zetu Nchini. "Nimeunda timu ndani ya vyama vya siasa, tumeweka Jeshi la...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
  11. aleesha

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Rais Samia Suluhu Hassan na dira yake ya maendeleo

    Nchi ya Tanzania imekuwa ikiongozwa na chama cha CCM katika kipindi kisichopungua miaka 50,Tanzania hii imepiga hatua za kimaendeleo kwa vipindi kutofauti kutoka kwa rais mmoja kwenda kwa rais mwengine katika vipindi vya miaka mitano yenye vipindi viwili kwa kila mmoja huku sera zikiwa ni kutoka...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky aomba tena kukutana na Rais Putin ili wamalize vita

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa tena wito wa kufanya mkutano na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika juhudi za kumaliza vita nchini mwake. Zelensky ambaye alishawahi kuomba kukutana na kiongozi huyo amesema hakuwa na hofu ya kukutana na Putin iwapo hilo lingesababisha makubaliano ya...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ukraine alaani vikali ziara ya Katibu Mkuu wa UN jijini Moscow

    Russia-Ukraine live news: Zelenskyy slams UN chief’s Russia visit Ukraine’s president says ‘there is no justice and no logic’ to Antonio Guterres’s decision to travel to Moscow before he visits Kyiv. Ukraine's President Zelenskyy attends a news conference at a metro station in Kyiv [Gleb...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia: Watanzania waishio Marekani waandamana kudai Katiba Mpya

    Kufuatia Ziara ya rais Samia huko Marekani, wananchi waishio huko wameandamana kudai katiba mpya. Watanzania hao walibeba mabango yenye ujumbe wa Kudai katiba mpya na Wengine kubeba mabango yanayotaka serikali imwachie huru Mwanasheria Peter Madeleka ambaye inasemekana amekamatwa na Polisi...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    === Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki, Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima? Hebu jiulize...
  16. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na Baba Mzazi wa Rihanna tunafaidika vipi kama Taifa?

    Wasalaam Mtanzania Mwenzangu! Naomba uitikie KILA KITU KITAPANDA BEI! Nimepita mitandaoni kusoma taarifa mbalimbali zinazoendelea hapa Nchi na ulimwenguni kwa ujmla. Na nisikatae kwa Juma moja saivi na siku kadhaa kumekua na taarifa inayosemwa sana mtandaoni ni Juu ya ROYAL TOUR! Nikiwa napita...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ombi: Usambazaji wa Picha za Rais Samia Mitandaoni akiwa Marekani ziendane na 'Direct Economic Impact' Mifukoni mwa Watanzania

    Naanza kuona taratibu Nguvu Kubwa inatumika kumuonyesha Mheshimiwa Rais Samia akikubalika zaidi na Wazungu (hasa hasa hawa Wamarekani) na kwamba aliyekuwa Boss wake hakuliweza au hakulifanikisha hilo ila kwa bahati mbaya mno Nguvu hiyo hiyo haitumiki Kuwafafanulia Watanzania ni jinsi gani Ziara...
  18. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Rais SAMIA awaacha hoi Wazungu Marekani.

    Fuatilia kupitia link hii:
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ikitokea 2025 Rais Samia akatangaza nia, nitamchagua kwa sababu...

    Ikitokea Mungu katuongoza na kufika salama 2025 na ikatokea Rais Samia akatangaza nia ya kugombea Urais kupitia CCM nitamchagua bila kupepesa macho, kwa sababu: i) Anajiamini. Licha ya kuwa ni mwanamke katika jamii ya mfumo dume lakini anajiamini na anaamini anaweza. Kujiamini ni moja ya njia...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Rais Saied aingilia Tume ya Uchaguzi, ateua wajumbe wapya

    Rais wa Tunisia, Kais Saied ameendeleza nia yake ya kujiimarishia Mamlaka baada ya kutoa amri ya kubadilisha Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaweka watu 7 wapya aliowateua mwenyewe Tume hiyo ni miongoni mwa Vyombo huru vya mwisho Nchini #Tunisia, na kubadilisha wanachama wake kwa amri ya...
Back
Top Bottom