ndoa

  1. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Pandisha Mzuka wa Tendo la Ndoa Kwa Misamiati ya kimapenzi

    Juzi nilipelekwa Buza, Kwa mara ya pili maana Buza NI kubwa Sana Nikaenda kuulizia maana ya mparange sijui Kwa mparange nikapata maana nilicheka sana Sijui mambo ya kiswede mambo ya Ambaruti Basi akapita binti mwenye Shepu yake, babu mmoja akamwambia Yule binti, "Mariam nakuja huko huko...
  2. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Katika ndoa ukiona tatizo huliwezi tengeneza tatizo lingine utakalo limudu

    Mke wangu mkali balaa, papuchi ananipa kwa ratiba. Feminist...still ananipiga bit kuwa siku agundue nina mchepuko ataanza na huo mchepuko kwanza kuufanya kitu ambacho hautajuta. Ni mjeuri mpaka nlishawahi mwamba mbata mara kadhaa na bado akawa analia huku ananisema kijeuri.siku nikaamua...
  3. Carleen

    JamiiForums Tanzania Hivi hii nadharia ya kila pendo la kweli lazima liishie kwenye ndoa ipo sahihi?

    Hi guys, Naomba kufahamishwa usahihi wa hii nadharia ya kila mnayependana kwa dhati ni lazima muonane ina ukweli kiasi gani? Maana ukizungumzia tu upendo wa dhati halafu hayo mazungumzo yasiishie kwenye ndoa hakuna anayekuelewa kama kweli mlipendana. Hivyo natamani kufahamishwa kuwa je ni...
  4. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Wabobezi wa tendo la ndoa na hata lile la uzinifu hii nadharia ina ukweli?

    Kwamba.... Ukiona Siku yoyote ile unafanya Mapenzi (Unanyiriana) ama na Mkeo au Mpenzi (Demu) wako na ukaona hiyo Siku Ufanisi wake na Bidii yake Kitandani imeongezeka maradufu basi hapo tambua Jambo moja wapo kati ya haya nitakayoyaorodhesha hapa chini... 1. Anakuzuga kwakuwa ametoka Kufanywa...
  5. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo baadhi ya makabila yanavyoomba tendo la ndoa

    Naam . Wakurya: mama bhoke rara chini nikurenge.. Wamasai: mama yoyo nipe ile kitu namesa mwensake.. Wahaya: mama koku infacti njoo tuperfom.. Wachaga: mama manka fungua kibubu nitupe shilingi.. Wapemba: mama alii panua paja mti wajaaa...! Najua hapa wachaga nko wengi msinirushie mawe plz
  6. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea Urais msishangae kuonyeshwa makondokondo hadharani, Urais ni kama Sakramenti ya kufunga ndoa, lazima uwe msafi

    Umuofia kwenu, Huu ni mwezi wa kuchukua fomu, mtu yeyote kupitia chama anachokiamini anaweza kuchukua fomu ya kugombea urais, tofauti ni pale CCM walioamua kukinzana na katiba yao kuamua kumsimamisha mgombea wao huku wakizuia kujitokeza wengine wanaoweza kuleta upinzani, ambao baadhi yao...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Baba wa watoto wangu watatu (kila mmoja na babake) wote wanataka kufunga ndoa na mimi

    Mtoto wa kwanza nilimzaa na class mate wangu. Wakati huo wote tukiwa hatuna ajira. Wazazi wote walitusaidia. Ikifika wakati kaka yake alimuita Gabon akamsaidie biashara. Aliniacha na mtoto wa miaka miwili. Tulipoteza mawasiliano. Mtoto wa pili nilimzaa na aliyekuwa boss wangu. Alikuwa...
  8. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Maana ya ndoa Kwa mujibu wa Sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Aina za ndoa Kuna aina mbili za ndoa zinazotambuliwa na sheria hiyo: 1) Ndoa ya mke mmoja - hii ni ndoa ambapo mwanaume ana mke mmoja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua tendo la ndoa ni haki katika ndoa na lisipotimizwa linaweza sababisha ndoa kuvunjika?

    Iko hivi, ndoa ni mkataba kati ya mke na mume, na mkataba huo una masharti mengi ikiwemo haki ya tendo la ndoa, sasa inapotokea mwanandoa ananyimwa haki hii moja kwa moja mkataba unakuwa umevunjwa kwani masharti ya mkataba hayajatimizwa. Haki hii ni lazima iwe imevujwa kwa makusudi bila...
  10. Superjet ndenji

    JamiiForums Tanzania Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

    Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako. Karibu kama una swali nitakujibu
  11. Cvez

    JamiiForums Tanzania Uchumi ni tatizo kubwa katika ndoa za Vijana

    Jioni hii nimekaa room kwangu mara nasikia majirani (wake zao) wametoka kwenye mizunguko yao. Katika hii nyumba kuna wapangaji watatu wawili ni familia bachelor ni mimi tu. Punde nasikia moja ya jirani yangu analalamika kwa mwenzie kua mmewe karudi kapiga msosi wote bila kujali kua yeye kala au...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Baharia ogopa mabinti wanaojipodoa, wengi hawafai kwa ndoa

    Closed
  13. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Hizi ndoa hizi! Money Penny washauri vijana wasikimbilie kabisa...

    Bado naendelea kurekodi VIPINDI vyangu vya YouTube, ndio maana skuhizi siandiki Uzi Sana huku hata HADITHI kwenye website nimesimama Kwanza, YouTube unachukua muda wangu mwiingi nikitoka hapo chokest ! naenda ku-du na mume alafu kushakucha narudi studio tena. Anyway wiki hii nilikuwa na wageni...
  14. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Changamoto za watoto wa nje ya ndoa

    Wanajukwaa wasalaam, mkitaka kujua khali yangu Mimi ni bukheri wa afya, namshukuru Mola wetu kutuzidishia urijali kwa ustawi wa familia zetu Leo napenda niulize hasa kwa wanaume wenzangu wenye watoto nje ya ndoa, ni Changamoto gani mnazopotia, na mnazitatua vipi, na je watoto hao wana namna ya...
  15. ommytk

    JamiiForums Tanzania Mke wangu analalamika sana kuchoka nikitaka Tendo la Ndoa

    Wakuu naomba kujua, Mke wangu hana ushirikiano kabisa kwenye tendo la ndoa na pia mara nyingi hana uhitaji nalo yaaani mimi ndio muhitaji na ukitaka lazima awake sababu mara kachoka au hayuko sawa, na hata akikupa analalamika kuumia anadai umalize. Je, kuna shida au anachepuka nje?
  16. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Unapenda mahusiano yako yadumu?

    Wapendwa wangu wana jukawaa salaam. Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la mahusiano ya kimapenzi na ndoa kuvunjika hasa kwetu vijana, kugombana, kutofautiana, kupishana maneno ni jambo la kawaida kwasababu tunaingia katika mahusiano tukiwa na tabia tofauti tofauti na tena...
  17. osc michael

    JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kunyonyana viungo vya uzazi wakati wa tendo la ndoa (Oral sex)

    MADHARA YA KUNYONYANA WAKATI WA TENDO LA NDOA. ( Mapenzi yanayohusisha mdomo na viungo vya uzazi) Kwa sasa katika jamii asilimia kubwa imeathiriwa na tamaduni hii ya wapenzi kuridhishana kwa njia ya kunyonyana sehemu za siri ambayo kiuharisia huhatarisha afya zao. Tabia hii imeigwa katika video...
  18. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Tiba za asili za COVID-19 pia zinaimarisha nguzu za kiume kwa waliokua hatarini kupoteza ndoa zao

    Sasa wakuu mimi binafsi nimeona tiba ya kitunguu swaum , tangawizi malimao yamekuwa mazuri sana kwangu, pia natumia sana habat souda na mrungu rungu katika kujitibu Corona Sasa picha linaanza, kila nikikutana na demu wangu ananiambia mbona sasa show ya kibabe sana? Nikamwambia, kwanini...
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu

    Kwenye ndoa ya wake wengi, mwenye mapenzi ya kweli ni mke mkubwa tu. Hawa wengine wako kimaslai tu, ata kama utawatembezea rungu kwa kila staili, wao watalenga maslai au kipato chako tu. Kwa namna nyingine tunaweza sema ni wachunaji tu. Tusidanganyane kuwa wake wenza upendana, hiyo haipo; kila...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Costa Rica yaanza kusajili ndoa za jinsia moja kisheria

    Wanaharakati wa mapenzi ya jinsia moja nchini Costa Rica wamekuwa wakipigani sheria ya kutambulikwa kwa ndoa za jinsia moja kisheria na kufanya kuwa mdahalo mkubwa kipindi cha uchaguzi wa mwaka 2017 hadi 2018 Mwezi Agosti 2018 Mahakama kuu ikasema kuwa kuzuia ndoa za jinsia moja ni kinyume cha...
Back
Top Bottom