Mwanamama huyu ni maarufu sana huko Instagram. Hufanya biashara ya chakula kwa mafanikio makubwa sana. Pia huamasisha wanawake kufanya mazoezi na Mambo ya maendeleo. Kwakweli ana majumba ya kifahari, magari na hujinasibu mumewe Dr. Baba Iman Baba wa mwanae mmoja humpa support kubwa Sana...
Makala hii ni tafakari huru kuhusu mambo ya msingi katika mahusiano. Hapa utapata tafakari ya maana ya maneno na imani ambazo zinatutatiza wengi wetu.
1. Mchanganyiko mkubwa kuhusu maana ya mahusiano, mapenzi na ndoa:
Labda kipengele hiki tuanze kwa kueleza kuwa kunaweza kuwepo ndoa, lakini...
Kila mtu anapenda kufunga ndoa na kuwa na familia. Bahati mbaya kwetu wanawake ni mwanaume anaefanya maamuzi kuwa huyu ndiye ananifaa katika safari ya maisha.
Hapa hakuna formular wengine watapenda binti mzuri, wengine wanapenda kwasababu ni kabila moja, wengine wanapenda msomi ni mambo...
Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni:
SIFA ZANGU:
Urefu: Ni mrefu wa wastani
Umbo: sio mnene wala sio mwembamba sana.
Rangi: Maji ya kunde
Dini: Christian (RC)
Elimu: Degree 1
Status: Single na sijawahi kuwa na mke...
Mfano unaishi mji A ambao ndiko makazi yako na ndiko unapoendeshea shughuli zako za kila siku, kiasi kwamba watu wako unaoshirikiana nao kila siku wanapatikana Mji huo.
Pia, una makazi yako Mji B ambako huko ndio asili yako, wazazi, ndugu na jamaa wengine wanapatikana kwa wingi.
Utafunga...
Habari ndugu zangu
Naombeni msaada wa kutambua kuhusiana na hoja tajwa hapo juu. Generation ya leo tunashuhudia vijana, na hata rika za kati kwa madai ya kuwahi kumaliza tendo la ndoa na wengi wao kutafuta dawa kukabiliana na tatizo.
Nilikuta hii stori kwenye Women Magazine, inamhusu dada mmoja mzaliwa wa Urusi lakini ni raia wa Uingereza. Aliwenda Uingereza na wazazi wake akiwa mdogo. Jina lake Natasha.
Natasha akiwa na miaka 20 na mwanafunzi wa chuo kikuu, alikuwa binti mwenye kujipenda sana. Siku moja akiwa amejipamba...
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Majukumu ya hapa na pale back to the point nahitaji rafiki wa kike ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a Boy,miaka 30
Kimo- mrefu, rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene...
Never give up on one another.
Love can overcome all forms of hate.
Love is strong.
Love is real.
Hold on to it and never let go.
Also. Always. Love God!!!
Kila ndoa ina historia yake hasa kuhusu jinsi wahusika walivyo kutana, mlolongo wa mahusiano yao na mpaka kutokezea kwenye ndoa.
Hii ni ndoa ambayo kwa kweli binafsi nimevutiwa nayo. Nawe nakukaribisha kuitazama kisha utoe maoni yako.
LET US CREATE NEW LAW IN BREAKING MARRIAGE or MARRIAGE TO BE COME DIVORCED ITSELF AFTER SEPARATION.
Hey, my Funs to day DON NALIMISON a Musician, Human Rights Defendant and Security Affair Advisor giving you some points to show that a Marriage has already broken in Law an Fact due to one party...
Aliyefanya uhuni sana katika ujana wake halafu akaingia katika ndoa, na yule ambaye hakufanya uhuni katika ujana wake akaingia kwenye ndoa. Ni yupi akiingia katika ndoa hutulia? na ni kwanini hutulia?
Nimeona nililete hapa kwa wataalamu wa mambo yetu kwa wale walio kwenye ndoa labda tayari wameshapata mtoto 1 ivi au zaidi.
Kuna wakati unakuwa na hamu sana na mama watoto mpaka unafika ule wakati unakuwa upo kileleni labda bado kama sekunde kadhaa kukamilisha taratibu mtoto anaamka na...
Purity Wanjiru alitoroka kwao na kuanza kuishi maisha ya utotoni akiwa na umri wa miaka 13
Kila anapokumbuka alikotoka maishani, Purity Wanjiru hudondokwa na machozi asijue la kufanya.
Purity ambaye ni mama wa watoto wawili anasema hakuwahi kufikiria kwamba kuna wakati angeuza mwili wake...
If SEX can make a man, marry you then all prostitutes would be married. A man commits where he has PEACE.
Be his PEACE & he'll run to you be his WAR & he'll run from you
4 THINGS EVERY MAN MUST KNOW ABOUT A WOMAN BEFORE MARRIAGE
1) THEY LOVE COMPLIMENTS
It is wicked for your wife to put effort into her looks, taking care of you (and the kids) and making you happy daily and you never pay her any compliments.
In fact that kills her moral and spirit.
Women...
Ndoaa NYINGI zinapoanzaa kuchokana hutumia tendo LA NDOA kuadhibiana
Hii n moja ya SUMU KUBWA KWENYE NDOA.mkifika.stage hii inahitaji MMOJA wenu ama wote kusimama nafasiyake na kumwomba Mungu Awaweke SAWA
else mkishindana mtatuongezea majani pale kinondoni ama mbwen na ununioo
Anza kuchukua...
" Mfano nimekuta mume wangu anacheat na mwanamke mwingine ninayemfahamu, siwezi kumfuata yule mwanamke nikamtukana, nitaanza na mume wangu na kumuuliza kwa sauti ya upole " - Riziki.
globalpublishers
Tatizo ni kwamba Wanawake wenye Utu, Hekima, Upendo na Busara kama ya huyu Dada Mungu Baba...
Mkasa : NDOA ILIVYOTETERESHA IMANI YANGU
Mwandishi: IRENE MBOWE (Irene Mbowe Kungwi Lao)
Imeletwa kwenu na: BURE SERIES
Hiki ni kisa cha ukweli kabisa, anachokielezea Flora, Mwanamke ambaye anakiri Imani yake kutereteka kwa sababu ya Ndoa yake. Alikuwa na alilelewa kwenye familia yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.