ndoa

  1. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Watu wengi sana hutumia miezi mingi kupanga harusi na saa chache tu kupanga ndoa.

    Lengo la kuchumbiana si kutumia muda na mtu wako kucheka cheka nae na kupigana miti. Bali ni kuelewa kama wanataka wafanye mambo yaleyale maishani kama wewe. Malengo ya kufanana na hata muda mwingine hurka za kufanana. La sivyo, unapoteza muda na hio harusi yenu mnayochangisha watu laki moja moja.
  2. SheriaE

    JamiiForums Tanzania Mchumba anahitajika kwa ajili ya ndoa ndani ya mwaka mmoja.

    Habari wakuu, Mimi ni mwanaume wa miaka 27, muajiriwa serikalini. Mrefu kiasi na mweusi. Mkristo Ombi langu kwenu ndugu zangu nahitaji mwanamke ambae atakuwa mchumba kwa lengo la ndoa baadae. Kwa yeyote ambae ako tayari tuwasiliane DM au kama mtu anadhani atanifaa pia anakaribishwa DM. Sifa...
  3. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni Mr. Kuku aliyepambwa

    Kuanzia tu kwenye kusumbua watu na michango ya laki moja hadi kuanza kuishi kama mume na mke baada ya kuzoeana sasa kila mtu anaanza kuonesha rangi za kweli kuwa alikukubalia maana kwenu mna pesa au kuanza kuona makebo yake makubwa hayana maana tena. Ni process iliojaa utapeli mkubwa.
  4. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni chuo

    Kuna nafasi nzuri sana ya kujifunza mambo mengi katika ndoa. Wanandoa unatakiwa kuwa tayari kujifunza. Ndoa haiwezi kuimarika endapo kila mmoja kati ya wanandoa atang'ang'ania kubaki na misimamo yake aliyokuwa nayo kabla ya kuoana. HAKUNA MWANAUME BORA DUNIANI AMBAYE ANGEFAA KUPIGIWA MFANO NA...
  5. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Mfiwa aanguka kwa mshituko baada ya mdada kuja na watoto wawili msibani na Lawyer akionesha WILL kuwa mdada na watoto hao wamegawiwa ardhi na nyumba

    Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa Sio Automatic 50/50: Mahakama Yatoa Uamuzi Kuhusu Mali ya Wanandoa

    Umeishi kwenye ndoa, mkajenga mali pamoja, halafu ndoa ikavunjika - je, kila mmoja anaondoka na 50%? Mahakama ya Rufaa imesema: si lazima. Mahakama ya Rufaa nchini Kenya imeamua kuwa kuwa kwenye ndoa pekee hakumpi mwenza haki ya moja kwa moja ya kupata nusu ya mali ya ndoa. Badala yake, mgao...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Talaka zinaongezeka-Je, kizazi cha sasa hakina uvumilivu kwenye Ndoa?

    Katika jamii ya sasa, mijadala kuhusu migogoro ya ndoa na talaka imekuwa ikiongezeka. Wapo wanaoamini kuwa watu wa kizazi cha sasa hawana uvumilivu katika ndoa. Aidha wengine wanasema kuwa watu sasa wameanza kutambua haki zao na hawataki kubaki kwenye ndoa zenye matatizo. Je, ndoa za kizazi...
  8. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Enyi wake za watu, tulieni kwenye ndoa zenu, mnasababishia vijana wadogo matatizo.

    Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa. Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
  9. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Kabla hujafikisha miaka 35, unapaswa kujua sheria hizi 10 za ndoa

    Ndoa haivunjwi kila mara na kukosekana kwa upendo. Wakati mwingine huvunjwa na ego, kutokuelewana, kinyongo na kushindwa kujifunza kukua pamoja. Ndoa yenye afya si ile ambayo haina migogoro, bali ni ile ambayo watu wawili wanachagua kusuluhisha matatizo badala ya kushindana. Usisubiri ndoa...
  10. Nkulu wa nchito

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu; mguu nje, mguu ndani

    Habari wakuu, Mimi na mke wangu tunafanya kazi mikoa tofauti ila siyo mbali ni masaa matano anatumia njiani akiwa anakuja kwangu mara nyingi huwa anakuja ijumaa na jumatatu anaondoka. Mimi nina ishi na mtoto na mfanyakazi na huyo mfanyakazi anamlipa yeye. Kusudi la kukaa na mtoto na beki tatu...
  11. Half american

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa CR7 kwenye kufunga ndoa yake ni mzuri sana, ni wa kuigwa. Una maoni gani mdau?

    Mke wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodríguez amesema ndoa yake na Mumewe ilifungwa katika sebule ya nyumba yao Cascais, Ureno huku ikihudhuriwa na Watu saba tu. Kauli ya Georgina inakuja ikiwa ni takribani wiki moja tangu kufungwa kwa ndoa hiyo ambapo katika mahojiano maalum na Vogue, amesema...
  12. Khantwe

    JamiiForums Tanzania Kumbe kwa kina ndoa kuna kuchapana mijeledi kama shule na hamsemi

    Naomba kwaajili ya afya yangu ya akili mniambie huyu ni baba anamwadhibu mwanae sio mume 😁
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sio kila mahusiano yataishia Ndoa

    Sio kila mahusino lazima yafikie ndoa Napokea simu kutoka kwa rafiki yangu ,ananiuliza umemfanya nini shem? Nikauliza kwani kunanini akaniuliza uko wapi? Nikamwambia niko maeneo ya chuo , akanimbia nakuja tuongee. Tukiwa shule ya Alevel, wakati ndio ujana umeanza kubalee na unatamani sasa...
  14. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni taasisi inayopigwa vita sana

    kwenye ndoa watu baadhi hupata utulivu..lakini pia baadhi ya watu hupata changamoto pale tu wanapokutana na watu ambao sio sahii.....
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Moja ya uongo watu wanaodanganywa ni kwamba waliopo kwenye ndoa wanateseka jambo ambalo sio kweli

    MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
  16. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Ex mchezaji wa Yanga aingizwa mjini, atapeliwa NYUMBA na mbongo, kataa ndoa kichekoo, tusali sana wajameni

    Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu. Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto mzuuri alikua ameshikilia viatu vya mukoko, mi nilidhani yule demu ni mkongo mwenzake kumbe la hasha...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa mwanamke unapoimarika waweza hatarisha ndoa?

    Wajumbe naona mnavyochakarika kuuinua uchumi wa nchi na kuhakikisha mkono unaenda kinywani kongole sana.Niende moja kwa moja kwenye jambo letu. Tumekuwa tukishuhudia jinsi ambavyo wanamke(baadhi🤔) wanajitahidi kuhakikisha wanayapambania maisha na hata kushiriki kutatua changamoto za kifamilia...
  18. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Isaiah Yunge, ametoa shilling billion 7 za kenya ili kufanikisha ndoa yake charlene Ruto

    Kumekuwa na machapisho kadhaa yanayosambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya na Tanzania, yakidai kuwa kijana Mtanzania, Isaiah Yunge, ametoa zaidi ya shilling billion 7 za Kenya ili kufanikisha ndoa yake na bintiye William ruto huko nchini Kenya Miongoni mwa machapisho hayo kuna ujumbe...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika. Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto...
  20. Zero Star

    JamiiForums Tanzania Michango ya harusi- ukiitazama kwa jicho la tatu ndo chanzo cha mikosi na laana ndani ndoa hili

    Haiwezekani mtu umelala unaamka unakutwa ushaungwa kwwnye magroup whatp tena magroup zaidi ya 2.... Na watu washajipa muongozo kabisa kianzio 100,000.... Unaangalia yale majina yapo kama 200 hivi....sijui ahadi sijui huyu kamaliza bra bra bra Tunachoreshana tu....kuna wengine wagumu hawatoi...
Back
Top Bottom